Sakina herbal center
your health is our priority
14/11/2022
UNATOKWA NA USAHA WAKATI WA KUKOJOA?
Wapo wengi ambao wana tatizo k**a hili na ambao wamewakilishwa kupitia swali hili lililoulizwa na msomaji wetu huyu. Naomba tuwe pamoja kwenye makala hii ili ujifunze kuhusu tatizo la mtu kutokwa usaha wakati wa kukojoa.
Tatizo la Kuwepo kwa chembechembe za usaha au usaha kwenye mkojo hujulikana k**a pyuria ambapo linaweza kuonekana kwa kutumia hadubini (microscope) au k**a tatizo ni kubwa linaweza kuonekana kwa macho.
VISABABISHI VYA TATIZO LA KUTOKWA NA USAHA WAKATI WA KUKOJOA NI NINI ?
A-Ugonjwa wa mfumo wa mkojo (UTI); Maambukizi kwenye figo, kwenye mrija wa mkojo na kwenye kibofu cha mkojo (cystitis- amabayo huonekana sana)
B-Magonjwa ya Zinaa; K**a ugonjwa wa kisonono au ‘’Gono’’ k**a wengi wanavyoita, ugonjwa wa Chlamydia na Trichomoniasis
Sumu inayotokana na kemikali (Chemical poisoning) k**a 4; Aminodiphenyl inayotumika kwenye maabara na kwa ajili ya tafiti
C-Tatizo linajulikana k**a Reiter’s syndrome
Pyelonephritis; Maambukizi ya bakteria kwenye sehemu za figo zinazojulikana k**a calyces, renal pelvis na tishu za figo
D-Madhara ya pyelonephritis ambayo husabababisha ugonjwa unaojulikana k**a renal abscess
E-Maambukizi kwenye tezi dume; Prostatitis (Kwa wanaume)
F-Upungufu wa kinga mwilini
Mcharuko (Inflammation) kutokana kuwa na mawe kwenye kibofu cha mkojo au kwenye figo
Mzio (Allergy) au kuota uvimbe sehemu yoyote ya mfumo wa mkojo
DALILI
1-Maumivu makali ya kuchoma (Painful burning sensation) wakati wa kukojoa
2 - Maumivu chini ya kitovu
3 - Homa
4-Kutapika
TATIZO HILI LIKIDUMU KWA MUDA MREFU HUSABABISHA KUPUNGUA UZITO KWA MGONJWA
VIPIMO VYA UCHUNGUZI
@-Urinalysis – Kipimo cha mkojo
Urine for culture and sensitivity. Kipimo cha kuangalia bakteria kwenye mkojo
@-Complete blood count. Kipimo cha kuangalia wingi wa damu na chembechembe za damu (husaidia kuonyesha k**a kuna maambukizi kwenye mwili)
@-Blood culture. Kuangalia k**a kuna maambukizi kwenye damu
@-Prostate. Specific Antigen (PSA) Test; Kipimo cha tezi dume
@-Kipimo cha mionzi ya X-ray; Huonyesha k**a tatizo ni kubwa sana
@-Kipimo cha ultrasound
Kipimo cha CT scan au MRI; Husaidia kuonyesha k**a tatizo hili lipo ndani ya tishu za figo (Intra-renal abscess) au nje ya tishu za figo (Extra-renal abscess)
VIHATARISHI VYA TATIZO HILI NI ;
1-Kutosafisha vizuri sehemu za siri baada ya kujisaidia haja ndogo
2-Kujamiana na mtu mwenye maambukizi ya ugonjwa wowote wa zinaa
3-Ugonjwa wa kisukari
4-Madhara yanayotokana na kutumia mpira wa mkojo; Kwa wale wote waliowekewa mpira huu wa mkojo (catheter)
5-Saratani ya kwenye mfumo wa mkojo au sehemu za siri
MATUMIZI YA DAWA ZA JAMII AINA YA NON -STEORIDAL ANTI -INFLAMMATORY DRUGS (NSAIDS) au madawa yanayopunguza kinga mwilini (Immuno-suppressant medications) kwa muda mrefu
Kuvimba kwa tezi dume
MATIBABU YA UHAKIKA
Tiba za shifaa sunna clinic hutegemea na chanzo cha tatizo hili, umri na jinsia ya mgonjwa. Tatizo hili tunatibu na linapona kabisa.
