AyanaUpdates

AyanaUpdates

Share

Ayana Episode Updates ๐ŸŽฌ
Drama โ€ข Story โ€ข Whatโ€™s happening
Follow for latest updates

12/06/2026

Kati ya Sabina na Kefa,ni yupi makosa yake huwezi samehe hata kidogo?๐Ÿ˜“

12/06/2026

TYRONE NI MUME WA NDOTO AU BADO ANA MAFICHO? ๐Ÿค”โค๏ธ

Wakati kila mtu amechanganyikiwa na msiba wa Kylian ๐Ÿ˜ญ, Tyrone ndiye alikuwa akijaribu kusimamia kila kitu kwa wakati mmoja.

Mke wake Saida amelewa chakari kwa mara ya kwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿพ, Robert anampigia simu kwa panic ๐Ÿ˜ฑ, Annaliza analia machozi ya uchungu ๐Ÿ’”, lakini bado Tyrone anajaribu kuwa mtulivu.

K**a ungekuwa Saida, ungekubali Tyrone awe mume wako maisha yote? โค๏ธ๐Ÿฅฐ

๐Ÿ‘ YES

๐Ÿ˜ฎ HAPANA, BADO ANA SIRI NYINGI

12/06/2026

๐Ÿ’” SAIDA NI BARAKA ILIYOKUJA BAADA YA DHORUBA! ๐Ÿ’”๐Ÿ”ฅ

Wakati Robert na Annaliza wanalia machozi ya kumpoteza Kylian ๐Ÿ˜ญ, upande wa Saida na Tyrone kulikuwa na furaha, vicheko na sherehe za mapenzi. โค๏ธ๐Ÿฅณ

Lakini jambo moja limenigusa sana... Saida hajawahi kuumiza mtu ili afurahi. Alivumilia majaribu, machozi, fitina na dharau, lakini leo ndiye anafurahia matunda ya subira yake. ๐Ÿ‘โค๏ธ

Hata alipolewa kwa mara ya kwanza na kuanza kuropoka ๐Ÿ˜‚๐Ÿพ, bado mashabiki walimpenda zaidi kwa sababu ameonyesha kuwa yeye ni binadamu k**a sisi.

โค๏ธ Ukikubali kuwa Saida ndiye mwanamke mwenye moyo safi zaidi kwenye Ayana, acha LIKE yako hapa chini.

SAIDA = โค๏ธ
ANNALIZA = ๐Ÿ˜ข
KEFA = ๐Ÿ˜ก

Tusikie upande wako!

12/06/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Œ๐Ž๐ ๐Ÿ๐Ÿ“๐“๐‡ ๐‰๐”๐๐„ ๐๐‘๐„๐ƒ๐ˆ๐‚๐“๐ˆ๐Ž๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’ ๐Ÿ”ด
๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ: ๐“๐ฒ๐ซ๐จ๐ง๐ž ๐€๐ง๐š๐Ÿ๐ข๐ค๐š ๐Š๐ฐ๐š ๐Š๐ข๐ฅ๐ข๐จ, ๐’๐ข๐ซ๐ข ๐ˆ๐ง๐š๐š๐ง๐ณ๐š ๐Š๐ฎ๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐š!
Tyrone atafika kwa kina Robert akitegemea kupata dhoruba ndogo ya kifamilia, lakini akitua tu hapo sebuleni, atapigwa na butwaa! Atamkuta Robert ameshika kichwa akilia kiume, na Annaliza ameparara, nguvu zimemuisha kabisa baada ya kupokea simu ya dharau kutoka kwa Kefa. Tyrone kwa mshtuko atawauliza, "Kwani kuna nini jamani? Mbona mko hivi na jana tu tulikuwa kwenye sherehe?"

Robert akipiga pumzi nzito, atamwangalia Tyrone na kumwambia: "Bro, Kylian ameuawa... mwili wake umepatikana forest!" Tyrone atashtuka hadi miguu imlekee, haamini masikio yake. Hapo hapo, Tyrone ataanza kuunganisha doti za vile Kylian alivyopotea siku ya wedding na jinsi Kefa alivyotokea ghafla kwenye double wedding yao akisherehekea k**a VIP chini ya mwaliko wa Tinah. Tyrone atawaka hasira na kuahidi kuwa lazima muuaji apatikane.

Wakati huo huo, Kefa atakuwa amekaa kwake akijipongeza, lakini anajua vizuri sana kuwa Robert na Annaliza wakishirikiana na DCI wanaweza kumsaka. Kefa ataanza kupanga mbinu ya kujisafisha kwa kutumia ukaribu wake na Tinah k**a ngao yake ya VIP ili asishukiwe.

