Funclub ya big gogo
Konde yoh
08/01/2022
M 1*umekonda Hadi ukipiga Kona waumia.
M2*uko na kisogo kirefu adi ukiangali juu chaingia mfuko wa nyuma.
M1*kwenu mumasikini wachoyo Hadi mkipika chapati maharagwe maweka mabango kwa gate eti (wenyewe waligura juzi).
M2*kwenu ni kuchafu Hadi mainzi Wanavaa glovs,mask na gamuboots.
M1*babako alienda job south Africa Hadi anarudi ametimiza ndoto yake yakununua boxer na sdria ya chuma.
M2*wenimweusi adi ukilala kwa Barabara watu wanadhani ni bump.
M1*ukona kostum kubwa Hadi ukienda kwamatanga yakodishwa tent.
M2*uko na kicha kikubwa Hadi ukifa jeneza kitachongwa dizain ya wolpop.
Haaaah ni konde yoh /og, comment ambae nimkali upande wa magowa 💢Kila siku ya Friday Mambo ni haya, next usikose kwani najuwa kuwa previous ulikosa
Mademu ambao mmetoka
Shule group lenu ndo hii jiungen muchatshwe fresh yote mwakaribishwa"wanafunzi wa masing, wa upli, wa chuo" ONYO K**a haujasoma usjiunge na hi group coz utashidwa na ku reply na hii group ni yakuchatka
Magowa yataanza friend introduction ,*umfupi Hadi ukitaka kupiga demu kiss watumia pipe
Sema kitu kuhusu wanafunzi wanaofanya kcpe
Nyote mwakaribisha
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mombasa
