Pambojeri
PAMBOJERI STARTED ON THE 2022
TO PROVIDE SERVICES i.e COSTUMES FOR HIRE e.g MAHANDO, VIKOI etc
11/12/2022
Kikwehu kinafaha, na suthi fukitsunze enye~
22/11/2022
Akomu makimbola kulaulani manadza na moro wa kuthema tsanje na embwe zitoswe za kila mutu araukire ya kwakwe. originol ukimala nena fukuthimizire na ung'aleto bai. Haswani sana folowazi a Pambojeri.
04/11/2022
Pambojeri makes you look original
26/10/2022
Tunakodisha pamoja na cameraman wetu ukitaka; photo session inapatikana.
24/10/2022
Ukitaka mauthamu pitiapitia huku pambojeri.
22/10/2022
Mzee Baya alivyo damshi siku ya Mashujaa, aliweza kusema katika vyombo vya habari vya KöJüNaTioN kwamba;vazi alilo vaa ni la asili ya kimijikenda na ni vazi la kishujaa kwa kuwa ni vazi sipesheli katika jamii hiyo.Aliweza pia kumsherehekea kidosho wake ambaye pia naye alivaa pambo lake kwa ajili yakuikumbuka siku yake ya kuzaliwa.
'Pambojeri' ambayo ni co' inayopeana mavazi ya kitamaduni iliweza kuifanikisha siku hiyo kwa huduma zake, na picha nzuri nzuri zikachukuliwa na mnasaji picha Bwana Donald Jambo a.k.a Jambo shots & co.
Kwa huduma k**a hizi ukihitaji unawezatuma ujumbe mfupi hapa natutakuelezea zaidi.
21/10/2022
Pambojeri is here to provide...
21/10/2022
uwapendeze
04/10/2022
Giriama girl make up and dressed by Pambojeri
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Kiembeni Estate
Mombasa
