simulizi za dr john
BURUDIKA NA ELIMIKA KWA STORY TAMU
06/01/2026
BOSS WA MAMA
SEHEMU YA 1
Alikuwa ndani ya chumba cha hoteli akiwa kimya na mwanaume aliyemeahidi pesa nyingi ikiwa atakubali kulala naye usiku mmoja. Hakuwahi kufikiria k**a ipo siku angefanya jambo k**a hilo. Alikuwa muuza matunda mtaani na si mtu wa kuuza mwili wake, lakini maisha yalimpiga vibaya. Ghafla, mama yake aliugua sana na alihitaji upasuaji wa haraka. Madaktari walisema bila kuweka amana ya laki tano, wasingeweza kuanza matibabu.
Dada yake pacha, Abigail, naye alikuwa anahangaika akifanya kazi za ndani. Wasichana wote wawili walikuwa wakifanya kila wawezalo kukusanya pesa za matibabu ya mama yao. Siku zilikatika na hali ya mama ikazidi kuwa mbaya. Matumaini yakaanza kupotea.
Miongoni mwa wateja wake wa matunda, alikuwepo mwanaume mmoja tajiri wa makamo, aliyevaa vizuri na mwenye ushawishi, lakini alikuwa na mke. Kwa miezi kadhaa, mwanaume huyo alikuwa akimtongoza. Kila aliposimamisha gari lake mtaani, macho yake yalionyesha wazi kile alichokuwa anakitaka. Rachel alimkataa kila mara ili kulinda heshima yake. Lakini afya ya mama ilipozidi kuwa mbaya na kukiwa hakuna njia nyingine, alifanya uamuzi mgumu zaidi maishani mwake.
Alijiambia moyoni kuwa ni mara moja tu, kwa ajili ya kuokoa maisha ya mama yake.
Yule mwanaume alipoanza kumshika, simu ya Rachel ilianza kuita. Alipuuza huku moyo ukimwenda mbio kwa aibu na kukata tamaa. Simu iliendelea kuita mfululizo mpaka yule mwanaume akakasirika.
"Hebu zima hiyo kitu!" alisema kwa ukali.
Rachel alinyakua simu ili auizime, lakini jina lililoonekana kwenye kioo lilimfanya agande. Alikuwa Abigail, dada yake pacha. Moyo ulimlipuka.
"Samahani bwana, naomba nipokee simu hii," alisema kwa sauti ya kutetemeka. "Mama yuko hospitali ni mgonjwa sana. Sikuja hapa kwa kupenda, nimekuja kwa sababu sina namna nyingine ya kumwokoa. Umekuwa uking’ang’ania hili kwa zaidi ya mwaka, na leo nimekubali ili nimpate mama msaada. Tafadhali, niache nipokee."
Yule mwanaume alikunja uso lakini akamwacha. Rachel akapokea, "Abigail, kuna nini?"
Sauti ya Abigail ilisikika ikiwa imevunjika na dhaifu. "Rachel... watu wa hospitali wamekupigia simu. Mama hali yake ni mbaya. Walisema uje haraka. Imechelewa sana... maambukizi yamesambaa. Anataka kutuona kwa mara ya mwisho kabla..."
Sauti ilikatika kwa kilio. Rachel alidondosha simu kwa mshtuko, mikono ikimtetemeka. Mwili ulimnyasirika baridi. Yule mwanaume alimshangaa kwa kukosa subira, lakini Rachel hakuwepo pale tena kimawazo.
Bila kusema lolote, alimsukuma yule mwanaume, akachukua mkoba wake na kukimbia nje ya hoteli.
Nje, alipiga mkono bodaboda kwa haraka. "Nipeleke Hospitali Kuu ya Jiji haraka sana!" alilia.
Dereva wa bodaboda alipoona machozi yake, hakupoteza muda. Alikanyaga mafuta na kukata mitaa kwa kasi. Rachel alikuwa akipumua kwa shida huku akiomba angalau amkute mama yake akiwa hai.
Alipofika hospitali, alishuka kwenye pikipiki hata kabla haijasimama vizuri. Alikimbia wodini na kumkuta Abigail akiwa amelia mpaka macho yakavimba.
"Umemwona mama?" Rachel aliuliza kwa shida.
Abigail alitikisa kichwa. "Bado, wamesema alikuwa anatuulizia."
Waliingia wodini pamoja. Mama yao alikuwa amelala akiwa amedhoofika sana, akivuta pumzi kwa tabu huku mirija ikiwa imemzunguka. Alipowaona, alifungua macho kidogo.
"Binti zangu..." alinong'ona kwa sauti ya chini sana.
"Mama, tuko hapa," Abigail alisema akimshika mkono huku akilia.
"Mjitunze," mama alinong'ona. "Nimewaachia barua kwenye droo, ndani ya bahasha ya kahawia. Ile niliyowaambia msiifungue mpaka nitakaposema. Huu ndio wakati, isomeni. Kila kitu kuhusu baba yenu na asili yenu kimeandikwa humo."
"Mama usiseme hivyo, utapona," Rachel alisihi.
Lakini mama yao alitabasamu kidogo kwa amani, tabasamu la mtu aliyemaliza safari yake. "Nawapenda sana," alinong'ona, kisha akafumba macho polepole.
"Mama? Mama nijibu!" walilia huku wakimtikisa, lakini alikuwa ameshatangulia mbele za haki.