Tiba za kutibu vimelea na kusafisha Mfumo mzima wa Mkojo na uzazi
Matibabu ya mawe kwenye kibofu cha mkojo au kwenye figo
Kunywa maji kwa wingi mara kwa mara ili kusaidia kutoa chembechembe za usaha
kupitia njia ya haja ndogo;
IKUMBUKWE YA KWAMBA MAJI SIO TIBA .
KWA USHAURI NA TIBA , WHATSAPP AU PIGA SIMU +254721836774 DR ISMAIL
14/11/2022
FAHAMU UGONJWA WA UTI, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA UTI SUGU
UTI(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe k**a bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo.
UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo
MFUMO WA MKOJO
Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili unaotumika kuondoa uchafu na maJi ya ziada
Mfumo huu unaundwa na ureta,kibofu cha mokojo,figo na urethra sitachambaua kwa undani hizi sehemu
KISABABISHI CHA UTI
Mara nyingi UTI zinasababishwa na bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli) na UTI nyingine zinaweza sababishwa na Chlamydia na Mycoplasma na UTI hizi zina athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa wanapaswa kupata tiba pamoja,
Maambukizi ya UTI ni makubwa sana dunian Zaidi ya watu milioni 8 pointi 1 wanaathiriwa na ugonjwa huu
KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA WAKUBWA?
Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na maumbile yao ya nje
1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka kwenye kibofu
2.Pia mrija huo unafungukia sehemu ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru
Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na kwa wanawake
WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UTI
#Watu wenye vidonda kwenye uti wa mgongo
#Mtu yeyote mwenye tatizo katika mfumo wa mkojo
#Tendo la ndoa linaweza likahamisha bakteria kutoka kwenye uke kwenda kwenye urethra
#Baadhi ya njia za uzazi k**a kutumia diaphragm,spermicides,kondomu nk
KURUDIARUDIA KWA UTI(UTI SUGU)
Mara nyingi wanawake wakipata UTI inaweza ikawa inajirudia mara kwa mara kulingana na sababu zifuatazo
1.Uwezo wa bakteria kujishika kwenye njia ya mkojo hivyo kutotibika na kurudia tena
2.Sababu nyingine ni wanawake kuwa non sector yani kuwa na damu grupu A,B na AB ambao hawawez kuzalisha kinga nzur kwa ajili ya hao bakteria
DALILI ZA UTI
1.Kukojoa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa
2.Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye kibofu au mrija wa mkojo
3.Maumivu ya misuli na tumbo
4.Mkojo kuwa na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu nk
5.Kwa mtu aliyeathiriwa figo anaweza kuwa na maumivu mgongoni au kwenye mbavu pia kichefuchefu na kutapika
6.Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatoka kidogo
JINSI YA KUZUIA UTI SUGU
1.Kunywa maji mengi kunsaidia kusafisha bakteria kwenye mfumo
2.Mtu anatakiwa akojoe mara kwa mara kila anapojiskia kukojoa
Mkojo ukikaa sana kwenye kibofu unaweza zalisha bakteria
Na baada ya kukojoa wanawake wanatakiwa kujisafisha kuanzia mbele kurudi nyuma ili kulinda urethra
3.Vaa nguo za ndani za pamba na ambazo hazibani sana kuruhusu hewa kupita vizuri ,epuka jinsi zinazobana sana ambazo zinaweza kukusanya na kuleta tatizo.
KWA WENYE U.T.I SUGU WASI HOFU KWANI SHIFAA CLINIC TUNAZO DAWA ZA KUTIBU NA KUMALIZA KABISA U. T. I
Piga simu au watsapp +254721836774 Dr Ismail kwa maelezo zaidi
14/11/2022
TATIZO LA KUKOJOA KITANDANI/KIKOJOZI:NA TIBA YAKE
Kikojozi ”bedwetter” ni mtoto wa miaka 5 mpaka 6 anayejikojolea bila hiari yake – ana tatizo la kukojoa kitandani. Anaweza kujikojolewa wakati wowote ,iwe usiku au mchana. Makala hii inalenga kuzungumzia zaidi kujikojolea wakati wa usiku.
