AFYA YA kizazi

AFYA YA kizazi

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA YA kizazi, Health/Beauty, Mombasa.

28/03/2025

False pregnancy ( pseudocyesis)

Hii ni Hali ambayo mwanamke anakua na symptoms zote za ujauzito lakini ukipima unapata Hana ujauzito wowote...

Dalili k**a,..

πŸ‘‰Kukosa periods

πŸ‘‰ Morning sickness

πŸ‘‰ Matiti kujaaa na kua mazito..

πŸ‘‰ Kukosa hamu ya Kula..

πŸ‘‰Kutapika mara kwa mara..

πŸ‘‰ Maumivu kwa kinena etc.

Hii Hali husabisha

πŸ‘ŒπŸ» hormonal imbalance

πŸ‘ŒπŸ» Mindset yako pia inaeza influence mwili wako na uone dalili zote za ujauzito.

Rgds healthyme
079338643 or 0742112185.

21/03/2025

MWANAMKE...

Usifanye mnakosa haya wakati unatafuta ujauzito.

πŸ‘‰ Kungoja mapaka siku ya evolution ndio ufanye tendo la ndoa

πŸ‘‰ Nikuamini kwamba ultrasound pekee ndio inaonyesha shida zote za kizazi. Hiki kifaa kinapatikana kwa urahisi na gharama zake ziko chini so ukipima na hicho kifaa ukiambiwa hauna tatizo lolote usikomee hapo..

K**a uko na hela, fanya s*x Hormonal profile najua wengi hamjui NI gani, Cit scan...

πŸ‘‰Kuamini waume zenu hawana shida za kizazi kisingizio eti walisha zaa na wanawake wengi uko nyuma.

Shida za kizazi NI k**a magojwa mengine, Leo waeza kua Sawa Kesho uwe magojwa.

uamini kua dawa hazijakusaidia kwasababu unataka matokea ya HARAKA kuliko ya kawaida.

Ukwel NI kwamba mwili pia unataka mda ILI kuruhusu zile dawa matokea yafanyike...give it time like 3 or 4. Usitumie dawa ingine ndani ya iyo miezi..

πŸ‘‰ Kutumia dawa kwa lengo la kutoa dalili ( symptoms) na kuacha kiini ( chanzo) cha tatizo.

Unapaswa kutibu kiini Sio dalili ndio maana wengi wenye hupata matokea kwa group yetu NI wale wametibu viini vya matatizo.

18/03/2025

Unapata Maumivu makali wakati wa tendo?

Unakosa hamu ya tendo na kuhusu miwasho ukeni?

Unapata michibuko baada ya kujamiana na mwenza wako?

πŸ‘‰ Hiyo ndio mwanzo ya fungus, Kutokwa na uchafu na harufu.

ANZA DOSE LEO, UFURAHIE NDOA YAKO.

πŸ‘‰Sex NI kuenjoy Sio kuumizana.

08/01/2025

UGONJWA GANI UMEKUA KERO KWAKO KATI YA HAYO?

Usihangaike, Tiba tunayo asili.

08/01/2025

MWANAMKE ANAWEZA KUBEBA MIMBA KWA URAHISI endapo anasifa zifuatazo.

1) Mayai yanakomaa na kupevuka vizuri

2) Miraji ya uzazi haikuvimba wala kuziba au kuwa na kakovu..

3) Hormone zake zime balance vizuri.

4) Mji wa mimba au uterus ipo safi na hauna vivimbe.

5) Kizazi hakina uambukizo wa aina yoyote k**a fangasi(yeast) U.T.I, au P.I.D.

6) UTE wa uzazi / OVULATION uwepo katika siku za hatari.

UWEZO WA KUPATA SIFA HIZO NA KUKUFANYA UBEBE MIMBA..

WHATSAPP US 0742112185

01/01/2025

FAHAMU VIZURI MENSTRUAL CYCLE YA MWANAMKE ILI UJUE..

1) Zipi siku salama na hatari

2) Siku gani ya kupata mtoto wa kiume au wa k**e

3) Siku gani mwanamke anakua na hamu ya tendo sanaaa...

(1) Sehemu nyekundu inaonyesha siku ambazo mwanamke anakua kwenye hedhi zenye kutofautiana kuna wenye siku tatu mpaka tano ndio mwisho apo mwisho apo ndo maana mchoro inaonyesha siku tano kamili.

(2) Baada ya siku ya hedhi utahesabu siku tano ambazo izoo zinakua NI zile siku ambazo mwanamke anakua salama kabisa.

Zingatia katika siku izo tano salama Ile ya mwanzo na Ile ya mwisho usiamini sana cheza na izo tatu za katikati hapo mwanamke hawezi pata mimba.

