Uamsho na Matengenezo
Tunakusalimia ndugu na dada unayetufuatilia kwenye mtandao.
kundi hili ni la kutangaza injili.karibuni nyote💯
https://youtube.com/@reformersreformation?si=o_dsj1Dn3_cmvy8y
19/05/2026
*Utaratibu wa siku na masaa tutatumia kwenye Radio Citizen*
Kipindi Kinaitwa: *Ukweli wa sasa* tutaanza tarehe
17 *hadi* _24/05/2026_
1️⃣✅17/05/2026: *7h-9h* AM. _sunday_
2️⃣✅18/05/2026 :5h-6h AM. *Monday*✅✅✅✅
3️⃣✅19/05/2026:5h-6h AM. *Tuesday*✅✅✅✅✅✅✅
*Kesho Jumatanu asubuhi*:
4️⃣✅20/05/2026:5h-6h AM. *Whensday*
5️⃣✅21/05/2026:5h-6h AM. *Thusday*
6️⃣✅22/05/2026:5h-6h AM. *Friday*
🚫✅23/05/2026 *hakuna kipindi*
8️⃣✅24/05/2026:*7h-9h* AM. *sunday*
NAIROBI:106.7 Mhz
MOMBASA:105.1Mhz
NAKURU:104.3Mhz
ELDORET:90.4Mhz
NYERI:104.5Mhz
*Number ya kupiga kipindi kikiisha*:
1️⃣ 0733330015
2️⃣ 0110150082
3️⃣ 0722200730
✉️ SMS: 2106
*Mtangazaji akipea watu ruhusa kupiga kwa radio sote tunafaa kupiga kwa hizo number ili nasi tupate nafasi ya kupongeza kipindi*
Mungu awabariki nyote katika jina la Yesu Amen
Basi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lo lote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu.
Whether therefore ye eat, or drink, or whatsoever ye do, do all to the glory of God.
TUWE NA UKRISTO HALISI
Watoto wanasahau wazazi wakikula raha hapa na pale.Wazazi nguwo zimechanika,wanalala njaa😔😔😔.Nao watoto wao wako *Mombasa raha*
MME AWE KABURI YA MAKOSA YA MKE WAKE NA MKEWE AWE KABURI YA MAKOSA YA MMEWE
HASIRA NI HASARA🫢🫢🫢
ATI MWANAUME NDIO KUSEMA AWE MEMA AU MABAYA NI UONGO HAIFAI KUWA HIVO
🙏✅TUNASONGA MBELE NA KUKUZA FAMILIA ZETU
17/05/2026
Kesho asubuhi Tena tuwe pamoja kwenye radio Citizen
Click here to claim your Sponsored Listing.