KIKOJOZI NI NANI ?
Dalili kuu ni kukojoa bila hiari ,hasa wakati wa usiku, na hutokea angalau mara mbili kwa mwezi.
KUKOJOA KITANDANI USIKU HUSABABISHWA NA NINI ?
@-Kila mtoto huacha kuwa kikojozi katika umri tofauti. Mara nyingi kuacha kukojoa kitandani usiku ni hatua ya mwisho kabisa ya mafuzo ya kutumia choo. Watoto wa miaka 5,6 au zaidi wanapokojoa kitandani huitwa vikojozi.
@-Watoto ambao waliacha kukojoa kitandani kwa takribani miezi sita au zaidi na kisha wakaanza tena kukojoa wana ”secondary enuresis”. Kuna sababu nyingi za mtoto kuanza kukojoa tena baada ya kuwa mkavu kwa kitambo. Sababu inaweza kuwa ya kimwili, kihisia, au mabadiliko ya muda wa kulala.
@-Watoto ambao hawajawahi kuacha kabisa kukojoa kitandani usiku wana primary enuresis.
@- Hii mara nyingi hutokea kwa sababu, mwili hutengeneza mkojo mwingi zaidi kuliko uwezo wa kibofu na mtoto haamki kibofu kinapojaa. Ubongo wa mtoto bado haujajifunza kuitikia ishara kwamba kibofu kimejaa. Hili si kosa la mtoto au mzazi.
@-Matatizo ya kuzaliwa nayo ya mfumo wa mkojo, maambukizi kwenye mfumo wa mkojo na kisukari.
@-Kukojoa kitandani ni tatizo linaloweza kurithiwa kwenye familia.
@-Takribani wavulana 9% na wasichana 6% wenye umri wa miaka saba hukojoa kitandani. Namba hii hupungua kidogo wanapofikia umri wa miaka 10. Ijapokuwa tatizo hili huondoka lenyewe kadri umri unapoongezeka, kuna watu kadhaa huwa vikojozi hadi utu uzima.
KATIKA KITUO CHETU CHA SHIFAA TUNAZO DAWA ZA KUTIBU NA KUMALIZA KABISA TATIZO LA MTOTO KUKOJOA KITANDANI KWA SIKU 30 PEKEE
Wasiliana nasi kwa namba
+254721836774
DR ISMAIL
14/11/2022
UGONJWA WA NI NINI?
Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa ( ) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo moja.
* ?*
Kusudi kuelewa chanzo cha ugonjwa huu, hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana. Fikiria goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana: Ligaments: Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja. Hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje, ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.
CARTILAGE :
Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja. Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.
CAPSULE :
Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote. Ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane. Synovial fluid ni ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule. Ugonjwa wa arthritis unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa. Inaweza kuwa cartilage inalika, upungufu wa synovial fluid, maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo.
TIBA YA UHAKIKA
✅-Tuko na hizo dawa aina 3 ambazo zinatibu na kumaliza kabisa matatizo ya maumivu ya viungo, Mgongo, Ganzi mabega, arthritis, kiuno gaut na mengine mengi
🌳-Dawa hizi ni herbal na hazina madhara yeyote
🥃-Dawa mbili ni za kunywa asubuhi na jioni
📚-Na dawa moja ni ya upaka au kusugua kwa sehemu yenye maumivu
🏕️-Dawa hizi ni za kutibu kabisa kwa siku 30 pekee unakuwa SAWA KABISA
🎑-KUMBUKA TUNATIBU ILA MWENYEZI MUNGU NDIYE ANAYE PONYA
Iwapo Unasumbuliwa na tatizo hili na mengineyo tafadhali wasiliana nasi upate tiba zisizo Na kemikali na madhara.zinethibitishwa. na Kupona ni uhakika 100% bei ni nafuu
+254721836774
14/11/2022
FAHAMU KUHUSU ALLERGY (MZIO) TIBA CHANZO NA DALILI ZAKE
Mzio{Allergy}ni Matokeo ya liyopitiliza kati ya mpambano wa kinga ya Mwili na kitu chochote(ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili) inapotokea kimeingia ndani ya mwili au kimegusa sehemu fulani ya mwili.