Wauguzi waliingia na kuufunika mwili wake kwa shuka jeupe. Rachel alianguka chini kwa uchungu. "Laiti nisingepoteza muda kule hotelini..." alijisemea moyoni.
Usiku huo, baada ya kuanza taratibu za msiba, walirudi nyumbani kwao. Kila kitu kilikuwa kinamkumbusha mama yao. Walifungua ile droo na kukuta bahasha ya kahawia.
"Tuifungue?" Rachel aliuliza. Abigail akajibu, "Bado, tuisubiri wakati mwingine." Hawakujua kuwa siri iliyomo ndani ya barua hiyo ingebadilisha maisha yao milele.
SEHEMU YA 2
Baada ya mazishi ya mama yao, mapacha hao walikaa kitandani wakiwa na huzuni nzito. Maisha ya mama yao yalikuwa ya tabu; alifanya kazi za kufua na kusafisha ili kuwalea, lakini umaskini ulimzuia kupata matibabu bora.
Kwa miaka 18, aliwalea peke yake bila kumtaja baba yao. Kila walipouliza, alikuwa anasema, "Wakati ukifika mtajua." Sasa wakati huo ulikuwa umefika.
Hali ya maisha ilikuwa ngumu. Mwenye nyumba alikuwa anadai kodi na aliwapa wiki mbili tu wahame. Abigail alikuwa akifanya kazi za ndani na Rachel akiuza matunda, lakini pesa haikutosha. Ndugu zao waliwasimanga kuwa mama yao alikuwa na aibu ya kuzaa watoto wasio na baba.
Siku hiyo, waliamua kufungua ile barua. Abigail alianza kusoma:
"Binti zangu, nisameheni kwa kuwaficha ukweli huu. Nilifanya hivi ili kuwalinda. Miaka mingi iliyopita, nilikuwa nafanya kazi za ndani kwa mtu anayeheshimika sana. Alikuwa kiongozi wa kanisa na mfanyabiashara mkubwa. Kila mtu alimheshimu, lakini hakuwa mtu mzuri k**a watu walivyodhani.
Siku moja mke wake aliposafiri, bosi wangu huyo alianza kunifanyia vitendo visivyo vya kiungwana. Alinitumia vibaya usiku mmoja na kuniharibia ndoto zangu. Nilipata ujauzito wenu na nikaamua kuondoka hapo. Tafadhali, msimtafute kwa ajili ya kulipiza kisasi, mwachieni Mungu. Mtu huyo ndiye baba yenu."
Abigail alidondosha barua huku akitetemeka. Rachel akabaki ameduwaa. Bosi wa mama yao? Yule kiongozi wa dini anayehubiri utakatifu kila Jumapili ndiye baba yao?
Ukweli huo uliwashtua sana. Walikuwa watoto wa mtu ambaye alionekana ni kioo cha jamii, lakini alikuwa na siri nzito kiasi hicho.
Wakiwa wameshikana kwa nguvu, swali kuu likabaki: Je, watafanya nini baada ya kujua ukweli huu?
ITAENDELEA...
06/01/2026
ASMAA( MTOTO WA KIPEMBA😛)
Sehemu ya 33 na 34
Wassap; 789824178
Mwandishi; DOCTOR JOHN MARAMOJA
Nikasema sitaki kuolewa kwa sasa . We tulee mimba kwanza . Kisha ntakwambia uende nyumbani ukajitambulishe.akanmbia kwaiyo unataka tuzae nje ya ndoa asmaa.nikasema hapana sio hivyo ila sihitaji tu kwa sasa kuolewa haraka. Nashidi mi teyali nilishaolewa ndoa 2 uko nyuma . Na yote sababu sizai . Nishapitia mengi katika ndoa . Sitaki kuhalakia ndoa nashidi. Akassema unaona mimi naweza kukutesa wew. Hapana siwezi ata kidogo .mimi nakuhitaji kweli asma. Ata kesho nakuoa na siwez kukutesa asma. Labda ww ukanitese mimi. Ila siwez kabisa nakupenda sana na nakuhitaji sana. Plssss mama. Nikasema hapana nipe mda. Nashid akasema naichukia ile siku tulozini nna hisi itanitesa sana hii. Kisha akanyanyuka akaondoka et kachukia.mimi niliifurahia ile siku mana inaenda kunifanya naenda kuitwa mama. Basi alivyoondoka. Ndo akajinunisha hivyo sasa nikawaza sana nikaona bwana sio kweli vp paul akijua nna mimba na sijamwambia. Hi mimba nampa piaha na paul..basi nikampigia simu na paul nikampanga sasa kuwa mimi ni mjamzito wa mwez . Na mzigo ni wake. Nyie kaka akafurahi kinoma akanmbia kesho mapema nakuja dodoma .nikasema sawa . Na kwrli mapema sana mwanaume akaingia dodoma. Nyie mwanaume alifurahi mno . Nikamuuliza mbona una rahaa sana akanmbia basi tu nna raha sana . Yani nakupenda sana asmaa kuzaa na wewe ndo kitu najivunia sana. Aseee mwanaume akijua kunipa rahaa atari . Na alikaa dodoma week 1. Apo nashid si kanunua et akawa hajanitafuta. Na mimi nikawa busy natanua na baby. Na paul akanmabia kuwa mimba ikifika miezi 7 tu anakuja kunifata tunaenda kuishi dar. Ata nifanyia mpango wa biashara nataachana na kazi za kuajiliwa . Aseee niliona uyu ndo mwanume bwana.
