Sido the brand
If my momπ is oky then the world is okay πͺπΏπ€
13/04/2024
πππππππ: πππππ ππππ πππππ
Follow Sido the brand
ππππ π
Sanchez alirudi kubanja na Lexy kiasi na hata ashawekewa kajuice hapo akaambiwa karibu. Kisha Lexy akaomba Sanchez msamaha kwa kureact ile siku na akamwambia anaeza rudi kazi lakini Sanchez akamuuliza why? Ni nini imefanya ukachange mind ju wewe kitu unaeza change tu ni nguo? Lexy akamwambia wametoka kwa Pupa wakaongea na ashaelewa na story za Moh na Pupa washaongea na wako sawa sasa. Sanchez akamwambia ni sawa but next time usinirushie ngori zako na Pupa. Sanchez tena akasema hayuko ready kuendelea kukaa huku anaona awe anafanya day time but Lexy akamwambia aki Sanchez,unajua tu wewe huwa unamake madhe happy na wewe kuwa hapa k*tusaidia sana,so please, kaa tu huku.
Amelia anataka kujua Junior ana nini na Junior akamwabia kila kitu na akasema for now mimi naenda kukaa tu kwa Sanchez. Punde si punde, Becky akamcall Amelia Junior akiwa tu hapo,akamwambia madhe please tunaeza ongea kuna issue nataka tuongelee. Amelia akamuuliza issue gani hiyo? Becky akamwambia ni issue yangu na Junior na please sitaki tuongelee kwa simu,lakini Junior alichukua simu ya Amelia akaambia Becky sikiza, leave Amelia out of this,na hii ni last warning. Yani Junior amewaka hataki kusikia anything to do with Becky.
Moh na Pupa washaelewana na hata wamekuja wote kwa mansion. Pupa alimwambia wewe feel at home hadi ile siku utakua sawa ndio urudi mtaa but Moh akamwambia zii huko sirudi aki tukae tu hapa tuchape kazi story za Becky na Junior sitaki tenaπππPupa alimwambia all in all tusiblame Becky hatuezi jua ni nini ilifanya akafanya hivyo same to you kuna wakati ulipush Lexy but imagine sikuku judge,nilikuelewa. For the first time Moh akaona someone who makes sense ju hak*tarajia mtu k**a Pupa anaeza reason na yeye hadi akamwambia manze,asante sana kujia hii hug.
Juniir na yeye ashaamua ni k*toka anatoka lakini Becky alikuja akamwambia sikiza Junior,nimetoka kwa Hakimu na nishamwambia kila kitu ashaelewa na
12/04/2024
"Sisi wawili hatuwezi zaa pamoja,so tunatafuta mwanamke atubebee mimba!" Mashoga wawili wasema wana mpango wa kuwaa na mtoto
12/04/2024
πππππππ: πππππ ππππ πππππ
Follow brand Sido 4 update
ππππ π
Moh alikaa akaona wah,kwenye ametoka kimeumana na anafika huku kuna fisirani pia kwani nilirogwaππJunior alikuja akamuuliza k**a ameongea na Becky but akamwambia Becky ameenda kuoga. Becky ndio anatoka kuoga,Junior akamuuliza yani after everything hivi ndio unafanya hadi unaenda job? Becky akamwambia naenda job kuclarify vitu. Junior akamwambia ni sawa but this time ukienda,dont come backπππ
Kwa Pupa pia alijaribu kuwaeleza kuwa Moh aliumwa na kichwa akalala huku na maua ilikua ya kupeleka kwa kaburi ya mamake Pupa but Lexy could not hear anything. Amelia akawaambia sikiza, hata k**a kungekua na anything kati yenu singekubali mimi. Lexy akashtuka akamuuliza mbona? Amelia akamwambia because nyinyi wawili ni k**a siblings ni venye wewe Lexy huoni,yo are blinded by love but Lexy akamwambia mamake si hata Kabi... akaambiwa achana nayo,wewe na Pupa haiwezi. Lexy ndio haamini but for Pupa,yeye ako sawa,akamwambia hope utaelewa mamako mbona hii uhusiano haiwezi.
