Shifaa sunna clinic
We produce quality herbal medicine from plants. that are best, safe, effective and sustainable
our mission is to provide our patients with the highest quality herbal medicine treatment at an affordable price
01/06/2026
❇️- PROSTATE - GUARD
Dawa hii ya herbal yenye kutibu na kumaliza kabisa matatizo ya tezi dume (prostate) kwa siku 30pekee
1️⃣inatibu maumivu au muwasho wakati wa kukojoa
2️⃣-inaimarisha kibofu bladder ya Mkojo kwa wenye kukojoa usiku mara kwa mara
3️⃣- inamaliza kabisa tatizo la mkojo kukwama
4️⃣- Inaondoa maumivu ya kiuno na wakati wa kukojoa mkojo wenye damu,au harufu kali
5️⃣-Husaidia kuongezeza nguvu za kiume
☑️-Hii ni dawa ambayo iko inform of powder una changanya kijiko kidogo kwa kikombe kimoja cha chai, Asubuhi na jioni kila siku kwa mwezi mzima na utapona kabisa
Wasiliana nasi kwa namba +254721836774 Doctor ismail
27/05/2026
25/05/2026
LATENAL-SPECIAL
🔴-Hii ni dawa ya herbal ilio tengenezwa kwa ustadi mkubwa sana ili kupambana na maradhi ya moyo:
☑️-Mojawapo ya sababu za magonjwa ya moyo ni kuziba kwa mishipa ya damu inayosambaza damu kwenye misuli ya moyo.
1️⃣-Dawa hii huyeyusha na kumaliza kabisa mafuta yalio ganda katika kuta za moyo (cholesterol)
2️⃣-Huondoa maumivu ya moyo na kuzuia moyo kufura
3️⃣-Huimarisha utendakazi wa moyo
4️⃣ ️-Huondoa matatizo ya moyo kwenda mbio
5️⃣-Huepusha na kuepusha shambulio la moyo
6️⃣-Humaliza kabisa maumivu makali kwenye kifua
7️⃣-dawa hii inatibu kabisa matatizo ya chembe cha moyo
📛-ZINGATIA
Wahi tiba mapema usisubiri mpaka dakika za mwisho
Kwa tiba na ushauri wasiliana nasi kwa namba
+254721836774
Doctor ismail
24/05/2026
GLAUCOMA SOLUTION ni dawa ya asili (herbal ambayo inatibu na kumaliza kabisa presha ya macho au glaucoma bila upasuaji wowote
✅-Kwanza dawa hii Husafisha Optic Nerve na kuondoa uchafu, hivo kuongeza uratibu wa Kazi ya macho.
INATIBU
1️⃣-Husaidia kuona mbali
2️⃣-Kuondoa wekundu wa macho
3️⃣-Hutibu na kuzuia maumivu makali ya macho
4️⃣-Hukulinda na kuzuia kuona k**a mawingu mawingu au ukungu
5️⃣-Inatibu mtoto wa jicho (cataracts )
⚠️ZINGATIA
Hii ni dawa ya kunywa iko inform of powder una kunywa kijiko kidogo kwa kikombe kimoja cha chai kunywa kimoja asubuhi na jioni Kila siku kwa miezi miwili na utakuwa sawa kabisa
Wasiliana nasi
kwa nambari +254721836774
Doctor ismail
23/05/2026
-KIDNEY PRO
Dawa safi kabisa kwa kutibu na kutatua matatizo sugu ya figo
Best herbal medicine for treating chronic kidney disease
1-Maumivu ya kwenye figo au kidney stones
2-figo kuwa na maambukizi au infection
3-Huondoa na kumaliza kabisa mawe kwenye figo
4-dawa hii inasafisha au ku- detoxify kidneys
5- dawa hii inatibu na kumaliza kabisa uvimbe kwenye figo bila sergery ama upasuaji wowote
Wasiliana na
Doctor ismail +254721836774
16/05/2026
PUMU YA NGOZI (ECZEMA) NA TIBA YAKE
Pumu ya Ngozi ni ugonjwa wa ngozi unaosababisha kuvimba kwa ngozi (inflammation). Hii huambatana na ngozi kuwasha, kuwa nyekundu, kavu, vipele na mabaka.