Basi baada ya week akaondoka . Nikawa sasa na mimba 1 ila ina mababa wawili. Na mimba ikaanza kukua sasa . Basi nikaenda clinic sasa kuandikisha kadi la mimba .nikaandika baba ni paul .na wala sikumuandika nashid kabisa. Na apo paul ananitumia pesa k**a mwendawazimu . Yani nilikuwa nna hela kweli.ila sasa sikuwa na akiri ya kujiongeza kufanya kitu cha maan.mimi nilikiwa napenda sana kula vizur na kuvaaa. Basi siku iyo sasa nashid akanipigia .apo kashajinunisha mwezi. Akanmbia vp ushaanza clinic. Nikasema ndio .akanambia mbona hukunambia tuende wote.nikasema bwana kwani shida iko wapi mimi nishaenda akanmbia sawa nakutumia pesa ufanye matumizi yako.nikasema sawa ntashukuru. Khee et anatuma elfu 80 . Asa nayo hii ela .si pesa yangu ya lunch hii .akanitumia sms et umeiona. Nikasema.ndio .akanmbia sina kikubwa .nivumilie tutapamabana hivyo hivyo. Ata sikumjibu na shida zake asiniletee mimi.
Basi maisha yakawa yanaenda na mzigo unasogea.nilikuw na amani sana kupata mimba nyie yani nilikuwa nalinga aswaa. Na apo bado nashid anatuma vihela vyake.mana sio nyingi. Ila paul ndo anatuma mzigo wa maana. Na uyo ndo nilikuwa nimemkabizi kila.kitu.mpaka nikawa najuta sasa kwa nini nimempa mimba nashidi wakati wala sina mpango nae. Apo nashid anasisitiza sana kuwa siku nikienda clinic nimstue twende wote. Looh naenda nae vpi kadi la mimba nimeandika baba ni paul. Ahaa nikawa anamkaushiaa tu. Basia akawa anakasilika sana. Juu ya hilo suala la kumkimbia nikienda clinic. Akawa ananisema sana juu ya hilo suala. alafu sasa nashidi ni mwanaume ambae kanyooka sana . Yani uyu nilikuwa nagomabana sana na nashidi. Yote sababu namkwepa kwepa sana.
Siku iyo niliongea na shoga yangu raya. Nilimuelezea juu ya mazingira yangu. Akanmbia asmaa .tangia lini. Nimba moja ikawa na mababa wawili lakini. Unajua unamkosea sana nashidi. Umefikilia nashidi vizur .ebu kumbuka ndo mwanaume ambae kakuheshimisha wewe. Na kakupa heshima. Leo unafanya mambo k**a ayo. Nikasema shida hana kitu. Hana pesa . Ntalea nae vp familia.ananitumia mpaka elfu 50 et. Asa ya nn mimi. Raya akanmbia asmaa iyo pesa sio ndogo . Anakupa kutokana na uwezo wake .leo unamnyanganya mtoto wake una mpa paul . Asmaa kuwa makini.njia ya muongo ni fupi sana. Kwanza paul ni mkristo .kwa nn usingebaki na nashid ni muislamu mwenzako akakuoa.nikasema.bwana raya mimi sitaki ushauri nimekupigia kukwambia tu. Akanmbia sawa mama.nasi maisha yakaendelea . Mimba yangu ikafikisha miezi 5. Apo nahudumiwa na wote.na mala nyingi paul anakuja kuniona .ma mala chache ananitumia nauli ya ndege mimi naenda dar kwake.nakaa week end yote. Yani paul alivyojua nna mimba alizidi kunipenda jamani acheni tu.
Sasa siku iyo . Nimetoka zangu clinic. Nilikuwa nimekodi boda bwana sikutumia usafiri wangu. Ile nafika tu namkuta nashidi yupo nje ya geti langu.nikamuuliza wewe vp mbona umekuja kwangu bila ya taarifa.nashid akaniuliza unatoka wapi. Nikasema mimi sio mkeo bwana .mambo ya natoka wapi yanakujaje. Aseee akanipokonya ule mfuko wangu mm nikasema niache wewe. Ila teyar alishafungua mfuko wangu na akatoa kadi . Nikawa namzuia asiisome ila wapi alisoma . Na aliona kuwa baba wa mimba nimemwandika paul na wala sio yeye. Akaniliza hii ndo sababu kumbe inayokufanya unanikimbia asmaa. Hivi asmaa mbona una mambo ya ajabu we mwanamke .nikasema bwana nipe kadi langu. Akniuliza paul ni nani asmaa. Nikasemanni mwanume. Akanmbia najua k**a nwnaume.ila nataka.unilezee una uhusiano nae gani .akanambia yeye ndo mwenye iyo mimba ama.nikasema bwana mimi sina cha kukuelezea .k**a ushajionea mwenyewe basi. Nikataka kuingia ndani akanishika mkono. Akanmbia asmaa sehmu yenye haki yangu nielekezee .usinidharau mda wote plsss. Nambie kuhusu uhuu ujauzito ni wangu ama wa paul.nikasema ni wa paul aya umeridhika. Akanmbia sio kweli . Hii mimba ni ya kwangu asmaa. Ila unaninyima kwa sababu sina pesa kumzidi uyo paul si ndio . Asmaa ata k**a nilizini kumpata uyo mtoto nayetaka kuja .ila ni damu yangu. Usinichukulie powa asmaa. Mh hii siku nashid alichukia alinitolea macho kwrli kweli
30/12/2025
ASMAA( MTOTO WA KIPEMBA😛)
Sehemu ya 31 na 32
Wassap;
Mwandishi; DOCTOR JOHN MARAMOJA
Basi hii siku ata kula.sikutaka kula nilihisi k**a nashid kanikumbusha uchungu flani hivi. Yani.kanikumbusha kuwa mimi siwez kuzaa mana nilijisahaulisha kabisa. Nilijisikia vibaya sana hii siku. Mana umli unaenda sasa. Ni miaka 36 nakalibia sasa mungu wangu. Ila sina ata mtoto mmoja. Asee hii siku nililia na unyonge sana ata aasubuh sikuamka vizuri. Yani niliingiwa unyonge tu. Nikampigia mpaka mama. Mama alipokea simu tukasamimiana akanmbia umekuwa mnyonge leo . Shida ni nn.nikasema.hamna mama.nimekukumbuka tu. Akanmbia asma. Acha kuwaza sana .utazaa tu mtoto wangu ni suala la muda.nikasema mama ntazaa lini. Mama nazeeka miaka 36 sasa. Nimeshachoka mama. Natamani ku wa mama na mimi. Mama akanambia ebu tulia kwanza kwani leo huingii kazini. Nikasema.naingia mama. Akanmbia nenda kazini ukiludi tutaongea ila naomba usiwe mnyonge kabisa . Nikasema sawa mama. Na kweli nikajiandaa nikaingia kazini.
