SIRAJ HERBS

SIRAJ HERBS

Share

health n beauty

03/03/2023

MBINU ZA KUMFANYA MTOTO WAKO APENDE KULA.

Kutatua tatizo huanzia kwenye kujua tatizo liko wapi. Ushauri nasaha unaotolewa na madaktari ni kuwa, zipo mbinu mbalimbali za kuweza kujua kitu kimoja kinachoweza kuwa suluhisho la ukataaji wa kula wa mtoto.
Katika njia muhimu tunazo pendekeza ni pamoja na hizi hapa:

1. KUBADILISHA VYOMBO VYA CHAKULA VYA MTOTO
Mtoto huvutiwa zaidi na rangi, hasa kwenye vitu anavyotaka kula. Mtoto anaweza kuchoka kula chakula sababu anatumia chombo kimoja kila siku, hii haijalishi k**a chakula kinabadilika au la. Ni muhimu kumuandalia mtoto chakula kwenye vyombo vyenye rangi na maumbo tofauti. Na ushauri wa daktari ni kuwa, usirudie chombo kwa wiki nzima, k**a inawezekana. Hii inamfanya mtoto kuona utofauti wakati wa kula, na kumfanya apate hamu ya kula.
Mfano, unaweza kutumia bakuli, vikombe, sahani, vijiko vyenye rangi tofauti ili kumfanya aone anakula katika mazingira tofauti na hii humfanya awe na hamu kula chakula zaidi.

2. WATOTO WALE PAMOJA NA FAMILIA
Watoto hupenda kuiga wazazi. Mara nyingi sana watoto hupewa vyakula wale wakiwa wenyewe wakati watu wengine wanaendelea na shughuli za kawaida. Hii inaweza kumfanya mtoto kupendelea zaidi kucheza kuliko kula. Ni muhimu kumlisha mtoto wakati familia nzima imekaa mezani au jamvini tayari kwa kula. Katika muda huu mtoto atakula vizuri bila vikwazo, maana kila mmoja anakula.
Vilevile, watoto wengine (umri wa miezi 10 hadi miaka 2) hupendelea kula vyakula wanavyokula watu wazima, hata k**a haviwafai, na kugoma vyakula vya watoto. Ni bora kumuandalia chakula kinachofanana na unachokula wewe na kumpa ili apate kufurahia. Huwezi kubishana na mtoto, ingawa huwezi kumpa kila kitu anachotaka pia. Ila jaribu kutumia mbinu tofauti ili apate kula na kuridhika. Afya yake ni bora kuliko kitu kingine kwenye maisha yake kwa muda huu.

3. JARIBU KUMSOMA MTOTO ANAPENDA NINI
Kila mzazi ana jukumu la kumsoma mwanae anapendelea nini. Ili kuweza kumfanya mtoto ale vizuri, ni vyema kubadilisha vyakula kila wakati – siyo kila siku. Mara nyingi watoto huchukua muda kuzoea chakula, hivyo ni vizuri kumpa mtoto chakula kwa muda wa siku 2 hadi 3 na kumbadilishia na chakula kingine. Hii inasaidia mtoto kuonja ladha ya chakula. Anaweza kukipenda au kukichukia. K**a atakataa ladha ya chakula kipya, usikate tamaa, jaribu kumpa tena baada ya siku moja au mbili, unaweza kukuta akaipenda ladha na akala chakula bila tatizo.
Usikate tamaa kwenye kumpa mwanao upendo wako k**a mzazi. Jaribu kila njia unayoweza na usife moyo. Watoto ni wagumu kuwaelewa na inachukua muda, lakini pale unapofikia hatua ya kujua anachopenda utakuwa umepata jibu zuri jinsi ya kuendelea kumlea mwanao.

4. EPUKA KUMPA VITU VITAMU KATI YA MILO
Watoto wengi wanapenda kula vitu vidogo vidogo (p**i, biskuti, juisi, keki n.k.) kila mara. Hivi vitafunwa vinaweza kumfanya mtoto azibe njaa na kutokuwa na hamu ya kula chakula muda unapowadia. Ili kuzuia hii tabia, ni bora kuacha kumpa mtoto vitu vidogo vidogo kati ya milo ili kumfanya kuwa na hamu ya chakula muda unapowadia.
Mara nyingi inashauriwa kumlisha mtoto mara 4 hadi 5 kwa siku. Hii ni vizuri sababu mwili wa mtoto unakuwa unahitaji virutubisho vingi mara kwa mara kwa kusaidia kukua. Ni vizuri kumpa mtoto chakula bora kuliko kumjaza tumbo na vyakula vyenye sukazi zisizo na kazi mwilini.

