Sindani felix

Sindani felix

Share

My believe is in Jesus name to get ✅✅✔️✔️✔️ in my life 😂😂👈

12/08/2023

TBT❤️👈🏿🙏

22/07/2023

Nataka uyu mtu ajuwe Mimi ni wa wengi ebu mniite beb au swthrt

22/07/2023

Mimi huwa siogopi ata wewe siezi kwambia nakupenda ata huwe msupu🤦🏼‍♀️🙈

22/07/2023

Siku yangu ya kuoa ikifika kila mtu atakuwa Na holiday weeeéh 🙈

22/07/2023

Nani peana shimo wachote Maji buana litajifuñika time utawaja wachota nitapolewa Na utasikia uchungu😂🤣

22/07/2023

We Ni mjinga Sana yaani nakupamba na hutaki kuniambia kwenda

22/07/2023

Siku nitajua Ni wewe huwa unafwatilia Maisha yangu nitakuwajia tu mungu😹😹

31/05/2023

Unasema ati umeona mengi,,,,,ushaiona kuku ikirudi nyuma?😂

30/05/2023

Nataka kuonako mapenzi sura bana

24/05/2023

Ulimi Ni lazima usimamishe mwenyewe ka unataka Kula lakini iiiih kitu ya jini yenyewe ukiona chakula inaanza kusumbua

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mombasa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


0768102523
Mombasa