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ: ๐”๐จ๐ง๐ ๐จ ๐–๐š ๐Œ๐š๐ญ๐ก๐ž๐ฐ ๐”๐ง๐š๐š๐ง๐ณ๐š ๐Š๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ ๐š ๐”๐ญ๐š๐ง๐ ๐š, ๐๐ฎ๐ซ๐š๐ก ๐€๐ง๐š๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐‡๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐™๐š ๐Š๐ข๐Ÿ๐จ!
Kule kwa mansion ya Tyrone, pombe ya Saida itaanza kushuka kiasi baada ya kusaidiwa na Asha na Tinah. Saida akizinduka kidogo, ataanza kujilaumu mbona aliongea vile kwa Tyrone, lakini Asha atakuwa bado amemkasirikia mathe wake kwa kumuaibisha asubuhi na nguo ya kulala.

Upande wa akina Mathew na Nura, ule uongo wa Mathew utaanza kuleta shida. Tinah, akisikia kuwa Nura alipoteza rafiki wa utotoni, ataanza kuingia na huruma na kumuuliza Nura, "Pole sana Nura, Mathew ameniambia ulipoteza rafiki yako wa dhati wa kitambo. Alikuwa anaitwa nani na amekufa aje?" Nura akisikia hivyo atashangaa sana na kumwangalia Mathew kwa macho ya ukali, akijua Mathew anamtungia uongo ili kuficha tabia yake ya kumsumbua chumbani. Nura atataka kumchomea picha Mathew hapo hapo, lakini kabla hajasema kitu, simu ya nyumbani au ya mtu itaita kutoka kwa Tyrone ikileta habari za msiba!

Tyrone atapiga simu nyumbani kwa dharura na kuongea na Tinah au Asha: "Wambieni kila mtu afunge mdomo na sherehe ziishe kabisa... Kylian wa Robert amepatikana amekufa uko forest!"
Wacha Nura asikie hayo maneno! Hapo ndipo atagundua kuwa ule uongo wa Mathew wa "kupoteza rafiki" sasa umekuwa ukweli wa ghafla na wa kuumiza, kwa sababu rafiki yake wa dhati, Kylian, kweli hayuko tena! Nura ataanguka chini akilia kwa uchungu ule uliomzuia jana usiku, na Tinah atabaki mdomo wazi akishindwa nini kinaendelea.

Lakini sasa naona Kefa ameishika Simba makalio ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚na kitakacho mkuta mtaniuliza .....

Na Mathew atafanya nini baada ya uongo wake kugeuka kuwa msiba wa kweli kwa Nura?

12/06/2026

"I will miss youy my Son....๐Ÿ’”Annalisa tusipite bila kumwambia pole ๐Ÿ™

Photos from AyanaUpdates's post 11/06/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ๐“๐‡ ๐‰๐”๐๐„ ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’
Weka ๐Ÿ–ค ukiendelea kusoma
๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
All this time, Tyrone alikua ashadrop Annaliza kwake hadi ashaoga anakuja kwa bed,lakini punde si punde,simu yake message ikaingia. Akashtuka akamua kucall. Annaliza ashapata ujumbe mtoto wake mambo si mazuri. Hata karibu atoke akiwa siekenye ju ya hofu.

Wabenzi nao,Saida na Tyrone waliamua leo hii,lazima katambe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚lero lero ni leeero,lero lero ni leeero.

Lakini wakiamua kujibamba,manze upande wa pili,huzuni machonzi na sintofajamu imejaa kwa Robert na Annaliza. Wamelia,ya kutosha,alafu cheki,Kefa ako hapo anasmile akicheka. He just wanted to put pain kwa Annaliza na Robert kwa kuua mtoto wao.

Usiku iliisha ikafika asubuhi,Tyrone kuamka akapata haya,kumbe Saida alikunywa pombe jana ju ya sherehe akalewa na ameanza kujiongelesha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Tyrone alikuja akamuuliza Saida,are you high ama? Saida akamwambia wewe ni husband wangu na usiniulize maswali za polisi. Saida hajawai lewa ni mara ya kwanza na sasa pombe inafanya anaongea ujinga,anaambia Tyrone,ushakua bwanangu na sasa huwezi nicontrol. Tyrone anashindwa huyu ni pombe inaongea ama ni Saida anaongea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tufike kwa Kefa,yeye maisha inaendelea kawaida ashaamka na kitu cha kwanza alimcall Annaliza. Already anajua what he did but he just want to impose pain. Alimcall Annaliza akamuuliza umepata Kylian ama? Annaliza akamwambia dont bother,its over,Kylian is dead. Alafu Kefa akacheka na akakata simu na akasema aje "you should have remained loyal Annaliza"

Asha alikuja akauliza mamake,shida ni nini hujawai lewa,na umevaa nguo ya kulala unatembea nayo shida ni nini? Saida akamwambia mimi nishachoka kufurahisha kila mtu na sai sichukui orders kwa mtu,orders nachukua kutoka kwangu mimi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Saida hajawai lewa,hii ni pombe inafanya kazi.

Ona Annaliza na Robert,hawaamini chenye kimefanyika.

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Robert alimcall Tyrone,akamwambia brother dont ask,something has come up,just hurry up ukuje, na akakata simu. Tyrone akashindwa kuna nini tena.