5. MSIKILIZE MTOTO ANACHOTAKA
Mara nyingi mzazi au mlezi unaweza kudhani kuwa unajua zaidi kiwango cha chakula anachotakiwa kula mtoto kuliko hata mtoto mwenyewe. Hili linaweza kuwa tatizo kubwa litakalopelekea mzazi kumlazimisha mtoto kula chakula kingi kupita kiasi.

Fahamu kuwa, watoto wanajua kiwango cha chakula kinachowatosha na wakati gani ni muafaka wa kula. Hivyo, itakuwa rahisi kwako k**a ukimsikiliza mtoto anataka nini, kuliko kulazimisha kile unachotaka wewe. Hakuna mtoto anayeweza kuvumilia kukaa na njaa. Watoto wote huhitaji chakula ili kucheza na kufurahi na wenzao.

Hivyo basi, pale anakuwa na njaa atasema, au kulia, na ndio muda muafaka wa kumpa chakula unachotaka.
Swala muhimu la kuzingatia ni kuwa, katika mazingira yeyote, usimlazimishe mtoto kula. Usimkabe. Kulazimisha mtoto kula ni kumjengea tabia ya kuchukia chakula. Na akishajenga tabia hii hawezi kuacha sababu atakuwa anahusisha chakula na adhabu.

Hakuna mtu anayependa adhabu. Hivyo, watu wengi wanaopenda kulazimisha mtoto kula kwa kumkaba huwa wanajenga tatizo kubwa zaidi ya lile la kula tu.

TIBA YAKE
Kwa walio Jaribu njia hizi bila mafanikio basi wasi hofu kwani shifaa clinic tunayo dawa kwa jina la "AFYA TOTO" dawa hii humpa mtoto hamu ya kula na pia huimarisha kinga ya mwili kwa watoto wenye kuumwa au kuungua mara kwa mara

KWA ANAYE HITAJI DAWA HII WASILIANA NA DR ABDUL KWA +254737602102

03/03/2023

TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS) NA TIBA YAKE

Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.

Fibroids ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana k**a ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi.Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke.

Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa njano, unaweza kubadilika ukawa k**a maji tu na kurudi tena kuwa mgumu.Uvimbe kwenye kizazi hujulikana pia kwa majina haya kitaalamu: ‘Uterine fibroids’, ‘Myoma’ au ‘fibromyoma’.

Hujulikana pia k**a ‘leiomyoma’ katika lugha ya kidaktari. Wanawake wenye umri kati ya miaka 30 hadi 50 ndiyo wanapatwa kirahisi zaidi na ugonjwa huu.

SABABU ZA MWANAMKE KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI

Chanzo cha moja kwa moja cha ugonjwa huu bado hakijulikani wazi, hata hivyo baadhi ya sababu za kutokea huu uvimbe ni pamoja na;

1-Kuongezeka sana vichocheo vya progesterone na estrogen kuzidi kiwango mwilini.
2- Ujauzito.

3-Uzito/ unene kupita kiasi.

4- Jenetiki zisizo za kawaida.

5-Mfumo usio sawa wa mishipa ya damu.

6-Sababu za kurithi.

7-Lishe isiyo sawa/Lishe duni.

8-Sumu na taka mbalimbali mwilini.

AINA ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI

Kuna aina kuu 3 za uvimbe kwenye kizazi k**a ifuatavyo:

1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)

2.Intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)

3.Subserosal(nje ya kizazi)

WAFUATAO WAPO HATARINI KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI(UTERINE FIBROID)

1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa

2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma

3.kurithi

4.Unene/uzito kupita kiasi

5.kuingia hedhi mapema

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE UVIMBE KWENYE KIZAZI (UTERINE FIBROIDS):

1-Kupata damu nyingi wakati wa hedhi.

2-Maumivu makali wakati wa siku za hedhi.

3-Kuvimba miguu.

4-Unaweza kuhisi una ujauzito.

5-Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

6-Kuhisi kuvimbiwa.

7-Kupata haja ndogo kwa taabu.

8-Kutokwa na uchafu ukeni.

9-Kupata choo kigumu au kufunga choo.

10- Maumivu nyuma ya mgongo.

11-Maumivu katika miguu ikiwa ni pamoja na miguu kuwaka moto.

12- Upungufu wa damu.

13-Maumivu ya kichwa.

14- Uzazi wa shida.

15-Kutopata ujauzito.

16-Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo.

17-Maumivu ya nyonga.

18- Mimba kutoka mara kwa mara (miscarriage).