Ikapita k**a week sikuongeleshana kabisa na nashidi wala na yeye hakunipigia simu. Ila sasa kuna jinsi nilikuwa najihisi sipo sawa. Nikawa napata homa homa . Yani aya kuzulula nikawa siendi. Ilinichukua k**a.siku 2 hivi nikaona kabisa sipo sawa . Nikaenda hospital kujichek kwanza mana nilihis ata nna malaria . Nyie sikuamini Dr alinambia asmaa wewe ni mja mzito wa mwezi na week 2. Aseeeeee moyo wangu ulifanya paaah. Nikamuuliza dr nna mimba mimi . Akanmbia ndio ni mimba yako ya kwanza . Nikasema ndio apo nishachanganyikiwa mpaka nimesiamam. Nna tetemeka siamini. Yule Dr akanmbia pole sana naona umechelewa kuzaa ila unaenda kuwa mama sasa . Nilipiga kelele kwa furahaa mpaka dr akanikumbusha kuwa nipo hospital na kuna wagonjwa . Nikasema.dr umenipima vizur akanionesha kuwa amanipima vizuri akanmbia ata huoni mabadiliko. Nikasema.bado sijayaona ata zaidi ya kuumwa. Akanmbia sawa utaona mabadiliko mengine. So ni vizuri uje na mwenza wako mimba ikifikia miezi 3 tukuanzeshe clinic nikasema.sawa
Nyie katika siku ambayo nilikuwa na furaha katika maisha yangu ni hiii siku. Nilifurahi kweli.kweli. apo nilishaelewa huu mzigo ni wa nashid. Mana paul tumekutana tuna k**a.week 3 nyuma.ila nashidi tulikutana before. Aseee nilimuona nashid ni mwanaume jamani. Yani ile shughuri ya lisaa tu . Na kakojoa mala moja tu .mzigo ukatiki. Nyie nilikuwa nna rahaa sitaki kuwaambia .moja kwa moja nililudi kwangu.nikampigia simu mama. Aseeee simu ilita naona k**a anachelewa .nasema.mama pokea ohhh mama pokea. Basi mama akapokea.nikasema.mam nakuwa mama. Mama nakuwa maam soon tu .nna mimba mama. Mama akasema allhamdullilah jamni mwanangu. Mungu kasikia kilio chetu.
Asee ata mama alifurahi sana akanmbia hongera sana mtoto wangu. Si nilikwambia kuwa na amani utazaa tu. Si unaona. Kuwa na amani kabisa. Na apo ndo uzazi utafunguka utazaa wengi tu. Aseee nilifurahi mno. Nilikuwa na rahaa kwrli kweli. Basi maam akaanza kunielekeza mambo kibao kuhusu mimba. Akaniuliza na kuhusu bab wa mtoto .nikamueleza yupo mama. Ila sijaongea nae kuhusu hii mimba. Ila ntaongea nae na akikubali ntakuja nae nyumbani.mama akanmbia mshawishi uyo mtoto mumzae ndani ya ndoa . Nikasema sawa mama hamna shida. Aseee nilikuwa na raha mda wote najiangalia tumbo.na shika timbo langu na kufurahi kweli.kweli. yani nilikuwa happy mno. Basi hii siku sikupanga kumueleza nashidi hili suala mana namjua .nilipanga lazim nikutane nae tuongee ana kwa ana ili tuelewane vizuri . So niliplan kwenda kwake kesho yake ambayo ilikuwa ni j mosi.uo usiku nililala nakenua sana yani sana.usiku mzima nacheka cheka tu. Uku napapasa katumbo kangu. Ata bado hakajachomoka ila nakchezea tu .nyie acheni tu
Kesho yake asubuh niliamka.mapema nikafanya kazi zangu nikiwa na rahaa mno. Mpaka mida ya mchana nikampigia nashid. Akapokea tukasalimiana kisha nikamuuliza uko wapi. Akanmbia nipo kazini. Nikasem sawa kuna suala nataka tuongee utakuja nyumbani kwangu . Ama nije kwako. Akasema kwa nn tukutane majumbani. Tutoke tu tukakae sehemu za open tuagize chakura tule kisha tutaongea.nikasema we ni mpumbavu kumbe .unahisi mda wote ntakuwa nakutaka eeh mjinga wewe.nikamkatia simu .niliona anachanganya tu.nahisi sijuh ntamtega k**a fala.baad ya dakika 5 akapiga tena..akasema.asa mbona umenikatia na hatujamaliza kuongea.nikasema.ushanitibua. akanmbia sawa ntakuja nyumbani kwako usiku saa 3 nikitoka kazini nikasema sawa. Akanmbia powa . Basi mimi nikawa busy na mambo yangu. Ila.nilikuw na rahaa jamani nilimpigia mpaka shog yangu wa dar nikamuelezea kuwa na mimi naenda kuwa mama. Akaniuliza ni mzigo wa paul. Nikamwambia shoga mzigo ni wa nashid. Akasema ww yule shekhe. Nkasema yaa shekhe ana mambo yule acha kabisa. Akaniuliza unampemda na vp kuhisu paul.nikasema ntakuludia kwanza sijaelewa juu ya msimamo wangu kati ya awa wawili.