Saida bado ni kulewa tu wamejaribu kumpea chai lakini wapi,pombe ndio inazidi sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Tinah kanacheka,but Asha hacheki haamini mamake anaeza lewa hivi hadi anaambia Tinah huyu hakai mamangu kabisa. Nura ndio anakapitia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tyrone ndio ako confused, ameitwa na Robert na tena Saida ndio huyo but Tinah alimwambia dad usijali wee enda sisi tutadeal na huyu.

Tinah na Asha wako nje huku ndani ni Nura amebaki peke yake. Punde si punde, Mathew akafika na k**a kawaida Mathew akataka kuongea na Nura lakini Nura alimwambia usijaribu ukanisumbua tafadhali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚enda nje saidia watu kubeba Saida.

Mathew alikuja akapata woi, Saida is wasted. Tinah aliambia Mathew enda kamuite Nura akuje tusaidiene tubebe hii ndovu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mathew alikuja kumuita Nura lakini Nura akamwambia sikiza, ukiendelea hivi nitaambia Tinah lakini Mathew akamwambia aje, Tinah hatakuamini ju anajua siezi date mtu k**a wewe. Nura akamwambia ooh,mtu k**a mimi maid sindio. Mathew alikuja akasahau yafaa aite Nura waende wabebe Saida. Tinah kuona wamekaa sana akakuja mwenyewe akauliza Nura,kwani hufiki? Nura akamuuliza kufika wapi tena? Hapo ndio Mathew akarealize woi hajaambia Nura alikua anaitwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kuna kastory Mathew came up with kenye alidanganya Tyrone jana ati Nura alipoteza childhood friend,kumbe aliambia Tinah same thing๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ju Tinah alishangaa wee mnakaa kwani mnaongea nini? Mathew akasema ni ile tu story ya Nura kupoteza childhood friend.

At this point,apart from mimi,wewe,Robert,Annaliza na Kefa,hakuna mtu mwingine amejua Kylian is no more.

11/06/2026

Na ni hivyo Kylian ameenda,any last words to Family and Annalisa?๐Ÿ’”

11/06/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐„๐—๐“๐‘๐€ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’
๐”๐Š๐–๐„๐‹๐ˆ ๐–๐€๐…๐ˆ๐‚๐‡๐”๐Š๐€ ๐Š๐ˆ๐‹๐ˆ๐‚๐‡๐Ž๐…๐€๐๐˜๐€ ๐Š๐„๐…๐€ ๐Š๐”๐Œ๐”๐Œ๐€๐‹๐ˆ๐™๐€ ๐Š๐˜๐‹๐€๐
Baada ya kylan kupotea ghafla, Annalisa aliona Bora aende kumufahimisha Kefa kuhusu kupotea kwake, kwani aliamini Kefa anaweza kumuokoa kylan jinsi alivyo okoa Tinah.

Annalisa alienda kwake kumuomba afanye hivo na kumueleza kila kitu kuhusu kilichofanya kylan kupotea bila kukua ni kefa aliyekuwa amemuteka. Naye kefa kumuteka kylan hakuwa na nia ya kumuua lakini baada ya Annalisa kuja kwake na kumwambia kilichokuwa kinaeendelea kati Yake na mtoto wake, kefa aliamua kumuua kylan kusudi ni, watu wajue Kylian alijiua mwenyewe na wasishuku kuwa aliuliwa.

Kulingana na Kefa anataka ijulikana tu kylan baada ya kukosana na mama yake alienda kujinyonga huko kwa forest. Lakini tunaomba ukweli ujulikane na Kefa afungwe jela.

11/06/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐„๐—๐“๐‘๐€ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’
๐’๐‡๐€๐ˆ๐‘๐ˆ ๐‹๐€ ๐Š๐”๐Ž๐Œ๐๐Ž๐‹๐„๐™๐€ ๐Š๐˜๐‹๐€๐
Machozi yanitiririka,
moyoni nina majeraha,
Kylan mwanetu ameshuka
amepoteza kila furaha.

Kefa amekuwa mnyama,
mlezi aliyogeuka muuaji,
Amezima taa mapema,
kwa ukatili usio na utulivu wa mtaji.

Baba wa kambo katili,
asiye na utu wala huruma,
Amemdhuru huyu mwana,
na kumwacha mama katika vilio vya daima.

Kylan ulikuwa ua zuri,
lililochanua kwa matumaini makubwa,
Lakini mikono ya dhalimu,
imeling'oa na kuliacha likinyauka kwa ghafla.

Ukatili huu wa kinyama,
unaacha donda lisilopona kamwe,
Kilio chetu kinalia kwa uchungu,
damu yako inadai haki isinyamaze.

Ulilia ukikosa msaada,
mikononi mwa mtu uliyemwamini k**a mzazi,
Leo hii umetutoka Kylan,
ulimwengu mzima uko katika simanzi.

Lala salama mwana mdogo,
upumzike mahali pa amani,
Haki itasimama imara,
na dhalimu huyo ataingia gerezani.
K**a imeku nice ๐Ÿ™‚ pita n Ka like

11/06/2026

Matthew achukue nani,Kati ya Celestine ama Nurah??

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Nairobi West?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Nairobi West
2250