NINI HUSABABISHA PUMU YA NGOZI (ECZEMA?
Husababishwa na msh*tuko wa kinga ya mwili (hypersensitivity) na ngozi ya mwili. Kuna uhusiano wa pumu ya ngozi na magonjwa k**a asthma, mafua, msongo (stress) na kurithi (vinasaba).
DALILI ZA PUMU YA NGOZI
ngozi kuwa nyekundu, kuvimba na kupasuka. muwasho na kukauka kwa ngozi.
PUMU YA NGOZI KWA WATOTO :
Asilimia 8 mpaka 18 ya watoto husumbuliwa na ugonjwa huu kwa sababu ya utumiaji wa mafuta,sababuni, na vitu vingine vyenye kemikali
KWA wenye tatizo hili usihofu kwani tunazo dawa nzuri sana ambazo zinatibu na kumaliza kabisa
Wasiliana nasi
+254721836774 Dr ismail
05/05/2026
✅-LIPOMA REMOVER
without surgery in 60 days only
✴️-Hizi ni dawa za herbal zenye kutibu na kumaliza kabisa uvimbe wa lipoma bila upasuaji wowote
☑️-Ambapo tunakupa dawa aina mbili moja ni ya kunywa na nyingine ni ya kupaka dawa hizi unazitumia kila siku asubuhi na jioni kwa miezi miwili na utakuwa sawa kabisa
🔰-The combination of the two eliminates all types of lipoma without surgery ni 60 days only
dawa hizi ni za Herbal na hazina madhara yeyote
wasiliana nasi kwa+254721836774 Dr Ismail
02/05/2026
https://shifaaherbsclinic.co.ke/
SHIFAA herbal clinic website
click this link for more information
bonyeza hapa
Shifaa Herbs Clinic At Shifaa Herbs Clinic, we are dedicated to providing natural and holistic wellness solutions. We believe in the powerful healing properties of nature and are committed to helping our community achieve optimal health through traditional herbal knowledge and sustainable practices.
04/04/2026
UGONJWA WA KIFAFA NA TIBA YAKE
Huu ni ugonjwa amabao unasabababishwa na seli za mishipa ya fahamu zilizopo kwenye ubongo kutoa umeme[impulses] mwingi kuliko kawaida kwenda kwenye misuli na sehemu zingine za mwili, na matokeo yake mtu huanza kupata degedege ya mwili mzima, kukak**aa, kuanguka chini na kupoteza fahamu..
CHANZO CHA KIFAFA
chanzo kikuu cha ugonjwa huu kwa watu wengi hua hakifahamiki lakini baadhi ni moja ya sababu za kuugia kifafa.
A-KURITHI
B-KUUMIA KICHWA
C-KUUGUA MAGONJWA SUGU K**A MENINGITIS
D-UVIMBE KWENYE UBONGO
E-KIHARUSI
F- KUUMIZWA KICHWA WAKATI WA KUZALIWA
KUNA AINA MBILI ZA KIFAFA …
GRAND MA SEIZURES
Hii ni aina ya kifafa ambayo inanawatokea watu wengi sana, mtu huanza kwa kuchanganyikiwa, huanguka na kupoteza fahamu
PETIT MA SEIZURES
Hii ni aina ya kifafa ambayo mtu anaacha kuongea ghafla, mawazo yanatoka pale alipo kisha anaacha kuongea na baadae anarudi katika hali yake ya kawaida
TIBA YAKE
Kifafa powder ni dawa spesheli kwa ajili ya kutibu na kupambana na kifafa bila kujali chanzo chake dawa hii hutumika kwa rika zote
Wasiliana nasi kwa namba+254721836774 Dr Ismail
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kombani
Mombasa
254
