Dogo sumu "macho"

Dogo sumu  "macho"

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dogo sumu "macho", Health/Beauty, Wendani, Ruiru.

03/11/2021

Cash money

29/04/2021

Lzma niomoke (part 2)
OK nikambia wasee wangu acha niende hivi kkunia kwa hizi choo za kulila
Kali to.....( akiniongelesha) na nilikuambia ngurue hii usikule mahidi jemsha kwa gari hukunisikia πŸ˜†πŸ˜†ona sasa unaenda kuhara .
Me .....πŸ˜’πŸ˜’na bro usiaze matusi ., nilitoka kuelekea choo ile ya kulipe kinde .
Mtu wa choo.....bro choo ni ten kukokchoa kkunia n mbao 😏
Me ..sawa nipe gazeti ya kujipanguza πŸ˜’πŸ˜’, aftr kitu 20 mnts nilikua nishamaliz ( usiniulize mbona me ukunia nusu saa ,thats my life saitani) Kurudi mahali niliacha mbogi yangu walai sikuamini . hakuna msee ata 1 mmoja , kumbe jemo na kalito walienda , sema kushutuka nikafeel kurudi chooni walai . nikajarb kuliza makanga wa ile gari
Me....bro wale maboys nilikua nawo ulieonda wakienda aje πŸ˜₯πŸ˜₯
Ma kanga... Ndo hawa kwa mfuko yangu 😏😏. Aki nynyi makanga msahau na njia ya kuenda mbiguni . , niliaza kupiga hesabu πŸ‘“πŸ“ ama nipigie maparo wanitumie dooh nirudi tu om , kuenda kuingisha mkono nitoe simu kumbe nishapigwa ngeta b4 nipige hesabuh phnπŸ“± hakuna 😭 sasa nikajua huku nisha dedi , RIP for me please , kidogo Kidogo kukaingia ingia kagiza ju tulikua tumefika nai 5:48 sasa nitaenda kulala wapy shetani akanitembelea akiwa amedungia panty ya red, nilifukuzwa apo na mlizi mwenye ujunga hizo magari , na Niko njaa cufwe ndo iyo wamefunga mahoteli sasa hakuna mahali nitadish. Nikaza kupiga mamiguu kujionea mtaa heli nikutane na hao makarao wanishike niende kkula maharagwe ju Niko njaa . ghafla bin wala πŸ˜†πŸ˜† I mean ja mkufuu hu hu hali wali wa mama yake 😝😝nikiwa napita kando ya high way nikasikia Da daa daaaa da nikajua basi makaro wameaza kugeuka side ya iyo sauti kumbe n Range RoverπŸš™ imepiga past , kiasi ikasima kidogo hivi limama frn likashuka
Uyo mama.....oooh. My God what is this now ,, akatupa tupa macho ka mwenye anaangilia mtu wa kumuekea mguu atoe iyo. Na hakkua na mtu buh ni mm tu ,nikasikia Ex quiz me Mr can you help me please ,nikajua huyu nitampola simu .........
Part 3 on tha way

25/04/2021

Lzma niomoke
Ten k ...i go by tha name Dogo ule mpenda haga ama ukipenda unaeza niita ten k . najua unauliza ten k ni jina gani hilo 😣😣buh ni sawa ,

Story yangu ni hii....ilikua asubuhi frn ya Sunday tumeamka na maparo n'gombe sishaekewa food ziko sawa sa ni wakati tunaenda jaj ,β›ͺβ›ͺbuh huwa naendanga kuangalia tu mahaga. So tulitoka , kufika kwa road nikakutana na ule morio wangu jemo wakiwa na kalito ...

Kalito ..: niaje bazuu
Mimi...: poa sana kalito niambie
Kaliti....cheky bro kuna form imejipa kanairo buda si twende man tuomoke
Jemo......eeeh bana kuna morio wangu frn amenitia job na amesma niende na wasee ka sita hivi πŸ‘ͺπŸ‘ͺ
Nikafikilia na venye home si tunasumbuka hakuna dooh bro angu mdogo alifukuzwa shule ju ya school fees ,mokoro wangu daily nikuomba akilia akituombea ady akiniombea nipate job . nikajua maombi yake imesikika lbda . nikacall budangu nikamusho iyi risto akajangamka na tao mbili akanisho ukifika nairofi ujungane sana na uko ....

Kalito......buda umeamua aje ?
Jemo ......ama unafikilia ule dem ako shiko kumuaja huku wasee wa duthi kumuchangamukia πŸ†πŸ†πŸ‘™
Si kalito alicheka ady nikaona meno yake tathe fae ,
Mimi......ni nini mbaya na ww makende hii K**a n kuenda si tuende kwani .
So tukapia home nikapanga tunguo twangu sisi hao ady stage ya krb town yetu ....
Jemo.....conda nai ni ngapi bro
Conda......ni elfu moja Mia tano
Kali to......aty ngapi 😧😧😧
Conda......uliza hawa marafki zako k**a hauna masikio..πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜Œ
Mimi......sisi tuko na elfu aky
Conda . ....aty 😠😠😠(akiwa amekasirika) endeni mukunywe kanusu na iyo pesa.
Sa iliturazimu tuende gari ingine uyo conda hakua k**a uyu mwingine alitusho tulipe elfu moja mia moja kila msee. ..
Tuliaza safari vizuri God alikua nasi sisi ndio hao mtaani .bytha it was my second tym kufika nai ju kuna day nishai come kwa aunty .tukashuka gari ( sasa hapa ndo shida iliaza na venye kalito na jemo hawananga simu ) nikawashoo majaamaa si mningoje ningie kkunia huku
Kali to....nilikuambia

Dogo sumu "macho" Send a message to learn more

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Ruiru?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Wendani
Ruiru