19-Kukojoa mara kwa mara kwan uvimbe huweka mgandamizo katika kibofu cha mkojo

20- Hedhi zisizokuwa na mpangilio

MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUPONA HARAKA UVIMBE KWENYE KIZAZI

A-Hakikisha una uzito sawa kila mara kulingana na urefu wako.

B-Kula sana mboga za kijani na matunda

C-Fanya mazoezi ya viungo kila mara, mara 4 mapaka 5 kwa wiki

D-Kunywa maji mengi kila siku lita mbili mpaka lita tatu

E-Kula sana vyakula vyenye nyuzi nyuzi (faiba) na punguza vyakula vyenye mafuta

F-Usitumie bidhaa zozote zenye kaffeina (chai ya rangi, kahawa, soda nyeusi zote nk), nyama nyekundu na vyakula vya kuchomwa au kupikwa katikati ya mafuta mengi (maandazi, chipsi, nk)

G-Achana kabisa na mawazo mawazo (stress) na hamaki nyingine zozote

H-Acha kuvuta sigara/tumbaku na vilevi vingine vyote hadi hapo utakapopona kabisa

MATIBABU/TIBA ASILI KWA UVIMBE KWENYE KIZAZI.

Tiba asili ndio njia salama na rahisi katika matibabu ya uvimbe kwenye kizazi endapo mgonjwa atafuata ushauri na matumizi sahihihi ya dawa.

Zipo dawa asili zenye ufanisi mkubwa sana katika kutibu uvimbe kwenye kizazi, Mfano ni dawa hizo ni FIBROIDS CARE AU FIBROIDS SOLUTION nk hizi ni dawa yenye uwezo mkubwa sana katika kutibu uvimbe kwenye kizazi. Kwa siku kidogo bila upasuaji

02/03/2023

MAMA PLUS

NI MUJARAB KWA WANAWAKE WENYE MATATIZO YA UZAZI, INATIBU NA KUMALIZA KABISA MATATIZO K**A :

1- KUZIBUA MARIJA YA UZAZI (unblock Falopian Tubes)

2- KUONDOA TATIZO LA (ovarian cyst)

3-HUSAIDIA KATIKA UPASUAJI WA MAYAI

4-HUSAIDIA NA KUIMARISHA KIZAZI KWA WENYA TATIZO LA MIMBA KUTOKA

5-HUSAIDIA KATIKA KUPEVUSHA MAYAI

6-HUIMARISHA KINGA YA MWILI

7-HUFANYA KIZAZI KUWA IMARA NA KUHIMILI UJA UZITO

NI HERBAL NA HAINA MADHARA YEYOTE

KWA ANAYE HITAJI WASILIANA NA DR ABDUL KWA +254737602102

25/02/2023

KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA.
(TATIZO LA BAWASIRI.)/HEMORRHOIDS/

*BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI*

BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE
?Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.

AINA ZA BAWASIRI??
1. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu.

@-HATUA YA KWANZA Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
@-HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
@-HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
@-HATUA YA NNE
ii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI

(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.
(8) Kunywa pombe
(9) kula sana nyama nyekundu
(10) Vidonda vya tumbo
(11) ngiri
(12) Kula sana pilipili
(13 ) kunyanyua vitu vizito

ATHARI ZA BAWASIRI
a-Upungufu wa damu mwilini
b-Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
c-kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
d-kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
e-kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
f-Kupata tatizo la kisaikolojia
g-Kutopata ujauzito
h-Mimba kuharibika

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
A-Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
B- kunywa maji ya kutosha kila siku
C-Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
D-Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
E-Acha kunywa pombe
F-Punguza kula nyama nyekundu
G- Punguza matumizi ya pili pili.
H- Jitibie vidonda vya tumbo

DALILI ZA BAWASIRI
X-kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
X-kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
X-kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
X-kupata kinyesi chenye damu
X-kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

@-MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
bawasiri hutibika kwa dawa asili tu MFANO MZURI WA DAWA ASILI NI DAWA IITWAYO "Bawasiri oil na Bawasiri care " hizi zinatibu na kuondoa tatizo hili moja kwa moja kwa siku 30 pekee bila upasuaji wowote hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo ili kuondokana na kelo hii

KWA TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA NA DR ABDUL KWA +254737602102

25/02/2023

TATIZO LA KIPANDA USO (MIGRAINE)

~Migraine ni tatizo ambalo halielezeki mpaka leo nini ni kisababishi, tatizo hili linapotokea mgonjwa hupata maumivu ya kichwa ya upande mmoja. Mara nyingi sana, maumivu haya ya kichwa huambatana na dalili kwenye macho au masikio zikijulikana k**a viashilia au kitaalamu Aura ambazo hutokea maranyingi kabla ya kichwa kuanza kuuma na wakati mwingine wakati wa kichwa kuuma au baada ya kichwa kuuma.