Akanmbia powa utanambia basi ata tushauliane nikasema sawa. Basi bwana mida ya usiku k**asaa 3 hivi ndo nashidi alikuja. Nikamkalibisha vizuri. Tena hii siku nilivaa dera kabisa .asiseme nimemuita kumtega. Nikamsalimia akaitika .nikamwambia nashid kwan we unamjuaje mwanamke akiwa na mimba. Akanmbia najua tu. Nikamuuliza mimi nnayo au sina. Akanmbia si nilishakwambia unayo mda sana. Na unayo bado.nikasema nashidi ndo nilichokuitia ni kweli nimethibitisha hospital kuwa nna mimba ya mwezi na week 2. Nashidi hii mimba ni ya kwako. Nashid akaniangalia kisha akasema .siwezi kukata mimba kwakua ni kweli nilishiriki na wewe. Na k**a umesema mimi ndo baba wa hiyo mimba acha nikubali mana wewe ndo unajua. Lakini mimi sitaki kuzaa nje ya ndoa . Sitaki kbisa. Naomba nikuoe sasa. Uyo mtoto atukute tukiwa katika ndoa asmaa.
23/12/2025
MTOTO WA KIPEMBA😛)
Sehemu ya 28
Wassap; 0789824178
Mwandishi; DOCTOR JOHN MARAMOJA
Basi nikakata simu yangu. Nikavuta shuka nikapumzika mana uyu mwanaume mh nachoka mimi. Na kesho yake mapema sana nikajiandaa nikaingia kazini. Uko sas mida ya mchana paul ndo akanipiga tukangea sana na pesa ya matumizi akanitumia na pesa ya maana kwa ajili ya mtumizi yangu ana week end akanihaidi kuja. Basi ikapita k**a.week sikuonana na nashidi. Ila tulikuwa tunaongea tu. Maana ata simu nashid kuna jinsi alikiwa anaikwepa .alafu sasa mimi nikawa nammisi kinoma. Nikimkumbuka hogo lake nachanganikiwa kudadeki. Yani nilikuwa natamani ata anile kila siku. Siku iyo nimetoka kazini saa 10. Nikaenda moja kwa moja mpaka kazini kwake. Nilimmis sana na nilitamani kumuona.na amekuwa na tabia kwamba nikimwambia nakuja apo. Ananmbia sipo nimetoka. Yani k**a.alikuwa ananikimbia hivi.
Basi nilipofika ofini kwake. Pale kisasa .nikamkuta rafiki yake .nikamsalimia akainiitkia na akanichangamkia vizur tu. Nikamuuliza nashidi yuko wapi.akanmbia ahaa hajatokea leo anaumwa so kapumzika kwake. Nikasema.aha saa asante yani mwanume ana tabia mbaya siku hizi. Ata kusema k**a anaumw hajanambia anaogopa ntaenda kwake . Naona alikuwa hataki kabisa kuonana na mimi. Et ntamshawishi tutazini. Basi mie nikatoka pale nikaingia ndani ya gari yangu. Na moj kwa moja mpaka kwa mchunba . Nikashuka nikapaki gari nje . Nikakuta geti kasindika tu nikaingia. Na nikajalibu kusukua mlango wa ndani nikaingia wala hakuwa amefunga. Sasa ile naingia nikamkuta kalala sebleni kwenye sofa na yupo kifua wazi .chini kavaa pensi tu
Aseee nikamsogelea taratibu mpaka pale alipoalala .