Kuna abandoned house fulani huku,Sanchez alikuja akaanza kuchungulia kuona k**a kuna mtu. Hamna mtu,akafungua mlango akapata haya,iko wazi,akaingia ndani. Ni k**ansion kiplan iko na marooms kadha wa kadha. Sanchez akaingia kwa marooms akiangalia kana kwamba anatafuta mtu ama kitu. Its an abandoned house na kumbe huku ndio Junior alikuja na hata ni Junior mwenyewe alimuita akuje huku.
Sanchez anauliza Junior kwani rada ni gani unaniita place weird hivi? Junior akaamka akamuuliza Sanchez,kwani unaniona mtoto sindio? Sanchez akashindwa kwani amekosa nini,Junior akamwambia,ile place ulipeleka Becky kazi ulijua exactly what will happen but ukasema nimtrust sindio? Sanchez hajui shida ni nini anauliza Junior kwani ni nini imehappen.
Becky na yeye,ashafika kazini akabisha gate afunguliwe lakini Hakimu kufungua gate akamwabia Becky simamia huko nje kwanza,I respect relationship yenu sana. Becky akamuomba msamah
10/01/2024
πππππππ πππππ ππππ πππ
Kumbuka kuweka LIKE!
ππππ π
Following day, mlangoni kulibishwa. Lexy akakuja mbio akidhani ni mamake,kufungua, ni Sanchez. Lexy alimuuliza Sanchez k**a aliongea na Tito? Sanchez akamwambia yeah,niliongea na yeye na kaa ukijua mamako hayuko kwangu. Lexy alijaribu kumwambia ile ngori ya jana aikua kupenda kwake but Sanchez alimwambia mi niko sawa,namaintain tu ngori yangu.
Becky na yeye kufika kazini,kashachelewa. Yafaa aingie 7am,ameingia 10am. Alifika k**a ameanza kujitetea venye alipata msee anamjua ikabidi ampeleke nyumbani,lakini mwenye hotel,alimwambia sikiza msichana,huu uongo tunajua sana,sasa fanya hivi,venye tu umekuja,rudi hivyo alah. Maskini Becky, day 2 kazini,ashafutwa kazi just for being a good samaritanπππ
Becky ilibidi amerudi kejani,akapata Imelai amelala bado na kumguza akaona at least mwili hauna joto mob,she is getting better but sasa kazi manze. Becky alianza kujiuliza, why me? Out f all places Imelia akaamua tu kulala place yake ya kazi,ona sasa imemcost manze,kazi imeisha. Becky alichukua simu akamcall Moh.
Becky aliambia Moh manze Imelia ako huku. Moh alimuuliza uko sure? Becky akamwambia yeah and as we speak ako kwangu,nilimpata kwa ile base nilipata job amekaa hapo ikabidi nimchukue nimlete kwangu. Moh alimuuliza sasa alifikaje hapo? Becky akamwambia hata wacha alifikaje hapo,imagine as we speak nimefutwa job ju nililate kazini na sai Imelia hataki mtu ajue kwenye yeye ako,hata Lexy wala Moses hataki wajue kwenye ako. Moh alimwambia usijali, acha nikipata time nitakam.