◼ALLERGY HUSABABISHWA NA NINI ?
👉🏿▪Kuwa na mzio ni jambo la kawaida. Haishangazi basi kuona kuna baadhi ya watu wanakuwa na mafua karibu kila siku au wengine wanashindwa kuvaa baadhi ya vitu k**a saa au cheni za dhahabu kwa vile tu huvimba mwili au kuwashwa pindi wanapofanya hivyo.
👉🏿▪Kwa kawaida kinga ya mwili huulinda mwili dhidi ya vitu mbalimbali hatari kwa afya k**a vile vimelea vya bakteria na virusi, lakini wakati mwingine inaweza kupambana pia na vitu ambavyo havina madhara yeyote kwa mwili (ambavyo huitwa allergens). Watu wenye aleji/mzio huwa na hisia zisizo za kawaida za mwili dhidi ya baadhi ya vitu.
➡▪Mwili unapokumbana na vitu vinavyosababishia aleji (yaani allergens), mfumo wa kinga ya mwili huzalisha kemikali mbalimbali ikiwemo histamine ambayo hupambana na allergens hizo. Mpambano huu ndo husababisha mtu kuwa na dalili za aleji/mzio.
➡▪Matatizo ya kinasaba pamoja na hali tofauti tofauti za kimazingira zote zinahusika sana katika kusababisha mtu kuwa na mzio. Baadhi ya vitu vinavyosababisha mzio (allergens) ni pamoja na vumbi vumbi, baadhi ya dawa, baadhi ya vyakula, kung'atwa na wadudu k**a vile nyuki, aina fulani ya uyoga, vumbi vumbi la maua (pollens) n.k.Wapo baadhi ya watu ambao hukumbana na mzio pindi wanapokuwa katika mazingira ya joto au baridi wakati wengine hupatwa na mzio pindi wanapopigwa na jua kali. Wakati mwingine, hata msuguano kidogo tu wa ngozi unaweza kuwasababishia baadhi ya watu dalili fulani fulani za mzio.
◼K**A NINA ALLERGY MTOTO WANGU PIA ANAWEZA KUPATA ALLERGY?
➡▪Kwa kawaida, mzio wa aina fulani huwa haurithishwi miongoni mwa wanafamilia. Kwa mfano k**a mzazi ana aleji na baridi si lazima watoto wake pia wawe na aleji hiyo hiyo ya baridi ingawa wanaweza kuwa na aina nyingine ya aleji. Uwezekano wa mtoto kupata aleji huongezeka zaidi iwapo wazazi wote wawili wana aleji na vitu fulani fulani na huwa mkubwa zaidi iwapo mama ndiye mwenye aleji.
◼NINI DALILI ZA MTU MWENYE ALLERGY
Dalili za aleji zipo nyingi kutegemeana na eneo gani la mwili linahusika, lakini kwa ujumla
👉🏿▪K**a ni mfumo wa hewa ndiyo ulioguswa, mtu anaweza kuwa na matatizo katika kupumua (kikohozi au kubanwa na pumzi, mak**asi na kuziba kwa pua, muwasho kwenye pua na koo, au kupumua kwa kutoa sauti k**a mtu anayepiga filimbi)
K**a macho yataguswa, muhusika hujihisi hali ya kuchoma choma, kutiririkwa na machozi na muwasho kwenye macho, macho kuvimba na kuwa mekundu
Iwapo mtu atakula kitu ambacho ana aleji nacho anaweza kuwa na dalili k**a vile kuharisha, kichefuchefu, kutapika, Kusokotwa au kuumwa na tumbo au hata hali mbaya ya kutishia maisha.
Allergens zinazogusa ngozi zinaweza kusababisha ngozi kuwa na mabaka mabaka, kubabuka, kuvimba, muwasho, kuota vipele na malengelenge, michubuko au ngozi kuwa nyekundu.
