Mama Fidel beauty salon
A hairstylist located at turbo uasin ngishu county..Kenyan lady💕💕💕💪💪
08/12/2025
07/12/2025
🥰🥰🥰
02/12/2025
natural twist you can retouch it upto 6 month if you like it..bonjur no ..have never tried it🥰🥰🥰love your work dear girls do it like you're employed by a tough employer who keeps time..open your shop early in the morning..let them know "if it's mama Fidel she opens salon mapema sana I can get her by 7_8am⏰⏰. and if you're a client pay your saloonist good..for her to feel good when she gets home late .let her smile with her family at her table as she pray for you to get more money 🥰🥰🥰. my fellow business women here let it be our routine to pray for our clients ..as God opens door of success and more money for us and so it shall be on our clients🙏🙏
28/11/2025
this has served her for two month so she came for retouch..the hair I used is Natural twist🥰🥰it can give you a good service of 6month🥰👉
25/11/2025
nywele nimemtumia ni natural twist ya darling🥰🥰
22/11/2025
hi gals ..alafu dear ones hata ukiwa na customers wengi usiwai develop madharau🥺Kuna wakati hao unao tegemea watapata kwengine kizuri na utaanza kupembeleza customers tena. just be you, hata customer anashindwa akutoroke aje coz always unamtreat poa..🥰🥰but Kuna wale watataka kukupea stress tu bure juu anakulipa pesa ..😨😨usimfukuze but mpee silent treatment atajitoa tu..ambia Mungu nipe wale watanielewa na Mimi niwaelewe..always have a smiling face even to those customers that make their hair in different salon..be welcoming always ..Always thank God not only when you get customers but also when you did not🙏😳.
19/11/2025
Part 6
COVID ikaingia ikambidi watu tufunge maduka..Sasa hapo nikaanza mobile salon ..na juu nilikua na blowdry yangu na bag ya mgongo ..nikaanza kuenda door to door kutengeneza customers wangu..niliunda pesa warembo aki ..😘😘coz huko lines za shule ilikua 300,kupaka chem ni 500.. nikashikana na wasichana 6 tukambiana tuinde chama ya 10k monthly ..nikapewa zangu za kwanza nikapeleka kwa shamba direct. baba Fidel nae alikua ni matutions tu kwa maboma pia ..ikifika end month tunatoa ya chama 10k mpka tuk**alizia chama.🙏🙏Tukapata intern sagana kirinyaga. huko sikua najua mtu so ilibidi nijisuke mwenyewe nikitembeza kichwa changu kwa street kuonyesha watu😂😂😂 Mungu akanisaidia nikapata clients wengi...hapo ndio nikanunua blowdry ya pili Sasa😅 nikapata ball mtoi akakufia kwa tumbo akiwa 9 month nikingoja siku ya kujifungua...nikaenda morang'a hospital nikatolewa..so juu ya hiyo stress baba Fidel akanichukulia loan ya 50k nifungue salon juu alikua akiniacha kwa nyumba anapata nimekulakula nguo zenye nilikua nimebuyia my unborn child😀😀akasema huyu nitapata amekufia hapa..kwa plot tulikua wanawake wanne wajawazito but wangu tu ndio alikufa so unaona hiyo stress😨😨nikajikaza na salon mpka nikasahau kidogo shida zangu...2022 Baba Fidel akaandikwa Sasa na akatumwa kakamega. nikamfuata tena 😅 nikafunga salon🤣🤣🤣
wale mlitaka video venye nimefix hiyo twist ya matuta kwanza ndio hii hapa🥰
hivo ndio Mimi huficha nywele ..angalieni vizuri🥰🥰
18/11/2025
Part 5