Becky kumaliza tu simu hivi, Tito akafika. Tito amekuja kujulia Jeff hali na hana habari ndani ya nyumba Imelia amelala kwa kiti. Kisha Tito akaambia Becky,manze Imelia hapatikani hatujui ako wapi. Becky anajifanya kushtuka sana na anajua kwenye ako,shida ni Tito aseme aingie kwa hao,but good thing hakuingia na huyoo Tito akaamua kuenda lakini akienda, Becky alimuita,akamwambia manze kuja,nataka kukushow kitu. Tito sas
09/01/2024
πππππππ: πππππ ππππ πππ
Follow Nandwa Isaac
Kumbuka kuweka LIKE
ππππ π
Lexy alikuja akapata Moh kwa simu akamwambia msichana sikiza, k**a unadai kuendelea kufanya kazi huku,itabidi umeacha umbea na pang'ang'a mob si kukua kwa simu. Moh akamwambia sawa madam hata hii imekua wrong number. Lexy akaitisha simu aone ile wrong number na kumbuka hii ni number ya Junior,woiπππMoh akipeana simu, Sanchez akafika,akaambia Lexy ashamaliza kazi ni kuondoka anaenda,Lexy akamwambia ni sawa acha nikupige push hadi gate. Moh akaponea hapo.
Lexy akimsindi Sanchez,alimwambia tangu story ya madhe nimeona umekua distance sana na mimi na hata nilisikia uliambia Tito hujaridhika na hiyo story form ni gani? Sanchez akauliza Lexy, wewe vile ulikua unaongelesha mamako unaona ulifanya kitu poa? Lexy akamwambia pia naona si kitu poa but I had to do what I had to do. Sanchez akamwambia ni sawa acha mimi niende but ujue hukufanya poa. Lexy akamwambia sikiza mwanaume, siko hapa kukulamba,k**a hujabambika na ile story, pia na wewe fuata madhe alahππ
Sanchez akiondoka,ndio Tito kuingia anaingia akapitana tu na nduguu hata leo hakuna salamu,akajua nduguu hayuko fiti. Tito alikuja akauliza Lexy,rada ni which? Lexy akamwambia si anasema hajabambika na story za mokoro so nikamwambia pia aende.
"babey take some water" Trisha alimuita Moses akimletea maji ya kunywa but Moses ako na stress ju hajui Imelia ameenda wapi. Ilibidi aambie Trisha anaenda kwa mansion aone k**a Imelia amefika huko. Trisha alikataa,akamwambia aki babey, sitaki kuwa lonely hapa,usiende huko. Imagine kamzee kaliingia box kakamwambia sawa babey,sitaendaπππ
Moses alimcall Lexy,na Lexy kushika akamwamba mzee,k**a ni story ya mali usioongee hakuna mali nakupea,lakini Moses alimwambia sikiza msichana, hiyo mali nimekaa nayo for 23yrs ningetaka kuitumia ningeitumia,sina haja na mali chenye nataka ni uheshimu mamako. Lexy alimwambia niliona tukiwa hapa hakuna heshima tunapata so tukiwa mbali ndio k*t
08/01/2024
πππππππ: πππππ πππ πππ
Follow Nandwa Isaac
ππππ π LEXY KAMFUKUZA MAMAKE
Huh! Imelia kuona Lexy anamuongelesha hivyo,alishindwa kuvumilia,akakuja kwa room yake kupack vitu zake zote aondoke aende zake. Moses alijaribu kumwambia Imelia usiondoke,lakini wapi,mamaa ameamua huku hakai tena hadi anaambia Moses sitaallow my daughter aniongeleshe hivi. Sikiza, Moses haezi taka aende na Imelia kwake ju anajua huko kwake kuna Trishaπππ
Moses alimwambia,so unataka nikusaidie nini ju naona hutabadilisha mwenendo wako. Imelia alimwambia hata pia sijui but I have to help that boy Junior but sina pesa mimi, Moses alimwambia fanya hivi,niko na idea, niende niongee na lawyer abadilishe will. Imelia akamuuliza unamaanisha? Moses akamwambia venye naona,itabidi niongee na lawyer wangu abadilishe mali yangu yote k*toka kwangu aweke kwa jina lako ju hata pia sifeel poa kuona huyu mtoto anak*treat hivi,heri mali yangu ikue yako. Imelia hakuamini but alifurahi at least atatoka huku. Kumbe wakiongea hivi,Tito alisikia.