Aleji zinazohusisha mwili mzima zinaweza kuwa na mkusanyiko wa dalili zote za hapo juu
Wakati mwingine aleji inaweza kuzorotesha hali ya baadhi ya watu wenye magonjwa k**a ugonjwa wa ngozi wa eczema au pumu kufanya iwe mbaya zaidi.
◼VIPIMO NA UCHUNGUZI
👉🏿▪Mgonjwa ataulizwa kuhusu historia ya tatizo lake, ni lini lilianza na vitu gani humfanya awe hivyo. Aidha tabibu pia atapenda kufahamu kuhusu dalili nyingine zinazoambatana na tatizo linamlomkabili mgonjwa.
➡◼Baadaye vipimo vya aleji vinaweza kufanyika ili kufahamu hasa ni kitu gani mgonjwa ana aleji nacho na k**a kweli dalili alizo nazo mgonjwa ni kweli zinatokana na aleji au zinatokana na sababu nyingine. Hii ni kwa sababu kuna baadhi ya mambo yanaweza kumsababishia mtu kupatwa na dalili zinazofanana kabisa na mtu aliye na aleji ya kitu fulani.
◼NINI CHA KUTARAJIA KWA MTU MWENYE ALLERGY
➡▪Aina nyingi za aleji hutibika kwa urahisi kwa kutumia dawa. Wapo baadhi ya watu hususani watoto wanaweza kujenga hali ya aleji dhidi ya aina fulani za vyakula, hali wanayoweza kuendelea nayo mpaka ukubwani. Kwa kawaida, kitu kikimletea mtu aleji tu mwanzoni huendelea kummuathiri daima.
➡▪KUNA MADHARA YEYOTE YA KUWA NA ALLERGY
Madhara ya aleji ni pamoja na kupata shambulio kali la mcharuko mwili ambalo linaweza kusababisha kifo k**a usipotibiwa haraka. Wapo baadhi ya watu, kwa mfano, wakila kumbi kumbi huvimba mwili na kushindwa kupumua mpaka kuhitaji kulazwa hospitali na kusaidiwa kupumua kwa mashine. Madhara mengine ni pamoja na shida ya kuvuta pumzi au kushuka kwa shinikizo la damu (kupata shock).
◼NITAJIKINGAJE DHIDI YA ALLERGY?
➡▪ Pindi mtu anapopatwa na aina fulani ya aleji, kinga bora ni kukwepa mambo yote yanayoweza kuchochea kutokea kwa shambulizi la aleji. K**a ni chakula, jitahidi kukwepa aina hiyo ya chakula na k**a ni dawa, acha matumizi yake na pia mueleze daktari wako au muuguzi kuhusu hali hiyo mapema kabla hajakupatia dawa hizo pindi unapokwenda hospitali kwa matibabu ya matatizo mengine.
NI KWELI ALLERGY INATIBIKA ?
Njia bora kabisa ya kutibu na kupunguza uwezekano wa kupata aleji ni kutambua kitu au vitu vinavyokusababishia hali hiyo na kuviepuka. K**a ni chakula au dawa au kemikali, epuka kabisa matumizi yake, na k**a ni vumbi jitahidi kukaa nalo mbali. Kadhalika shambuli kali la aleji laweza kusababisha muhusika kulazwa hospitali kwa vile lisipothibitiwa kifo kinaweza kutokea.
NA KWA WALE WENYE ALLERGY SUGU WASIHOFU KWA I SHIFAA TUNAZO DAWA AMBAZO ZINATIBU NA KUMALIZA KABISA ALLERGY KWA WATOTO NA WATU WAZIMA
Kwa tiba nasaha na ushauri wasiliana na Dr Ismail +254721836774
14/11/2022
DAWA YA ASILI YA KUTIBU NGIRI/HERNIA BILA UPASUAJI
Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
NAZO NDIZO HIZI ZIFUATAZO ?
1?Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2?Kupiga mingurumo tumboni.
3?Kujaa gesi tumboni.
4?Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5?Kupata haja ngumu k**a ya mbuzi.