(3) Step one and two tunakua tumefika siku ya kumi kuanzia kumi na moja Hadi 18 hizi ni siku hatari ambazo hapo ukienda kavu NI mimba K**A ANA UWEZO WA KUZAA.

✍️ Katika siku ya 11 Hadi 18 kuna mambo hizo NI siku za hatari kuna haya mambo.

πŸ‘‰ Siku ya 11 na 12 unakua na uwezo wa kupata mtoto wa k**e.
πŸ‘‰ Siku ya 13, 14 to 15 hapa unakua na uwezo wa kupata mtoto wa kiume.

✍️ Kubwa kuliko siku ya 14, 15, 16 mwanamke anakua na uhitaji mkubwa zaidi wa kufanya mapenzi kwa sababu ya tukio la ovulation.

From siku ya 19 Hadi 28 hizo zinakua siku salama kabisa mwanamke hawezi kupata Mimba.

Rgds AFYA kizazi 0742112185

30/12/2024

JE WAJUA VYANZO VYA MAUMIVU YA KIONO, NYONGO NA CHINI YA KITOVU KWA MWANAMKE?

Maumivu haya hua yanampata mtu sehemu ya chini ya tumbo na nyonga . Kwa wanawake Maumivu haya yanaweza kua dalili ya maradhi kwenye mfumo wa uzazi , Haja ndogo, digestion system au mifupa na nyonga..

Maumivu yanaweza kua ya kawaida, makali, ya kudumu ama ya wakati, yaani yanakuja na kupotea.

Wakati mwingine Maumivu yanaweza kusambaa kwenye mgongo WA chini na kwenye miguu au mapaja .

Hii huletwa na..
✍️ Matatizo kwenye mfumo wa uzazi

✍️ Uvimbe kwenye kuta za tumbo la uzazi

✍️ Tissue zinazoota ndani ya ukuta wa uzazi ( endometriosis) au Kuota nje ya ukuta wa mji wa uzazi)

✍️ Maumivu wakati wa hedhi ambayo hutokana vivimbe katika kuta za uzazi.

✍️Mimba kutunga nje ya kizazi..

29/12/2024

MATATIZO 4 MAKUBWA YANAYOJOSESHA WANAWAKE WENGI RAHA.

Hakikisha unafuatilia AFYA yako mara kwa mara kujua k**a unachangamoto yoyote ya AFYA na kuanza tiba mapema.

1) Mimba kutunga nje ya mji wake ( ectopic pregnancy)

2) Uvimbe kwenye kizazi na vifuko vya mayai (fibroids/Cysts)

(3) Saratani ya kizazi ( Cancer)

4) Matatizo ya hedhi ( Amenorrhea/ dsymenorrhea).

WhatsApp us 0742112185 kwa tiba na ushauri.

29/12/2024

Mwanamke huzalisha mbegu aina moja (xx) x- chromosomes.

Mwanaume yeye huzalisha mbegu aina mbili X (k**e) na Y (kiume) XY (chromosomes).

Wakati wa tendo , Mama akitoa X na Baba X =XX (mtoto wa k**e).
Mama akitoa X na Baba akitoa y = XY ( mtoto wa kiume).

Mbegu X NI imara ukilinganisha na Y pia hutombea polepole ukilinganisha na Y ambazo zenyewe ni dhaifu( Sio imara na hufa mapema) lakini zina mwendokasi mkubwa.

NOTE, Zippo njia nyingi ZA kitaalamu za kukusaidia KUNASA MIMBA ikiwemo ya kupandikiza Kizazi intra vitro fertilization (IVF) ama kutumia .

Ninazo herbal ambazo NI based in nature but packed with science ziko inform ya vidonge kitaalamu kabisa huku ukipata ushauri wangu hatua kwa hatua.

28/12/2024

Mwanamke ukiona mwezi huu unapata na mwezi mwingine unakosa periods, or umalize zaidi ya miezi 4 BILA kupata periods.

Hiyo NI dalili kwamba mayai YAPO ukingoni kuisha na NI uwahi mapema kuanza matinabu.

28/12/2024

FANYA YAFUATAYO ILI UWEZE KUNASA MIMBA HARAKA.

(1) Una balance hormones na ku clear infections zote.

(2) Make sure umepima huna Uvimbe wala mirija kuziba.

(3) Kizazi kiwe normal in size

(4) Free from P.i.d , fangasi na U.T.i

(5) Mayai Yana pevuka na kukomaa vizuri..

6) Make sure unapata Ute Ute WA ovulation.

NB, K**a umewahi kusumbua kizazi kwa abortion, P2, etc na unajua hiyo ndio sababu wekaza kwa AFYA yako upate ya mfumo mzima uzazi na usikate Tamara.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mombasa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Mombasa