Faiza mohammed
Fashion designer ๐
Listening ๐ง๐ถ music
Smiling queen ๐
28/05/2026
Upweke unauma, lakini mara nyingine ndio sehemu pekee ambayo moyo hupata nafasi ya kusema yote yaliyofichika.. ๐
Ipo siku utatabasamu huku machozi yakikutoka, ukijua Mungu hakuwahi kukusahau. ๐ค
shifaa ya harraka inshallah ๐
Rabbana atina fid-dunya hasanatan wa fil โakhirati hasanatan wa qina โadhaban-nar.๐คฒ
Allahumma inni asโaluka al-jannah wa aโudhu bika min an-nar.๐คฒ๐คฒ
25/05/2026
๐๐ง๐๐๐ก๐จ๐ค๐ข๐จ๐ง๐ ๐๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ ๐ข๐ง๐, ๐๐๐ข๐จ ๐๐๐ง๐๐๐ก๐จ๐จ๐ง๐ ๐๐ฐ๐๐ค๐จ
Kuna kitu wengi hawataki kukubaliโunapokaa kuangalia na kuhukumu madhaifu ya wengine, usijidanganye kuwa wewe uko salama. Ukweli ni huu: watu wanakuangalia kwa jicho hilo hilo. Wanapima tabia zako, wanachambua mapungufu yako, na wanajenga taswira yako kimya kimya.
Tofauti ni kwamba wengine wako busy kujirekebisha, wewe uko busy kuangalia wengine. Hapo ndipo unapoteza mchezo bila kujua.
Ukiona kosa kwa mtu, jiulize kwanzaโje, mimi niko sawa kwenye hilo eneo? K**a hujajijenga, criticism yako haina uzito. Dunia haiheshimu anayesema sana, inaheshimu anayejiboresha.
Anza kufanyia kazi madhaifu yako kimya kimya. Kwa sababu ukichelewa, watu watakuweka kwenye kundi la wale wanaojua kuongea tu, si kutenda. Na hilo kundi halina nafasi ya kushinda.
24/05/2026
Huenda siku moja utanitafuta na usinipate,ila kumbuka nilikuwepo kwaajili yako,lakini hukuwahi kunithamini.๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Naweza kujujali bado lakini nikakuchagua kukuondoa kwenye maisha yangu๐๐.Naweza kukumiss na lakini nisitamani tena kuzungumza nawe๐ฅน๐ค๐ค๐ค
23/05/2026
Usisahau kuwa, mapambano yetu yako tofauti. Yaani, kuna watu ambao wametokea kwenye familia ambazo wanajipambania wao, Hawana mzigo wa watu wengine.
Lakini, kuna watu ambao wametokea kwenye familia ambazo, inabidi awapambanie wadogo zake na hadi wazazi wake.
Watu hawa Wawili hawawezi kufanana kwenye vipaumbele vyao vya maisha.
Hii ndio maana, usishindane na mtu ambaye hujui aina Yake ya mapambano.
Kuna wakati watu wanaweza kukuona umechelewa sana kupiga hatua, wengine wanaweza kukuona k**a ni mzembe au mtu usiyejielewa.
Wengine wanakulaumu na kukucheka kwa sababu haujajenga, haujanunua gari, hauvai Nguo za gharama n.k Ila hawajui aina ya mapambano unayokabiliana nayo.
Usikate tamaa kwa sababu unaonekana umechelewa ukilinganishwa na wengine.
Endelea kupambana kwa namna iliyo sahihi kwako. Kila mtu yuko ukurasa tofauti wa maisha.
23/05/2026
Mwisho wa mawindo mbwa Hana thamani.
Ni kauli Moja Ina maana kubwa sana kwenye maisha yetu ya Kila siku na kwa baadae.
Fanya vyote ila kuwa na tahadhari lolote linaweza kutokea.
Lengo ni Nini?
Fanya kile ambacho kipo ndani ya uwezo wako ukiwa na tahadhali
Nawatakia siku njema na mafanikio mema kwa ajili ya kujenga uchumi wako.