6?Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7?Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8?Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9?Nuru ya macho hupotea taratibu.
10?Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11?Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12?Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13?Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14?Uume kusimyaa na kunywea k**a wa mtoto
15 ?Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi
16? Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)
17? Tumbo kujaa na kuonekana k**a una kitambi kumbe ni gas.
18? Ukila vitu vyevye sukari nying k**a soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas
19? Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)
MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU
•Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:??????
1? Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)
2?Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati
3?Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo k**a ya mtoto mdogo
4? Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar
5?Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama.
6?Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,k**a vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk
7?Upungufu wa nguvu za kiume.
Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume
MAJIBU KUHUSIANA NA VIPIMO VYA NGIRI/HERNIA
Vipo vipimo kwaajili ya ngiri kwa mgonjwa.
Kabla ya vipimo Dr.atakuangalia kwanza k**a una uvimbe hasa maeneo ya kinena na maeneo ambayo mgonjwa anahisi kuwa na Ngiri,atamuangalia mgonjwa kwa kumwambia akohoe ama asimame ili aangalie k**a kuna Uvimbe unaonekana eneo husika ama kwa kushika eneo husika nk
•Dr.anaweza kujiridhisha zaidi k**a mgonjwa ana ngiri ama hana kwa kutumia vipimo vifuatavyo??
1-ULTRASOUND
2 -CT SCAN
3 -MRI
TIBA YAKE
Katika kituo chetu tunazo dawa nzuri sana za kutibu na kumaliza kabisa mshipa wa ngiri au hernia bila upasuaji dawa hii inatibu na kumaliza kabisa bila upasuaji
KWA TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA NA DR ISMAIL KWA +254721836774
14/11/2022
MIGUU KUWAKA MOTO AU (FOOT NEUROPATHY)
Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na Mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia.
MIGUU KUWAKA MOTO ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo k**a kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili yani za miguuni hivyo kupoteza uwezo wa utendaji kazi wa neva miguuni, sababu zingine ni k**a kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu, kuwa na sumu nyingi mwilini,kurithi au mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.
DALILI ZA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO
Ugonjwa huu unadalili nyingi zikiwemo;
Kuhisi ganzi, kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni,kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani,joto Kali miguuni,kuhisi k**a unaungua miguuni,kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.
VITU/ MAMBO YANAYOWEZA KUPELEKEA MTU MIGUU YAKE KUWAKA MOTO
Kuna mambo mengi sana yakiwemo;
1~UZITO MKUBWA WA MWILI(hii husababisha uti wa Mgongo kukaa tofauti na unavyostahili hivyo baadhi ya neva kukandamizwa na uzito wa mwili au misuli hivyo kusababisha miguu kupata maumivu na kufa ganzi.
2~Matumizi ya baadhi za Dawa zenye chemikali kwa muda mrefu au Mara kwa Mara mfano Dawa za TB, HIV n.k
3 ~UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO MWILINI HASA MKUSANYIKO WA VITAMINI B( VITAMINI B COMPLEX)
4~Mgonjwa ya kisukari na Shinikizo la Damu, Magoti ,Mzio na Fangasi
5~matatizo ya moyo
6~matatizo katika mishipa ya damu
7~Ulevi wa kupindukia kwa muda mrefu
KUEPUKA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO
A~kuwa na uzito unaoendana na kimochako
B~fanya mazoezi ya mwili
C~kula chakula kinachokupatia virutubisho mwilini hasa Vitamin B
D~Usafi wa VIATU, Sox na miguu
E~ ondoa sumu au kemikali mwilini mara kwa Mara
MATIBABU
X~kula vyakula Vyenye mkusanyiko wa Vitamin za Kutosha
X~ fanya mazoezi ya mwili k**a kukimbia , Kutembea N.K pia kufanya Massaging .