Nikawa naangalia kifua chake kilivyo kizuri. Nikawa namchunguza tu . Basi sijuh alihisi uwepo wangu akafumbua macho.nikaona kastuka harka akaamka. Akanambia umekuja sa ngapi ww. Na mbona hujanmbia k**a.unakuja asmaa.nikasema not mind ebu nambie unaendeleaje. Nikaona anaona hayupo sawa akasema ngoja nivae kwanza. Sikuruhusu hilo .nikamzuia kisha nikamkumbatia .nikasema.nashid plss naomba leo kidogo tu .yani kidogo tu .nimekumiss sana. Nashid akanisukuma hii siku .nikaanguka mpakaa katika sofa.na hakuongea na mimi akawa anaenda chumbani kwake. Asee na mimi nikawa namfata nyuma. Alipoingia tu chumbani akataka kufunga mlango ila nilimuwahi nikaingia. Akasema plsss asmaa ebu acha ayo mambo . We si hutaki nikuoe. Sasa shida inakuwa nini. Asmaa mimi sitaki kuzini. Elewa ile siku ilikuwa bahati mbaya tu.nikasema naomba na leo iwe bahati mbaya plsss nipekidogo. Akasema asmaaa ebu toka chumbani kwangu. Aseeee nikaanza kutoa mitupiozangu mbele yake .akabaki anaingalia tu. Nikatoa zote nikabaki na nguo y ndan tu. Nikamsogelea akanambia ukinishika ntakupiga hautaamini. Firauani mkubwa ww. Mwanamke gani ww hauna haibu wala haiba ya k**e. Unavua mitupiokwa ajili kupewa. Kwli biniti wa kiislamu asee usinitanie asmaa.apa utapaona k**a.kituo cha polisi. Sipo telai kuwa nazini na ww. Kamaa.umezoea upumbavu wako basi tafuta wanao kuzini sio mimi. Nilitaka kukupa heshima ya ndoa . Na tufanye hivyo unavyotaka ila kwa halali mbona hujanikubalia mpaka.leo maana yake si hunitaki. Sasa siwezi mkosea mungu wangu kila siku kwa ajili yako.. daah alinichana makavu kabisa. Nikachukia .niakasema kwaiyo unaona mimi apa najidhalilisha kwako na sijiheshimu
Akasema swadakta kabisa. Mwanamke anahejishimu hawezi kufanya unavyofanya wewe. Aseee nilichukia sana .nikavaa ñguo zangu harka .kisha nikatoka nìkiwa nahasira sana . Yani asira ilinijaa mno .mpaka nimefika kwenye gari kudrive siwezi mikono inatetemeka. Yani mwanaume alinambia maneno yaliyo nitibua mno. Nilijisikia vibaya sana. Yani moyo ukaniuma san .nikatamani kupasuka mimi. Basi nikadriev na moja kwa moja nikaelekea bar.
Wai inbox na 1000
Join kweny group
https://chat.whatsapp.com/ImWhI778EKtIZZJ1tSt3W4?mode=wwt
23/12/2025
.SINGLE MOTHER
Sehemu ya 1
Wsp 0789824178
1000
Kwa majina naitwa Sangania Jafari Ally, ila wengi wamezoea kuniita NIA. Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto wawili, ila sasa nimejikuta nimebaki peke yangu baada ya kaka yangu kipenzi kufariki. Sikuwahi kubahatika kumuona baba yangu; nililelewa na mama pekee ambaye alipambana mno kunikuza mpaka nikawa msichana anayejitambua. Tuliishi Kilimanjaro, na mimi ni Mpale.
Kiukweli, sikuwa na akili za shule kabisa. Hata darasa la saba sikumaliza, niliishia la tano nikagoma kuendelea. Mama alinichapa sana lakini msimamo wangu ulikuwa uleule, nikakataa shule. Nilipofikisha umri wa miaka 25, niliamua kuondoka Kilimanjaro na kwenda Dar es Salaam kutafuta maisha.
Nilifikia kwa shoga yangu Maria, ambaye alikuwa amepanga maeneo ya Ubungo External. Maria alikuwa anafanya kazi ya uhudumu (baamedi) kwenye klabu moja kubwa kule Sinza. Baada ya miezi kadhaa, na mimi niliingia kwenye kazi hiyo na kuanza kuzoea. Kazi hiyo ndiyo iliniwezesha kujiudumia na kumtumia mama mahitaji yake kwani alikuwa anasumbuliwa sana na miguu.
Siku hiyo jioni, tukiwa tunajiandaa na Maria kwenda kazini, simu yangu ikaita. Alikuwa ni James, mteja wangu ambaye amekuwa karibu nami kwa muda mrefu. James ni mwanamume ambaye akija klabu, hataki mwanamke mwingine zaidi yangu. Aliniambia, "Nia, leo usisahau kupendeza, nakuja kwa ajili yako." Tulicheka sana maana James anapenda sana mambo ya asili na urembo wa kitamaduni. Maria alikuwa akimsikiliza na kucheka, akisema, "Huyu kaka ni msomi na ana muonekano mzuri (sure), lakini anapenda sana urembo wako wa asili."
Basi tulielekea kazini Sinza. Kazi ya klabu ina changamoto zake, unakutana na kila aina ya watu, lakini tulishazoea. Tulianza kazi saa moja usiku, klabu ikiwa imejaa fujo na shamrashamra za kila aina.
SINGLE MOTHER
Sehemu ya 2
Nikiwa busy na kazi, ilipofika saa nne usiku, nilimuona James anaingia. James ni mwanamume mtanashari sana, anajua kuvaa na ana mvuto wa kipekee. Ingawa ni mume wa mtu na ana migogoro na mkewe, kwangu alikuwa anapata faraja na utulivu. Alipanda sehemu ya juu (VIP) ambapo hapakuwa na kelele nyingi. Nilimpelekea vinywaji vyake, naye akanitazama kwa tabasamu na kunishika mkono kwa upole akihakikisha nimependeza k**a alivyotaka.