Kipanda uso kinatokea sana kwa wanawake na linahusianishwa sana na urithisaji- pia tatizo hili linaelezewa kitaalamu kwamba kuna mabadiliko katika vina saba ambayo hutokea na hivyo huweza kutokea kwenye familia fulani.

NINI HUSABABISHA MAUMIVU HAYA YA MIGRAIN?
Zamani ilijulikana kwamba kipanda uso kinasababishwa na mabadiliko yanayotokea katika mishipa ya damu ya kichwa, inaeleza kuwa kuna wakati mishipa ya damu husinyaa kwa muda na baadae hufuatiwa na kipindi cha kutanuka kwa mishipa hiyo hivo kuleta maumivu wakati wa kitendo hiki kinapotokea.

Kwa sasa kuna maelezo yajulikanayo k**a neurovascular theory ambapo yanasema kwamba kipanda uso husababishwa na matatizo/mabadiliko yanayotokea katika mfumo wa fahamu na matatizo hayo yanatokana na kubadilika kwa mpitisho wa virutubisho kutoka katika mishipa ya damu kwenda kwenye chembe hai za ubongo na hivo kusababsisha michomo kwenye mishipa ya fahamu kutokana na kukosa virutubisho hivyo.
Kuhusianishwa kwa vinasaba kunaonyesha kwamba asilimia 70 ya watu wenye kipanda uso wana ndugu wa tumbo moja wenye tatizo hili na pia mambo mengi ya kimazingira husababisha kupata kipanda uso kwa mtu aliye na vihatarishi vya ugonjwa huu.

DALILI ZA MTU MWENYE KIPANDA USO (MIGRAIN)i?
~Dalili za kipanda uso zinapotokea au kabla hazijatokea huwa na dalili za awali au viashiria kwamba ugonjwa unatokea, viashiria hivyo vimewekwa katika makundi manne kitaalamu prodrome, aura, headache na postdrome.

1.PRODROME
= Dalili hii hutokea siku moja au mbili kabla mtu hajashikwa na kipanda uso na huwa na dalili kati ya zifuatazo:-
A--Choo kikumu au kukosa choo
B--Msongo wa mawazo (depression)
C--Njaa kali
D--Kutotulia kimawazo au matendo
E--Mtoto kulia sana anaposhikwa
F--Kukak**aa kwa shingo
G--Kupata miayo mingi isiyozuilika

2.AURA
~Kipindi hiki kinaweza kutokea kabla au baada ya kipanda uso kutokea. Aura hutokea kutokana na maabiliko kwenye mfumo wa fahamu na huja na dalili zinazodhuru mfumo wa hisia k**a vile mtu anaweza kuona mwanga mkali unammulika wakati hakuna mwanga, kuhisi mguso mwilini.

Mabadiliko mengine ni kwenye mgonjeo wa mwili na mfumo wa maongezi. Watu wengi wanapata kipanda uso pasipo kupata dalili hizi au aura na dalili hizi hutokea polepole na kuongezeka na hukaa kwa dakika 20 hai 60. Mifano ya aura ni;-
1--Matatizo ya kuona k**a kuona maumbo, mwanga mkali au miali ya mwanga inamulika machoni
2--Kupoteza uwezo wa kuona
3 --Kuhisi michomo ya pini au sindano
4--Ugumu katika maongezi k**a vile kushindwa kueleweka unachoongea au kutamka maneno.

3.(HEADACHE )KUSHIKWA NA MAUMIVU YA KICHWA YA KIPANDA USO
@~K**a maumivu haya yasipotibiwa hukaa kwa masaa ma 4 hadi 72, lakini namna maumivu yanavyojirudiar
udia kutokea hutofauiana kati ya mtu na mtu. Mtu mwingine anaweza kupata kipanda uso mara nyingi katika mwezi au mara chache. Mtu akiwa anapata kipanda uso anaweza kupata mambo kati ya yafuatayo:-
@--Maumivu upande mmoja au pande zote za kichwa
@--Maumivu ya kupwita,
@--Kupata shida anapokuwa kwenye mwanga
@--Kichefuchefu na kutapika
@--Kuona kwa mfifio vitu vinavyokuzunguka
@--Kizunguzungu na wakati mwingine hufuatiwa na kuzimia

4.POSTDROME
~Hiki ni Kipindi cha mwisho, hutokea baada ya kupata kipanda uso/maumivu ya kichwa-migraine, kipindi hichi mwathilika wa kipanda uso anaweza kuhisi ameisha au mtupu ingawa watu wengine wanaweza kuhisi wanafuraha ya UONGO.