X~punguza uzito Uliopitiliza
X~tumbukiza miguu katika maji Vugu Vugu yenye Chumvi
X~tibu maradhi ya kisukari hakikisha sukari ipo Sawa
X~ondoa sumu mwilini kwa vitu Visivyo na Kemikali (K**A DAWA YA MAXY DETOX)
X~Chua miguu yako kwa vitu Vinavyo Punguza maumivu ,Vinavyo Saidia Mzunguko wa Damu kuwa Vizuri (paka Asali mbichi, shubiri na limau)
KWA MATIBABU ASILIA YENYE MATOKEO YA HARAKA YA TATIZO HILI WASILIANA NASI ILI UPATE DAWA AMBAYO ITATIBU NA KUMALIZA KABISA UGONJWA HUO ,MAONI, NA USHAURI WASILIANA NASI KWA NAMBA +254721836774 DR ISMAIL
14/11/2022
MAGONJWA YA FIGO NA TIBA YAKE
Magonjwa ya figo ni mjumuiko wa magonjwa yote yanayoathiri utendaji kazi wa figo. Baadhi ya magonjwa ya figo huweza kwenda mpaka miezi mitatu bila kuleta dalili za kush*tukiza kuwa mtu ana tatizo la figo ila mtu huwa na upungufu wa ufanyaji kazi wa figo.
Magonjwa ya figo huweza kuwapata watu wote wake kwa waume na kwa rika zote.
VISABABISHI
Magonjwa ya figo huweza kusababisha na vitu vifuavyo;
1-Ugonjwa wa kisukari
2 -Ugonjwa wa shinikizo la juu la damu
3 - Maambukizi kwenye glumerula
4-Mawe kwenye figo
5-Ugonjwa wa UTI yenye kujirudia rudia
6-Kuziba kwa nefroni
7-Kuziba kwa mirija ya mikojo k**a kunakosababishwa na tezi dume au mawe kwenye njia za mkojo
8-Mambukizi kwenye mishipa ya gromerula pamoja na nefroni
9-Sumu, chakula au dawa
10-Ajali /Kuumia eneo la figo
DALILI ZA MAGONJWA YA FIGO
A-Uso Kuvimba wakati unaamka asubuh au wakati wote au uvimbe kuzunguka macho
B-Kuvimba kwa miguu
C-Mwili kuvimba mzima
D-Mkojo kutoa povungozi kukauka na kuwasha
E-Uchovu wa mwili na kuishiwa nguvu
F-Kushindwa kuwa makini
G-Kushindwa kupata usingizi
H-Kutokwa damu kwenye mkojo
I-Kukojoa mara kwa mara
J-Maumivu ya magoti
K-Kuonekana kwa protini kwneye mkojo wa mgonjwa
L-Maumivu ya mwili
M-Kuvimba kiwiko chamkono na magoti
N-Kichefuchefu
O-Kutapika
P-Uchovu kupita kiasi
Q-Maumivu ya kifua k**a maji yametuwama kwenye moyo
R-Kuishiwa pumzi k**a maji yametuwama kwenye mapafu
S-Shinikizo la juu la damu lililogumu kutibika
T-VIHATARISHI VYA KUPATA MAGONJWA YA FIGO
X-Kisukari
X-Shinikizo la juu la damu
X-Uvutaji wa sigara
XHistoria ya ugonjwa wkenye familia
X-Figo yenye umbo lisilo la kawaida
X-Umri mkubwa au unene kupita kiasi
NAMNA YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA FIGO
Fuata maelekezo ya matumizi ya dawa
Kutumia dawa za Maumivu mara kwa mara kunakuweka hatarini kupata magonjwa na yanatakiwa kutotumika kwa mgonjwa mwenye ugonjwa wa figo.
UZITO
Hkikisha unakula vizuri chakula kinachoshauriwa kiafya na kuishi Maisha yanayoshauriwa kiafya
Fanya mazoezi siku 3 hadi 4 za wiki na kazi za kutoa jasho ili mwili uwe imara. K**a una uzito mkubwa ongea na daktari wako kwa ushauri wa namna gani ya kupunguza uzito na uzito gani unakufaa wewe.
Punguza kiasi cha wanga unaotumia ili kuepuka unene.
USIVUTE SIGARA NA TUMBAKU
Sigara hudhuru mishipa ya damu ya figo. K**a unavuta sigara ongea na daktari wako namna gani ya utaweza kuacha kuvuta sigara.
