Kasuku Videos
high quality
05/12/2023
Kuna kisa kimoja kiliwahi nitokea Sina hamu kabisa aisee mtu unaempenda kwa dhati kabisa kumbe na yeye analake Jambo Ila baadhi ya wadada wanavyofanya sivyo kabisa yaani, Kuna watakao nitukana yote sawa. Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26 kipindi Cha nyuma (one year ago) nilikua na binti kwenye mahusiano yapata miaka mitano(5) nilianza nae mahusiano yeye akiwa form three me nikiwa form 4 shule tofauti basi mahusiano yakaanza kwakweli tulikua tunapendana Sana Sana mpaka baadhi ya marafiki na hata baadhi ya watu waliokua wakifaham mahusiano yetu walikua wakiyamezea mate sana, Sasa Mimi nilivyo maliza form four nikafaulu kwenda form five ( mwenge high school) kwa kipindi hicho yeye akaingia form four , basi kila likizo tukawa tuna kutana sehem nakufurahia mahusiano yetu , alivyo maliza form 4 me nikaingia form six basi tukawa tunawasiliana K**a inavyokua kawaida ya wapenzi wanao kua wanapendana, baada ya muda frani matokeo yao yakatoka akanitafta me nilikua boarding Ila nikawa natumia simu kisiri Sana, Sasa Kuna siku akanitumia sms "Baby matokeo yametoka nasikia?" nikamwambia nitumie namba ya mtihani wako hakuchelewa akatuma basi nikamuangalizia nikakuta amepata dvn four ya 27 yule mdada nilivyo mweleza matokeo hayo alilia Sana baadae nikambembeleza akawa amenyamaza japo ilimchukua muda kunyamaza, basi nikamwambia chuo mbona utapata tu kwa hayo matokeo mbona mazuri tu, yeye akanambia nitaenda chuo Cha Nani na matokeo haya Mimi!?? nikamwambia niachie mimi Hilo swala akakubali basi muda wa application ulivyo fika nikaenda chuo kimoja singida(TPSC TAWI LA SINGIDA)maana ndipo na Mimi nilikua nasoma advance Mkoa huo katika shule ya mwenge high school sasa nilivyo maliza kufanya application baada ya muda akawa amechaguliwa kusoma usecritary baadae nikamwambia hongera umechaguliwa kusoma usecretary ! akafurahi Sana na akamwambia mzazi wake mzazi pia hakua na makuu akampa ada kila kitu ya kwenda chuo Basi Mimi nikawa naendelea na masomo pia yeye muda ulivyofika akaja singida akaanza masomo katika chuo hicho (TPSC), Mimi nilivyo karibia kufanya mtihani mwezi mmoja ukawa umebakia nikasikia baba mzazi Wangu amefariki kwakweli taarifa Ile iliniliza saana niliumia baada ya hapo walimu walipata taarifa hiyo ya msiba wa baba wakaniruhusu kwenda nyumbani yule girlfriend wangu akanisindikiza mpaka msibani, basi baada ya mazishi tukarudi maana tulikaa siku 4 tu kwa sababu na yeye ilitakiwa akajiandae na test za chuoni kwao na sisi tulikua tunakaribia kufanya mtihani wa taifa wa form six nikaenda kujiandaa na mtihani, siku ya mtihani ilivyofika tukafanya mtihani baada ya ratiba zangu za mitihani kuisha nilienda nyumbani kumsalimia mama baadae nikarudi singida kuendelea na Mishe za mitaani huku nikisubria matokeo ( nikawa nimepanga na yule binti tunaishi wote) basi baada ya muda matokeo yetu yalivyo toka Nilimshukuru MUNGU nikawa nimefaulu kwenda chuo kikuu maana nilipata dvn one ya 7 basi nikaomba mkopo nikapata na chuo nikapata "dar "nikaenda kusoma bachelor degree ya uhasibu basi nilivyo fika chuo mwaka wakwanza baada ya muda yule dada akabadilika Sana pesa niliokua napata ya boom yaani pesa ya kijikimu chuoni nilikua namtumia pia lakini baadae dada yule akawa na kiburi Sana kila nikimwambia Jambo tunagombana, haambiliki nikawa na mtumia bidhaa za kuuza kutoka dar akawa anazipondea bidhaa Mara mbaya hamna mtu atanunua basi nilikua naumia sana Ila basi tu basi, baadae sisi muda wa filidi ukafika nikamwambia filid nakuja huko akasema anataka kwenda nyumbani kwao maana yeye alikua anakaribia kumaliza diploma yake ya usecritary Basi ikabidi nibadilishe filid nikaenda mkoa mwingine ambapo nimkoa wanyumbani kwetu, basi nilivyofanikisha kubadili filidi kwenda nyumbani yule dada Safari ya kwenda nyumbani ikaisha akabakia singida nilivyomuuliza mbona huko hautoki akasema Nasubria matokeo ninaweza kua na supp nikamwambia kwanini usingenambia ukweli nikabaki huko akanijibu ndo hivyo tu elewa basi kila nikimtafta some time hapatikani nilikua naumia sana Sana kwa maana nilikua nampenda sana yule dada basi binafsi Mimi nilikua na mawazo Sana Chuoni yaani mengi Basi sikua nimefanya vzr Mitihani yangu ya semester ikapelekea mpaka Mimi kufeli chuo Basi nilivyo mweleza yule dada pia hakunielewa nikaishiwa kutukanwa tu😭 na kunambia nifute namba yake na nisimtafute kamwe nikamweleza yote haya yametokea kwa sababu yako kwanini umekua hivyo dada yule hakunielewa kabisa Basi mpaka Sasa simu zangu akakataa kupokea kabisa Wala kujibu sms Cha mwisho nilicho kipata nikasikia Ana mchumba na wanataka kufunga ndoa na amepeleka mahali kwao kiukweli niliumia Sana maana kwangu kwa Sasa nikiangalia Mimi familia inanitegemea bado, lakini yamekua haya Tena Basi ninaumia sana Sana sijui kitu chakufanya hapa jamaa zangu nilokua nasoma nao ndio wananipa moyo yeye Hana Nia na Mimi Tena to be honest naumia sana I don't know when will I be back to fulfil my dream but naamini hili litapita ipo siku tu but K**a Kuna kazi yeyote ya kufanya naomba mnishirikishe ndg zangu nipate ada nirudi chuo nipo Sina ramani sijui chakufanya😭
04/02/2022
Hellow natafuta mwanaume atakae weza kunikuna vizuri na aweze kunifikisha kileleni, k**a uko tayari weka namba yako ya Whatsapp nakucheki inbox😘
Click here to claim your Sponsored Listing.