SABABU/VICHOCHEZI VYA KIPANDA USO (MIGRAIN)

1.MABADILIKO YA VICHOCHEZI MWILI -HOMONI KWA MWANAMKE . ~Mabadiliko ya kichochezi mwili cha estrogen huamsha kipanda uso k**a inavyoonekana kwa wanawake wengi wanaopata kipanda uso, wanawake wanaopata maumivu ya kichwa ya kipanda uso huripoti kwamba wametoka au wapo kwenye kipindi cha hedhi ambapo homoni hii ya estrogeni huwa imeshuka kwa kipindi hiki. Wanawake mengine wanapata maumivu haya wakati wa ujauzito au wanawake wanapokuwa kwenye kipindi cha kukoma kwa mzunguko wa hedhi(menopause) madawa ya homoni k**a madawa ya mpango wa uzazi huamsha kipanda uso.

2.CHAKULA .
~Vyakula vilivyochacha, vyenye chumvi nyingi na vyakula vya kusindikwa huweza kuamsha kipanda uso. Kufunga au kuruka mlo kunaweza kuamsha kipanda uso pia.
3.Msongo wa mawazo
4.Kulala sana au kidogo
5.Madawa ya kutanua mishipa ya damu (vasodilators)
6.Kuvuta sigara
7.Kukaa kwenye mwanga mkali
8.harufu kali k**a ya pafume madawa ya meno na petroli
9.Jeraha kichwani
10.Baridi k**a barafu
11.Kutofanya mazoezi
12.Kunywa wine nyekundu (red wine)

BAADHI YA VYAKULA VINAVYOAMSHA KIPANDA USO NI:-
X--Vinywaji vyenye cafeine
X--vinywaji vyenye sukari isiyo asili k**a juis kola n.k
X--matunda aina ya citrus k**a machungwa ndimu n.k
X--vyakula vyenye kemikali aina ya tyramine k**a cheese zilizaokaa muda mrefu n.k
X--nyama yenye kemikali ya nitrates

MADHARA YATOKANAYO NA KIPANDA USO K**A HAKITATIBIWA MAPEMA.
A~Maumivu sugu ya kichwa au chronic migraine
B~Kifafa
C~Kiharusi
D~Kupata Aura endelevu dakika 30 hadi 60)
Kiharusi cha kutokana na kipanda uso ni nadra sana kutokea, lakini kinapotokea huwa na madhara makubwa yatokanayo na kipanda uso.
Vihatarishi vya kupata kiharusi kwa mtu anayepata kipanda uso ni hivi vifuatavyo

SULUTISHO/TIBA.
Katika shifaa herbal clinic tunazo dawa maalum ambazo hupambana na tatizo hili moja kwa moja dawa ambao hazina madhara (yaani side effects)

KWA alie na tatizo hili wasiliana na Dr ABDUL kwa +254737602102 na utapona kwa uwezo wa mwenyezi mungu

22/02/2023

JINSI YA KUJIKINGA NA KUONDOA HARUFU MBAYA MDOMONI(HALITOSIS)!

@-WATU wengi husumbuliwa na tatizo la kunuka mdomo bila hata kujijua hivyo kuwa kero kwa wenzao na wakati mwingine hujishushia hadhi mbele ya jamii.

@-Mara nyingi ugonjwa wa kunuka mdomo (Halitosis) husababishwa na uchafu wa kinywa na ulaji wa vyakula usiosahihi lakini ni tatizo linalotibika.

@-Ni rahisi kulizuia na kuliondoa tatizo la kunuka mdomo iwapo utaamua kufuata kanuni za usafi wa kinywa na unywaji wa maji kwa kufuata kwa makini muongozo ufuatao:

KUPIGA MSWAKI
Kitu cha kwanza kufanya ni kupiga mswaki kwa ukamilifu kila uamkapo asubuhi. Wakati wa kupiga mswaki, utatakiwa siyo tu kusugua meno, bali pia ulimi, sehemu ya katikati hadi karibu na koromeo kwa kusugua vizuri.

Vile vile kila uamkapo baada ya kulala mchana au jioni, hakikisha unapiga mswaki, kwani bakteria wa kinywani, hutawala kinywa kila ulalapo. Mara baada ya kupiga mswaki na kusugua ulimi sawaswa, hakikisha unasukutua vizuri kwa maji, kwani hapa ndipo baadhi ya watu hukosea kwa kupiga mswaki bila kusukutua kwa maji.

