Sidia Watoto Official
Save the Children.Please
01/12/2021
HIGHLIGHTS DOT. HIGHLIGHTS DOT SATURDAY 20TH NOVEMBER 2021
14/11/2021
Mzazi anatakiwa kujali mwanae toka azaliwe hadi mpaka pale ataenda jenga familia.
Na wakati mtoto hapati ayo malezi ndipo panatokea mtoto anaweza komaa bila kujuwa thamani yake ajili hakupata kujaliwa na mzazi wake kwa ushauri.
Basi wazazi wafanye ivo .
Mungu awawezeshe.
Kweli kuna mtoto alieathirika kutokana na kukosa malezi ya mzazi wake?
10/11/2021
Saidia watoto from Sadness to Happiness.
Iyo Picture inakufundisha nini?
LIKE THIS PAGE. AND SHARE. https://chat.whatsapp.com/IDOx94hH8p101CrGhLCYXK
10/11/2021
HABARI YA UZUNI.
tangu nizaliwa sikuwahii ona mama yangu. nilikomaa bila kupata mapenzi ya mama. nilipofikisha miaka 10 nikiishi na bibi mzala mama . palijitokeza mtu na kusema ni baba yangu. bibi akanambia nende na baba huyo akanilee.
nilifurahi kuona basi namuona baba. alinipeleka mpaka kwake nikapokelewa na mke wake . walikuwa hawana mwengine mtoto.
Kila wakati baba akienda kazini basi mimi nilikuwa mfanyakazi zote za ndani. kipigo cha hali ya juu . kuachishwa shule. nikiumwa basi neema ya Mungu ndo inaniponesha.
niliishi maisha mabaya sana.
Uyo mama wa kambo alimpa baba yangu sumu ndani ya chakula na baba yangu kafariki. nilikosa la kufanya k**a tegemeo la maisha yangu ya baadae.
nilipofikisha miaka 14 nilikuwa nalala nilifukuzwa na mama huyo.
niliishi maisha mabaya.
nashukuru serikali ambayo ilinisaidia kufikilia mali ya baba
nyumba na honda.
Naomba mayatima wote wanaonyanyaswa na kunyimwa haki zao basi wakatoe malalamiko yao serikalini watasaidiwa..
Basi k**a uko na nia kuungana na sisi kwenye group ya watsap ili kwa kuwasaidia watoto niandikie kwenye watsap nikuweke kwenye group
LIKE THIS PAGE. 257 61974354 https://chat.whatsapp.com/IDOx94hH8p101CrGhLCYXK
08/11/2021
Usikubali kuona mtoto analia basi mpe anachoitaji .
Saidia watoto bila kujali
Like This Page
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
28Novembre
Bujumbura
12345