Tito alikuja moja kwa moja hadi kwa room ya Lexy,akamuuliza mrembo,tulia ni nini inaendelea? Lexy akamwambia ni madhe imagine wanasupport Junior. Tito akamwambia wah,na ndio mzae ameamua kukurusha hii mali yote? Lexy akamwambia unamaanisha nini? Tito akamwambia nimesikia Moses akisema ataongea na lawyer watoe jina k*toka kwako hadi kwa jina la mamake. Mnaona ujinga wa Tito,Moses amesema mali yake,hajasema mali ya Lexy but Tito ju anatumia maji,akasikia vitu zake. Lexy alitokwa na wazimu ju niwaambie tu ukweli wakuu before pia mchanganyikiwe,Lexy hana mali ni Moses alitransfer tu mali kwa jina lakeπ’π’π’π’confused? I know,twendelee kusoma.
Moses na Imelia wakiwa sebuleni,hawana wasiwasi ju wao wanajua chenye waliongea ni mali ya Moses ndio anataka kumpea Imelia bali si mali ya Lexy. Lexy na yeye alikuja na hasira sasa,akauliza nyi mafala hizi,so mumeamua kuchukua mali yangu sindio,mbadilishe willl? Moses akashindwa,haka kako na mapepo za wapi,aka
06/01/2024
But me I canβt understand still Ujumbe wa Ney wa mitego kwa vijana
06/01/2024
But me I canβt understand still ππ who can explain please
06/01/2024
06/01/2024
The house was built by a single lady using the money she got from men that she killed and corned, after moving in, the ghosts of the men she killed do come en harm her, after the ghosts thieves do break in en also steal everything the same night!! Its believec the Luo lady,got married to a white man later on and deserted the mansion and now stays in abroad. The house is ever clean but there is no single day a human being is ever seen around.
06/01/2024
16 ππ£π©ππ§ππ¨π©ππ£π ππππ©π¨ πΌππ€πͺπ© ππ©πππ€π₯πππͺπΉ
1. The Ethiopian πͺπΉ calendar is different from the Georgian calendar. There are thirteen months in the Ethiopian calendar, which means they are currently in 2016.
2. Ethiopians πͺπΉ also measure the hours of a day to a different schedule based on the logic that the clock starts when the day does. Ethiopia, however, observes 13 calendar months per year. This makes the Ethiopian calendar 7 years behind the rest of the world.
3. Ethiopia πͺπΉ is the only African country never to have been brought under colonial rule. The ItΓ lians tried but failed woefully and were defeated by the solid Ethiopian forces.
4. Ethiopia πͺπΉ has the world's 0ldest Bible and the most unique.
5. Ethiopia πͺπΉ is home to one of the world's best coffee. In fact, coffee production is huge in Ethiopia.
6. According to some archaeological findings, Ethiopia πͺπΉ is the cradle of humΓ nkind. Meaning lifΓ¨ actually started in Ethiopia.
7. In 1960, an Ethiopian named Abebe Bikila became the first Black African to win gold in the Olympics. He won it by running barefoot.
8. Addis Ababa's name translates to βNew Flowerβ in Amharic. The city is one of the oldest cities in the world.
9. Ethiopia πͺπΉ is home to some of the world's tastiest, healthiest and most diverse cuisines on the continent of Africa.
10. The biggest festival in Ethiopia, Timket, is a three-day annual festival that honours the baptism of Jesus Christ in the river Jordan. It's one of the world's largest festivals that takes place annually. The festival attracts millions of people from all over the world.
11. Ethiopia πͺπΉ has the most UNESCO World Heritage Sites on the continent. Ethiopia takes first place as the African country with the most UNESCO World Heritage sites. There are 9 total ranging from religious sites to natural areas. Among them are the Simien National Park, Konso Cultural Landscape and the rock-hewn churches.
12. Over 80 language
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mombasa