TIBA YAKE
Kwa wenye matatizo ya figo au wamehangaika sana bila mafanikio basi wasi hofu kwani shifaa clinic tunazo dawa ambazo zinatibu na kumaliza kabisa matatizo ya figo, Dawa zetu ni asilia na hazina madhara yeyote
KWA TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA NA DR ISMAIL KWA +254721836774
03/11/2022
FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI HEMORRHOIDS (piles) NA TIBA YAKE AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA
WATU wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospitali kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.
~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika k**a piles
~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30_50
AINA ZA BAWASIRI
~Kuna Aina mbili za bawasiri
(A) BAWASIRI YA NDANI
~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
~Aina hii imegawanyika katika madaraja manne
(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pale panapohusika
(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyewe ndani baada ya kujisaidia.
(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe.
(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi
(B)BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
👉KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
👉KUHARISHA KWA MUDA MREFU
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI
~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa kubandika mahali penye tatizo na kuondoa tatizo Hilo
~PAMOJA NA HAYO BAWASIRI NI UGONJWA UNAOWEZA KUEPUKIKA KWA KUZINGATIA
👉KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
👉KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku
👉EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU
MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimili choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali
KWA WENYE MATATIZO HAYA WASILIANA NA DR ISMAIL KWA +254721836774 NA UTATIBIKA KWA UWEZO WA MWENYEZI MUNGU
03/10/2022
BAWASIRI NI NINI?
-Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri.
Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu
Ugonjwa huu umekuwa ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.
DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI
1.📎kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.📎kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.📎kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
4.📎kupata kinyesi chenye damu
5.📎kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
6.📎 Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya
AINA ZA BAWASIRI⤵️
-Kuna aina 2 za Bawasiri k**a ifuatavyo⤵⤵⤵⤵:
1⃣. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.
2️⃣.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
Bawasiri ya ndan ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵:
1. HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekan wakati wa kujisaidia.
2. HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia
3.HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurud yenyewe baada ya muda
4. HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.
VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI
1.🖇️ Uzito kupita kiasi(Overweight)
2.🖇️ Ujauzito
3.🖇️ Unywaji pombe
4.🖇️ Kukaa sana sehemu ngumu
5.🖇️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
6.🖇️Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
-Kuwa na acid mwingi tumboni
7.🖇️ Kula sana nyama nyekundu
8.🖇️ Presha ya kupanda
9.🖇️ Kula sana pilipili
10.🖇️ Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)
11.🖇️ Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa
12.🖇️ Kuharisha kupita kiasi.
13.🖇️ Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito
MADHARA/ATHARI ZA BAWASIRI
1.📎Upungufu wa damu mwilini
2.📎Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
3.📎kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4.📎kupungukiwa nguvu za kiume
5.📎kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
6.📎Kupata tatizo la kisaikolojia
7.📎Kutopata ujauzito
8.📎 Mimba kuharibika
10.📎 Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
11.📎 Mwili kudhoofika
NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
1.📎Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
2.📎kunywa maji mengi lita 2.5 hadi 3 kwa siku
3.📎Acha kufanya mapenzi kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
4.📎Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
5.📎 Acha kunywa pombe
6.📎Punguza kula nyama nyekundu
7.📎Punguza matumizi ya pili pili.
8.📎Jitibie vidonda vya tumbo
9.📎 Jitibie Ngiri
10.📎 Dhibiti uzito wako
11.📎 Jiepushe/punguza kunyanyua vitu vizito mara kwa mara
DAWA YA UGONJWA WA BAWASIRI
Tuna dawa za kutibu na kumaliza kabisa Ugonjwa wa Bawasiri ambazo ni za asili zisizo kuwa na kemikali ambazo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hizi hutibu kulingana na mda wa tatizo na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki moja MTU huanza kupona na kuonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa nakala ya mtindo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna baadhi ya mitindo ya maisha inaendelea kuongeza tatizo pia kuna mitindo inapunguza hatari ya ugonjwa.
KWA TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA NA DR ISMAIL KWA +254721836774
Click here to claim your Sponsored Listing.