KUNYWA MAJI MENGI
Maji ni muhimu sana karibu kila eneo la mwili wa binadamu. Unywaji wa maji ya kutosha kila siku utakusaidia kudhibiti na hatimaye kuondoa tatizo la kunuka mdomo. Unywaji wa maji mengi ni muhimu, hasa kwa wale watu wenye ugonjwa wa kukauka midomo (xerostomia).

X-Mara nyingi harufu itokayo mdomoni, hutokea tumboni na siyo kinywaji peke yake k**a unavyoweza kudhani. Hivyo, k**a tumbo litakuwa chafu, hata k**a utasafisha kinywa vizuri bado harufu mbaya inaweza kuendelea kutoka.

X-Harufu mbaya ya tumboni hutokea pale tumbo linapokuwa chafu kutokana na kutopata choo kwa muda mrefu. Miongoni mwa mambo yanayochangia kukosekana kwa choo kwa muda mrefu ni pamoja na tabia ya kutokunywa maji ya kutosha kwa siku, hivyo hakikisha unakunywa maji, kiasi kisichopungua

X-lita moja na nusu hadi mbili au zaidi, kutegemeana na kazi unazozifanya.
Ukiwa na tatizo la kukaukiwa maji mwilini kila mara, mwili hujaribu kutumia njia zake za kiasili kupunguza uzalishaji wa mate ili kuhifadhi maji kwa ajiili ya matumizi mengine, kitendo hicho huchangia kunukisha mdomo kwa sababu ndani ya mate huwa kuna kinga muhimu dhidi ya baktetria wanaonukisha kinywa.

X-Kwa upande mwingine, ili kuzuia kinywa kunuka pale mdomo unapokuwa umekaukiwa na mate, ni vizuri kutafuna vitu k**a ‘chewing gum‘ yoyote ili kuzalisha mate ambayo huhitajika katika kudhibiti bakteria.

SULUHISHO
Mwisho, hakikisha unasukutua sawaswa baada ya kula chakula chochote, hata k**a ni juisi isipokuwa unapokunywa maji tu ya kawaida. Bila shaka, ukizingatia haya, tatizo ulilonalo la kunuka mdomo litataoweka na kubaki historia

TIBA KAMILI
Kwa wale walio Jaribu tiba mbali mbali bila mafanikio basi wasi hofu kwani shifaa clinic tunazo dawa mchanganyiko ambao unatibu na kumaliza kabisa tatizo tatizo hili kwa siku 30

Usikukubali kuteseka tena kwani kilicho na mwanzo hakikosi mwisho wake

KWA TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA NA DR ABDUL KWA +254737602102

22/02/2023

Dawa ya kutibu na kumaliza kabisa matatizo ya nguvu za kiume

1-kuimarisha misuli ya uume
2-kuleta uchangamfu
3-hukupa uwezo wa kurudia tendo la ndoa

Dawa hii ni herbal na haina madhara as

22/02/2023

📚"MEMORY BOOSTER "

🔰-Dawa hii kwa jina la memory booster ni dawa ambayo ina tibu matatizo Yafuatayo :

1️⃣-tatizo la kusau sahau

2️⃣-kisunzi cha mara kwa mara

3️⃣- ina imarisha mishipa ya ufahamu

4️⃣-inawasaidia katika ukuaji wa ubongo kwa mtoto

5️⃣-huupa mwili nguvu za kupambana na maradhi

6️⃣-hutibu matatizo ya kichwa kuuma kwa watoto

✳️-Dawa hii inaweza kutumiwa na watoto na watu wazima

🌳-Dawa hii ni herbal na
haina madhara yeyote

📞-KWA ANAYEHITAJI HITAJI DAWA HII WASILIANA NA Dr ABDUL KWA +254737602102

22/02/2023

UNATOKWA NA USAHA WAKATI WA KUKOJOA?

Wapo wengi ambao wana tatizo k**a hili na ambao wamewakilishwa kupitia swali hili lililoulizwa na msomaji wetu huyu. Naomba tuwe pamoja kwenye makala hii ili ujifunze kuhusu tatizo la mtu kutokwa usaha wakati wa kukojoa.

Tatizo la Kuwepo kwa chembechembe za usaha au usaha kwenye mkojo hujulikana k**a pyuria ambapo linaweza kuonekana kwa kutumia hadubini (microscope) au k**a tatizo ni kubwa linaweza kuonekana kwa macho.

VISABABISHI VYA TATIZO LA KUTOKWA NA USAHA WAKATI WA KUKOJOA NI NINI ?