kurudiana na baba Fidel nikamfuata wajir ..huko maji 20 litre ilikua 200/= nyanya moja 20 k**a hakuna mvua imenyesha huko ikacaurse mafuriko..but k**a Kuna mafuriko nyanya moja ni 50..then ova 100...but tulivumilia .nikasaka job super nikapata ya supervisor. 😍😍nikafanya miaka mbili but nikaona manager hanipendi na ameanza kunichokora nifutwe k**a umbwa nikose recommendation letter..😨nikaamua kujifuta mwenyewe juu Nilitaka sana hiyo recommendation letter ..wakanipea good recommendation letter juu hawakunifuta nilijifuta..hapo ndio nilitafuta kazi ya salon Sasa kwa mama mwingine anaitwa jully..nikafanya na yeye mwaka but wasichana alikua ameandika wakaanza kunionea wivu ..juu customer service nilikua napea customer lazima akirudi ananiulizia na anasema nangoja tu irine anitemgeneze..ikabidi huyo mama akanifuta na madharau 😢kwanza niliketishwa chini k**a mtoto nikaambiwa sema yote 😅"SI ulisema hivi na hivi ...yaani hata mengine siyajui 🥺🥺nikanyang'anywa key .na nikaambiwa nisijaribu kukaribia hapo..😭😭nikaona Sasa dunia yangu imesimama...bahati mzuri nikawa Kuna customer niliwai mtengeneza vizuri na kumbe ako na salon na hajui kusuka but alikua horia KHEIRA .Alinikaribisha akasema niwe nikisukia customers wangu kwake but nimpee tu 10/% 🙏nikafanya nikanunia blowdry yangu ya kwanza 2018..customers wenyewe wakanifuata. weuh Wacha hao wasichana wapeleke huyo mama vitina tena.🥺nilitafutwa na kisu usiku kwa salon mpka tuk**alizia kesi police station..ati nimeiba customers😭😭 huyo mama alikua mzuri but shida ni watu tulikua tunafanya nao kazi.😭😭 watu wangu nililia whole night .baba Fidel ndio alikua ananipea moyo akiniambia nsiku moja nitafungua yangu.nakujaaki😭😭😭
17/11/2025
Part 4
Sasa nilikaa hapo jamaa akakunywa pome yake ak**aliza akatoka ..Sasa naenda kuambia manager Mimi nataka kuenda kwa nyumba..akacheka akasema wewe mtoto sisi hatujafunga kazi😭😭imefika sasaba Niko kwa bar nauzia watu pombe na Mimi sikulelewa kwa pombe😭 ..nilikua najiambia tu kimoyomoyo .ooh kesho mkiniona hapa mniite mjinga..tulitokea job satisa tukaen da kudoz but before ifike 6 nilikua nimepack nguo Niko stage ya kuenda home kwa babangu🤣😅. home mambo yakawa magumu juu Niko na mtoto na ako shule...so mca akakuja akasema anataka watoto 10 wakusomesha college..Mimi naye nikamuendea tukiwa na mum anichukue tu coz my dream ilikua niwe daktari ..akanikubali 🙏 Sasa kuenda huko nikasoma na hakuna pesa inatumwa na mca kwa ajili yangu ...but wenye tulikua tumeletwa na mca wote walikua wanapokea pesa kutoka kwake butt Mimi hakuna.😨nikamiss exams mara tatu ..unajua course ya medical laboratory venye ukimiss exams huwezi songa mbele 😢wengine ndio wanasona ..nika give up nikaemda Nairobi Sasa kutafuta vibarua..kifika huko nikapatNelly Chelimoana besty ..but maisha ikawa ngumu pia ....Sasa siku moja nikaamua kuenda industrial area kutafuta kazi ..Sasa nikiwa napita hapo DT Dobby ..nikachungulia kwa mkahawa nikaona wazungu wawili na mwafrika moja...nikasema Wacha nijaribu bahata. nikatupa kizungu changu kwao wakanipea card..na nikaambiwa tukutane hapo mtihani house kesho..so kuenda wakaniambia nimepata kazi but mshahara ni after kupiga deals ..deal ya kwanza ilikua ya 40k kuwaletea pesa wakanipea 1k😨😢Sasa ikawa Kila nikifanya kazi nao wao wanakula 95% Mimi nakula 5%..nikachoka nao nikaacha hiyo kazi..hapo Sasa ndio nikarudiana na baba Fidel....mlalae poa nakuja kesho kumalizia
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dubai
