Ulimwengu wakiroho

Ulimwengu wakiroho

Share

Jesus

13/02/2026

Ufunuo wa Yohana 3:16 Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

16/11/2025

nakamea roho yamauti katika jina layesu

24/07/2025

Mara nyingi Wakristo tunajihusisha na maombi yasiyofaa kabisa .

Haya uko hapo umefunga macho unaomba unaambia Mungu kuwa yule adui yako ambaye amefanya mpaka njia zako hazifanikiwi MUNGU amuangamize kabisa 👉kumbe adui ya maisha yako ni Wewe mwenyewe maana umekosa kufaulu Kwa sababu uko na laana ya JUMPIGA babako ,,, badala upewe hekima ya kuenda kuomba msamaha na kututu , ,,, shetani anatwist maombi yako , unaona watu wengine kuwa ndio chanzo Cha shida zako , jambo ambalo liko mbali na ukweli kabisa.

Ulikuwa mshirika mzuri zamani , ila siku hizi ni wewe na kununua Kila bangles na chains na rings ,, na Kila itakayokupendeza unanunua tu , haujui ni ipi salama na ni gani si salama ,,,,, halafu Kesho ukianza kulala na kuota ndoto mbaya na kukabwa ndoto Kwa koo ,, unaomba Mungu ukisema," yule mchawi anayekufanyia hayo Kwa ndoto avunjike vipande vipande "👉 kumbe wewe ndiwe chanzo Cha tatizo lako .

Unaenda unalala na mume au mke WA mtu Kwa sababu ya tamaa zako , Kesho utapata ugonjwa WA zinaa , uwe na blockage mara haja ndogo inatoka Kwa shida , mara unatoa usaha ,,,,,,,, 👉 wewe Tena utaanza kukemea maadui zako ukisema anayekusababishia hayo aangamizwe Kwa moto without knowing that unajiombea mabaya mwenyewe cause you are the cause of that .

My point is, usiwe mtu WA kuomba maombi ya kuhukumu , maana unaweza kufanya hivyo kumbe unajihukumu na kujiweka hatarini mwenyewe. Usiwe mrahisi WA kufanya hivyo kabisa 🙏 you might be a weapon formed against yourself through wrong prayers 🙏

Photos from Ulimwengu wakiroho's post 18/01/2025

prayer is the best and only solution to your próblems, so pray and don‘t give up.

25/09/2024

Ezekieli 18:2
Je! Maana yake ni nini hata mkatumia mithali hii katika Israeli, mkisema, Baba wamekula zabibu mbichi, nao watoto wakatiwa ganzi la meno?

09/08/2024

*~Mithali 22:6*

Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.

26/07/2024

Yesu asifiwe

12/06/2024

*~Yohana 4:14*

Walakini ye yote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima wa milele.

24/03/2024

*~Mithali 18:21*

Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Nairobi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Dennis
Nairobi