A-Ugonjwa wa mfumo wa mkojo (UTI); Maambukizi kwenye figo, kwenye mrija wa mkojo na kwenye kibofu cha mkojo (cystitis- amabayo huonekana sana)

B-Magonjwa ya Zinaa; K**a ugonjwa wa kisonono au ‘’Gono’’ k**a wengi wanavyoita, ugonjwa wa Chlamydia na Trichomoniasis
Sumu inayotokana na kemikali (Chemical poisoning) k**a 4; Aminodiphenyl inayotumika kwenye maabara na kwa ajili ya tafiti

C-Tatizo linajulikana k**a Reiter’s syndrome
Pyelonephritis; Maambukizi ya bakteria kwenye sehemu za figo zinazojulikana k**a calyces, renal pelvis na tishu za figo

D-Madhara ya pyelonephritis ambayo husabababisha ugonjwa unaojulikana k**a renal abscess

E-Maambukizi kwenye tezi dume; Prostatitis (Kwa wanaume)

F-Upungufu wa kinga mwilini
Mcharuko (Inflammation) kutokana kuwa na mawe kwenye kibofu cha mkojo au kwenye figo
Mzio (Allergy) au kuota uvimbe sehemu yoyote ya mfumo wa mkojo

DALILI
1-Maumivu makali ya kuchoma (Painful burning sensation) wakati wa kukojoa

2 - Maumivu chini ya kitovu

3 - Homa

4-Kutapika

TATIZO HILI LIKIDUMU KWA MUDA MREFU HUSABABISHA KUPUNGUA UZITO KWA MGONJWA

VIPIMO VYA UCHUNGUZI
@-Urinalysis – Kipimo cha mkojo
Urine for culture and sensitivity. Kipimo cha kuangalia bakteria kwenye mkojo

@-Complete blood count. Kipimo cha kuangalia wingi wa damu na chembechembe za damu (husaidia kuonyesha k**a kuna maambukizi kwenye mwili)

@-Blood culture. Kuangalia k**a kuna maambukizi kwenye damu

@-Prostate. Specific Antigen (PSA) Test; Kipimo cha tezi dume

@-Kipimo cha mionzi ya X-ray; Huonyesha k**a tatizo ni kubwa sana

@-Kipimo cha ultrasound
Kipimo cha CT scan au MRI; Husaidia kuonyesha k**a tatizo hili lipo ndani ya tishu za figo (Intra-renal abscess) au nje ya tishu za figo (Extra-renal abscess)

VIHATARISHI VYA TATIZO HILI NI ;
1-Kutosafisha vizuri sehemu za siri baada ya kujisaidia haja ndogo

2-Kujamiana na mtu mwenye maambukizi ya ugonjwa wowote wa zinaa

3-Ugonjwa wa kisukari

4-Madhara yanayotokana na kutumia mpira wa mkojo; Kwa wale wote waliowekewa mpira huu wa mkojo (catheter)

5-Saratani ya kwenye mfumo wa mkojo au sehemu za siri

MATUMIZI YA DAWA ZA JAMII AINA YA NON -STEORIDAL ANTI -INFLAMMATORY DRUGS (NSAIDS) au madawa yanayopunguza kinga mwilini (Immuno-suppressant medications) kwa muda mrefu
Kuvimba kwa tezi dume

MATIBABU YA UHAKIKA
Tiba za shifaa sunna clinic hutegemea na chanzo cha tatizo hili, umri na jinsia ya mgonjwa. Tatizo hili tunatibu na linapona kabisa.

Tiba za kutibu vimelea na kusafisha Mfumo mzima wa Mkojo na uzazi
Matibabu ya mawe kwenye kibofu cha mkojo au kwenye figo
Kunywa maji kwa wingi mara kwa mara ili kusaidia kutoa chembechembe za usaha
kupitia njia ya haja ndogo;

IKUMBUKWE YA KWAMBA MAJI SIO TIBA .
KWA USHAURI NA TIBA , WHATSAPP AU PIGA SIMU +254737602102 DR ABDUL

22/02/2023

TIBA ZA ASILI ZA MARADHI YA SIKIO

Sikio (Ear) limegawika katika sehemu tatu kuu. Sehemu ya nje ya sikio, sehemu ya kati ya sikio na sehemu ya ndani ya sikio.
Kuna aina mbili za matatizo ya masikio nayo ni:

OTITIS MEDIA :
ambayo hutokea katika sehemu ya kati ya sikio na mara nyingi huwatokea watoto wachanga na watoto wadogo.

ii. OTITIS EXTERNAL :
ambayo hutokea katika sehemu ya ndani ya sikio na mara nyingi huwatokea waogeleaji, na hutokea zaidi wakati wa baridi.