Aliniambia, "Nimefurahi kukuona, mchumba." Nilimjibu kwa tabasamu, "Nimefurahi kukuona pia." Alipanga kuongea na meneja ili anichukue mapema tukapumzike. Wakati nimeshuka chini kuendelea na kazi, nilihisi mtu akinigusa begani. Alikuwa mkaka mmoja smart, amevaa suti.
Aliniambia, "Dada, kuna mtu anakuhitaji yupo nje kwenye gari. Ni rafiki yangu anaitwa Alex, anatokea Kenya na yuko hapa kwa biashara. Anatafuta mwanamke wa kuwa naye usiku wa leo kwa mazungumzo na kampuni, na amepanga kutoa kiasi cha milioni mbili." Moyo wangu ulidunda! Milioni mbili? Sikutaka kupoteza fursa hiyo. Nilimwambia Maria anizibie kwa meneja, kisha nikatoka nje kwa haraka.
Kwenye maegesho ya magari, kulikuwa na gari la kifahari sana. Yule kaka aliniambia niingie kiti cha nyuma. Ndani kulikuwa na mwanamume mrefu, mweusi, na mwenye muonekano wa kitajiri sana. Alikuwa ananukia pafyum ya gharama. Alinitazama na kusema kwa Kiingereza na Kiswahili kidogo cha Kenya, "Hi, naitwa Alex. Naweza kukujua?" Nilijitambulisha kwa unyenyekevu, nikivutiwa na sauti yake nzito na ya mamlaka.
SINGLE MOTHER
Sehemu ya 3
Safari ilianza tukiwa tumetulia, huku Alex akiwa busy na laptop yake. Tuliwasili katika hoteli ya Kilimanjaro. Alex alishuka na kunishika mkono kwa upole, akinipeleka mpaka kwenye chumba chake (room). Tulipoingia, alianza kuongea nami lakini nikaona lugha inampiga chenga kidogo, basi tukacheka na kutumia Kiswahili chepesi na ishara.
Tuliamua kuoga ili kuondoa uchovu wa siku. Alex alikuwa mwanamume mwenye umbo la kuvutia sana, mrefu na mwenye nguvu. Tukiwa bafuni, maji ya shower yalitutilirika huku tukiwa tumekumbatiana kwa mahaba mazito, kila mmoja akifurahia uwepo wa mwenzake. Harufu ya sabuni na ukaribu ule ulifanya mazingira yawe ya kimapenzi sana.
Baada ya kuoga, tulitoka na kujifunga taulo. Alex aliagiza chakula kizuri na cha gharama, tukala kidogo huku tukiangaliana machoni kwa hisia. Muda wa kupumzika ulipofika, tulijisogeza kitandani. Nilikuwa na msimamo wangu kuhusu usalama, na Alex alikuwa mwelewa.
Mazingira yalikuwa yamejaa busu na miguso laini. Alex alikuwa mtaalamu wa kuonyesha mahaba na kumfanya mwanamke ajihisi wa pekee. Tulienzi wakati huo kwa hisia kali za kimapenzi, huku kila mmoja akizama kwenye ulimwengu wa mwenzake. Ilikuwa ni usiku wa kipekee uliopita kwa furaha na kutosheka, huku Alex akionyesha ukarimu wake kwa kuongeza kiasi cha malipo k**a shukrani kwa kampuni yangu na usiku ule mzuri wa mahaba.
Inaendelea...
19/12/2025
ASMAA ( MTOTO WA KIPEMBA😛) Sehemu ya 26 - 🕊️
Mwandishi; DOCTOR JOHN MARAMOJA
Basi ukaribu ulianza kwa busu na hisia kali. Asmaa alijikuta amevutika mno, akijua moyoni kuwa Nashidi alikuwa amekandamiza hamu hizi kwa muda mrefu, akijitahidi kuepuka dhambi. Wakati wakivua mavazi, Nashidi alimgusa Asmaa kwa upole. Mtindo wake wa kubusu ulimwacha Asmaa akisisimka. Akajua huyu mwanaume anajua sana kuonesha mapenzi, kiasi kwamba Asmaa alijisikia kubebwa hisia.
Nashidi alimuinua Asmaa na kumlaza kitandani. Akaleta ulimi wake kwenye kitovu cha Asmaa, akilamba taratibu kwa umakini. Asmaa alichanganyikiwa na hisia kali; alijua kaka huyu anajua sana mapenzi. Kila hatua aliyochukua Nashidi ilimvuruga Asmaa.
Baada ya utangulizi huo, alimvua Asmaa nguo za chini. Nashidi alionyesha ujuzi wake wa kugusa kwa hisia katika maeneo ya faragha, akimbusu Asmaa kwa upendo mwingi kiasi kwamba Asmaa alisisimka sana. Mambo yote yalifanyika taratibu na kimya. Alipovua nguo zake, Asmaa aliona umbo lake lenye kuvutia, na akatamani ukaribu zaidi.
Alipomtanua Asmaa miguu, Nashidi alisema "Bismillah," kitendo kilichomshangaza Asmaa. Nashidi alianza ukaribu kwa upole, akihakikisha hisia zinafika ndani kabisa. Raha aliyopata Asmaa ilikuwa kubwa mno, akipiga kelele kwa furaha. Alijisikia kuchezeshwa na kuongozwa na Nashidi, akijua amepata penzi tamu. Alijisikia kumilikiwa na mwanaume.