TUMEELEWANA ๐ฏโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธ
22/05/2026
โFoleni inayomkera dereva barabarani , ndiyo inayomletea rizki muuza maji...
โKuna mchezo unaitwa maisha , hata ukishinda bado utakufa...
โMaji machafu hayajawahi kuzuia mmea kukua , usiruhusu maneno hasi yazuie ukuaji wako...
โKamwe usichukue amani ya mtu aliyekulia kwenye vita...
โNi mito yetu ya kulalia tu , ndio inayojua kiasi cha hisia na machozi tuliyotoa kwa sababu ya watu...
โBaada ya mazishi , watu wanapokuwa wameondoka na eneo linapopoa kabisa , hapo ndio mazishi na msiba unaanza kweli...
โSubra ni k**a dawa radha yake ni chungu lakini matokeo yake ni mazuri.
21/05/2026
Inawezekana kua hilo penzi lako lishakufa ila unendekeza hisia za kijinga,,mmmh alishakuonyesha kila dalili kua penzi lenu limeisha ila ujinga umeujaza moyoni๐๐
Umechagua kukwama pasipo na kisiki wala kutosimama penye nguzo. Sio kwamba hakujali ila wewe ndie umekomaa kwa mtu asiyekupenda tena ...Mimi
Faiza nina kuambia amka bado hujachelewa๐คฅ๐คฅ
Big shout out to my newest top fans! Nasor Kuga, Fatty Classic Musa, Yahya Kuzi, Brighton Katete, Razer Bonahz, Yusuph Hassan, Fashley Malika, Fuad Karama, Khadija Abdallah, Mbaga Bashiri, Chid Hamad, Da Sau
20/05/2026
K**a una mwanamke ukisema upo busy anakuelewa basi mtunze,
Ukisema hauna chochote anakuelewa na hapunguzi heshima mtunze.
Ukikosa kazi anakupa pole na haachi kukutia moyo,,Brooo mtunze huyo.
Ukikosa amani, ukipata hasara, ukipoteza matumaini anakua karibu yako bila hofu, mtuze.
K**a kipao mbele chake ni wewe kabla ya vitu na mali zako ,basi mtunze mara mbili.
Siku utakapohisi ni mjinga na amekosa pa kwenda utaipoteza lulu hiyo mikononi mwako,
๐ข
Usimfanye afike hatua ya kujiuliza kwa nini alikupenda wewe bila sababu,. Mimi faiza nakushauri tunza hiyo lulu yako๐ฏ๐ฏ๐ข๐ข
20/05/2026
Unataka akufanyie nini kingine ndipo uamini k**a hakufai??
Ameshakuonesha michepuko yake na anachat nayo mbele yako.
Ameshazalisha wanawake wengine ukiwa kwenye mahusiano na yeye,,
Kila siku unakula block zisizo na adabu k**a kuku na banda lake
๐ข
Leo anakutukana na kukuacha week kadhaa a anakurudia kwa magoti na machozi,,
Ameshakutolesha mimba za kutosha na ameshakuambia ueke uzazi wa mpango.
Unataka afanye nini??
Akutoe Figo akaiuze apate mtaji wa maisha sindio?? Amekataa kukutambulisha kwao,kwenu hajulikani ila mnaishi pika pakua mwaka wa pili huu,..
Kinachokufanya usiondoke ni nini?
Pesa anazokupa au mtoto uliezaa naye?Au ujinga wa moyo wako?
Unanifanya hata mimi nakosa cha kukusaidia๐ข.
Unaheshimu ujinga wa hisia zako ikiamini ni mapenzi ya dhati kwake?
K**a bado hujazaa naye ondoka leo,tofauti ushakua fala kwake.sina sababu ya kuremba maneno,,nasema hivi ameshakuona kopo na mfuniko ,mjinga uliyekosa future,,
AMKA BINTI HAUJACHELEWA
โค๏ธโค๏ธโค๏ธ
Click here to claim your Sponsored Listing.