ISHARA ZA MATATIZO YA MASIKIO KWA OTITIS MEDIA :
i. Kuumwa na kuchomwa kwa sikio
ii. Kutokwa na uchafu ndani ya sikio
iii. Kutosikia kwa ghafla
iv. Homa

SABABU ZA OTITIS MEDIA :
Sababu kubwa ya maradhi hayo ni kuziba kwa bomba la sikio(Eustachiantube), kutokana na baridi, allergy pamoja na kuingia takataka. Hii inababisha maji maji ya sikio kujaa maji hayo nayo husababisha uvimbaji wa (ear drum) sikio.

SABABU ZA OTITIS EXTERNAL :
Hii husababishwa na baketeria au fungi, maji maji yanayoingia ndani ya sikio ndio sababu kuu ya kufanya bakteria na fungi kuzaana pia Skin allegies husababisha maradhi hayo.
Na sababu nyengine ni ulaji mbovu wa chakula pamoja na upungufu wa usafi wa mwili.

DAWA ZA KUJITIBU MARADHI YA MASIKIO:
i. Nyunyiza juisi ya Kitunguu saumu katika sikio linalouma
ii. Nenda Hospitali ukapigwe bomba ili maji na uchafu upate kutoka
iii. Pasha moto mafuta ya Zaituni (Olive oil) na yasubiri yapowe na ujitie drops mbili hadi 3
iv. Na usafishe masikio yako kila baada ya kutoka kukoga.

KUTOKWA NA USAHA SIKIONI:
Ikiwa utaweka kitu k**a ujiti wa kiberiti au mfano wake sikioni, unaweza kusababisha jeraha kwenye sikio na damu kuanza kutoka. Baadae usaha unaweza kutungwa sehemu ya jeraha na kutoka kidogokidogo. Lakini pia mashambulizi ya bacteria sikioni yanaweza kusababisha kutokwa na usaha.

TIBA ZA MAUMIVU YA MASIKIO NA KUTOKWA NA USAHA:
· KANUNI YA KWANZA :
Chukua maji masafi ujazo wa kijiko kimoja cha chai halafu uchukue chumvi kidogo kiasi cha vidole viwili uchanganye ndani ya maji hayo kisha hayo maji uchanganye na asali kijiko kimoja kidogo cha chai. Weka tone moja ya dawa hii ndani ya sikio lenye kuuma au kutokwa na usaha kutwa mara tatu.

· KANUNI YA PILI :
Dondoshea tone moja ya mafuta ya kitunguu saumu ndani ya sikio ambalo linauma au kutokwa na usaha kutwa mara tatu..

· KANUNI YA TATU :
Chukua mafuta ya habat soda na ufanye k**a kanuni ya pili.

· KANUNI YA NNE :
Ikiwa maradhi ya sikio ni kwa ajili ya bacteria, kunywa antibayotiki asilia k**a vile juisi ya Aloe vera, kitunguu saumu, n.k.

KWA TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA NA DR ABDUL KWA +254737602102

20/02/2023

SIRAJ HERBS

ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunayo dawa nzuri na ya asili ya KUONDOA KITAMBI. Dawa hii ni ya asili “ pure herbal “, haijachanganywa na kemikali yoyote, haina side effect kwa mtumiaji na inaondoa kitambi ndani ya siku 30

Tunapatikana Mombasa Kenya
Vile vile tunafanya ‘delivery’ kwa wateja wasio weza kufika ofisini kwetu, na kwa wateja wa majimbo (County) mbali mbali tunawatumia kwa njia ya mabasi, wateja waliopo NAIROBI NA COUNTY ZA MBALI

tunawatumia dawa kwa njia ya MABASI na kwa wateja waliopo nje ya nchi tunawatumia kwa magari, DHL, ama posta kulingana na nchi waliyopo.

WASILIANA NASI KWA NAMBA +254737602102

20/02/2023

JE UNATAMANI KUITWA MAMA?

JE UMEJARIBU KUPATA UJA UZITO BILA MAFANIKIO?

"MAMA PLUS" ndiyo suluhisho Kamili

Suluhisho kamili kwa matatizo ya uzazi kwa wanawake

1-HUZIBUA MIRIJA YA UZAZI

2-HUPEVUSHA MAYAI

3-HUWASAIDIA WENYE MATATIZO YA MIMBA KUTOKA

4-HUIMARISHA KIZAZI ILI KIWEZE KUHIMILI UJA UZITO

NA MENGINE MENGI

Usikose dawa hii ambayo imewasaidia wanawake wengi

Dawa hii unatumia kwa siku 30

Na utakuwa Sawa kabisa

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mombasa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mombasa