Emanuel El mafie
Former student NOSEIYA PRM ,NKOASENGA SEC,ENABOISHU HIGH SCHOOL,MONG'ARE COLLEGE
17/04/2025
Bukayo Saka ni miongoni mwa nyota walikua mwiba mkali na mchungu Kwa real Madrid
Asking for
1 bedroom and sitting
2 bedroom and sitting
3Bedroom and sitting
ALL AVAILABLE CALIFORNIA
04/09/2024
Uganda ,uganda ,Uganda what's wrong with you
Mwanasiasa mashuhuri Nchini Uganda, Rais wa NUP, Robert Kyagulanyi ambaye pia amekuwa akijulikana kwa jina la kisanii la Bobi Wine, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni na Polisi wakati Polisi wakiwatawanya Wafuasi wake katika eneo la Bulindo Manispaa ya Kira.
Vyombo vya Habari Nchini Uganda vimeripoti kuwa Bobi amepigwa risasi mguuni kauli ambayo imethibitishwa na Admin wa ukurasa wa X wa Bobi Wine ambaye amekiri Bobi amepigwa risasi na tayari ameshawahishwa Hospitali kwa ajili ya matibabu.
Kwa habari za uhakika
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Emanmafie196@gmail. Com
Nairobi