Nashidi alikuwa na nguvu, akimgeuza Asmaa katika staili tofauti. Asmaa alipiga kelele kwa raha, kiasi kwamba furaha ilimzidia mpaka machozi yalianza kumtoka. Nashidi aliendelea kimya. Asmaa alikuja kusikia kigugumo kimoja tu, kisha akatulia, na Asmaa akahisi alikuwa amefika kileleni. Nashidi alijiondoa haraka juu yake.
Akavuta taulo na kuingia bafuni. Asmaa alibaki hoi. Alishangaa kwamba Nashidi alikaa muda mrefu sana bafuni. Alikwenda kugonga, akimuuliza kwa nini hatoki. Hakupata jibu. Alipotoka, macho yake yalikuwa yamevimba na mekundu.
Nashidi alimwambia, "Vaa uende kwako."
Asmaa alishtuka, akimuuliza kwa nini amechukia. Nashidi hakujibu, akitafuta nguo. Asmaa alipotaka kumsogelea, Nashidi alimzuia:
"Acha hapo hapo. Usinisogelee Asmaa. Tumeshamkosea Mungu. Tumeshafanya dhambi. Niache Asmaa, nipo katika kujuta kwa makosa yangu."
Loooh, uyu baba!
ASMAA (MTOTO WA KIPEMBA😛) Sehemu ya 27 🌹
Mwandishi: Doctor John Maramoja
Nikasema, "Lakini Nashidi, si imeshatokea? Hata ukinifokea, kwani ndio itafuta kile tulichokifanya?" Nilijikuta nikichukia sana. Niliingia bafuni nikaoga huku nikijihisi vibaya; alikuwa ananifanya nionekane k**a mimi ndiye niliyemshawishi hadi tukafika hatua ile ya ukaribu. Nilivaa haraka na kuchukua simu yangu, nikitaka kuondoka kwa hasira.
Kabla sijaondoka, Nashidi alinishika mkono kwa upole. Aliniangalia machoni na kusema, "Asmaa, nisamehe kwa kukufokea, lakini tumekosea. Tumemkosea Mungu, mama." Nilimjibu kuwa naelewa, lakini asinitolee hasira. Aliniomba nikae kitandani ili tuongee vizuri.
💍 Ofa ya Ndoa na Mtihani wa Moyo
Nashidi aliniangalia kwa hisia na kusema, "Asmaa, hili limeshatokea. Naomba nikuoe. Naomba nije nyumbani kwenu nitoe posa tufunge ndoa." Moyoni nilijua mwanaume huyu ana hisia za kipekee na ukaribu wake ni mtamu, lakini nikawaza kuhusu maisha. Hana pesa k**a Paul; ana kiasi kidogo tu cha kujikimu. Nilikaa kimya bila kumjibu.
Akaendelea kunisihi, "Asmaa, mlamba asali halambi mara moja. Leo tumeanza, na kila mmoja amejua jinsi anavyojisikia juu ya mwenzake. Hii inaweza kuwa tabia yetu ya kudumu, lakini nataka tuifanye kwa halali. Nikuoe, mama." Nilimwambia nitampa jibu baadaye, na nikamuomba anisindikize nyumbani.
🏠 Kutoka Faragha hadi Nyumbani
Nashidi alikodi boda boda. Alikaa mbele na mimi nyuma, mpaka kwangu. Alipoona nyumba niliyopanga, alishangaa kidogo maana ni nzuri mno. Nilimkaribisha ndani, ingawa alikuwa anasita. Hakukaa sana; alidai anataka kuondoka mara moja.
Ingawa nilimtamani abaki ili tuendeleze ukaribu wetu, mawaidha yake na jinsi alivyokuwa anajuta vilinifanya nishindwe hata kumkaribia. Aliniaga na kuondoka. Nilipobaki peke yangu, nilijihisi mwepesi sana. Nikikumbuka jinsi alivyonijali na ufundi wake chumbani, nilijikuta nikisisimka. Mwanaume huyu anajua kumjali mwanamke katika faragha!
🌙 Usiku wa Majuto na Kumbukumbu
Nilijaribu kumpigia Paul, lakini hakupokea. Siku hizi amekuwa na tabia ya kutopokea simu mara kwa mara, akidai kazi zinamzidi. Nilishindwa kujizuia, nikampigia Nashidi. Nilipiga mara nyingi hadi mdogo wake akapokea na kuniambia Nashidi yuko kwenye swala (maombi).
Baadaye, Nashidi alinipigia. Nilimuuliza alikuwa anafanya nini usiku ule, akajibu, "Nilikuwa namuomba msamaha Mungu kwa tulichokifanya leo. Na wewe inabidi ufanye hivyo." Nilimshukuru kwa kunifanya nijihisi mwanamke wa thamani siku hiyo, lakini yeye akajibu:
"Asmaa, sitaki tuyaongelee yale. Tusahau kabisa k**a kuna kitu kimetokea kati yetu."
Nilisonya moyoni. Eti nisahau? Nisahau ukaribu ule wa kipekee na jinsi alivyonisisimua mwili mzima? Hilo haliwezekani kwa haraka hivyo.
Asmaa yuko njia panda; Nashidi anataka ndoa lakini hana pesa, huku Paul mwenye pesa anaanza kuwa mbali. Je, Asmaa atakubali posa ya mcha Mungu huyu?
Full 1000
Join kweny group kuinjoy
https://chat.whatsapp.com/ImWhI778EKtIZZJ1tSt3W4?mode=wwt
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
Dubai
