TIBA ASILI

TIBA ASILI

Share

TIBA ASILI & RUQYA

02/05/2023

HII HAPA SABABU MOJA WAPO...

KWA NINI WANAUME WENGI WANASHINDWA KUSIMAMISHA AU WANASIMAMISHA UUME LEGE LEGE!

- ifahamike kuwa Damu ndio huingia ndani ya uume na kuufanya uume usimame.

- Mishipa ya uume ikiwa imara basi uume husimama Kwa muda mrefu bila kusinyaa!

- Kusinyaa kwa uume hutokea baada ya damu kutoka kwenye uume na kupelekwa sehemu nyingine za mwili.

- Mishipa ikiwa na shida, uume husimama ukiwa lege lege, au kushindwa kusimama kabisa.

- Utazamaji wa Picha/Video za X huweza kupelekea ubongo kushindwa kutuma taarifa kwenye uume ili moyo usukume Damu ya kutosha kwenda kwenye uume !

- Ndiyo maana wanaume wengi wanaopenda kuangalia picha hizo hupata tatizo la kushindwa kusimamisha uume vizuri.

🚫 PICHA/VIDEO ZA X NI HATARI KWAKO! ACHANA NAZO.
══════ 🍃🍃 ══════
tiba asili

02/05/2023

Fibroid & period & PID

01/05/2023

Kwa wale walio poteza hisia zao dawa hii ni mzuri sana kwa kuregesha hisia zako na kuziboresha katika kiwango cha juu sana

01/05/2023

hizi ni dawa zinazo saidia
kupata hedhi kwa wale walio poteza
kupata mimba
kuswafisha kizazi
kukipatia kizazi nguvu
kutoa majo machafu kwa kizazi

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mombasa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Guraya
Mombasa