Tiba online

Tiba online

Share

Tiba online

17/02/2023

Dawa hii inatibu na kumaliza kabisa matatizo ya maumivu ya kichwa

Buy latest shifaa herbal products Demo catalogue from shifaa sunna clinic 20/01/2023

https://quicksell.co/s/shifaa-sunna-clinic-/shifaa-herbal-products-demo-catalogue/ak8

Buy latest shifaa herbal products Demo catalogue from shifaa sunna clinic Buy from wide range of latest shifaa herbal products Demo catalogue from shifaa sunna clinic online with lowest price, live offers & much more. Check shifaa sunna clinic digital catalog for more details.

20/12/2022

📚"MEMORY BOOSTER "

🔰-Dawa hii kwa jina la memory booster ni dawa ambayo ina tibu matatizo Yafuatayo :

1️⃣-tatizo la kusau sahau

2️⃣-kisunzi cha mara kwa mara

3️⃣- ina imarisha mishipa ya ufahamu

4️⃣-inawasaidia katika ukuaji wa ubongo kwa mtoto

5️⃣-huupa mwili nguvu za kupambana na maradhi

6️⃣-hutibu matatizo ya kichwa kuuma kwa watoto

✳️-Dawa hii inaweza kutumiwa na watoto na watu wazima

🌳-Dawa hii ni herbal na
haina madhara yeyote

📞-KWA ANAYEHITAJI HITAJI DAWA HII WASILIANA NA Dr ISMAIL KWA +254721836774

Buy latest shifaa herbal products Demo catalogue from shifaa sunna clinic 09/12/2022

KARIBUNI SANA KATIKA SHIFAA HERBAL CLINIC TUNATIBU MARADHI MBALI MBALI KWA KUTUMIA MADAWA ASILI (HERBAL)

https://quicksell.co/s/shifaa-sunna-clinic-/shifaa-herbal-products-demo-catalogue/ak8

BONYEZA HII LINK ILI KUONA BAADHI YA MADAWA YETU

Buy latest shifaa herbal products Demo catalogue from shifaa sunna clinic Buy from wide range of latest shifaa herbal products Demo catalogue from shifaa sunna clinic online with lowest price, live offers & much more. Check shifaa sunna clinic digital catalog for more details.

05/10/2022

Dawa ya kutibu na kumaliza kabisa U.T.I sugu

27/09/2022

JEMBE PLUS

DAWA YA ASILI YA KUTIBU NA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

MATATIZO K**A; ⤵️

☑️ KUWAHI KUFIKA KILELENI WAKATI MKE HAJAFIKA

☑️ KOKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

☑️ KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA

☑️ UUME KUSIMAMA LEGELEGE

☑️ MATATIZO YA KUJICHUA /PUNYENTO

☑️ UCHACHE WA MBEGU ZA KIUME (LOW S***M COUNT)

☑️ MATATIZO YA HORMONE IMBALANCE

☑️ UPUNGUFU WA MADINI YA ZINC NA MENGINEYO ...

➡️ ONANA NASI TUKUPATIE ( JEMBE PLUS) UWE FITI NA UONDOKANE NA MATATIZO HAYO

🥄-DAWA HII NI YA UNGA UNA CHANGANYA KIJIKO KIDOGO CHA DAWA HII KWA

✅-MAJI YA MOTO, UJI MWEPESI, MAZIWA YA MOTO, CHAI AU MAZIWA YA MOTO

🌳-DAWA HII NI HERBAL NA HAINA MADHARA YEYOTE

📚-MATUMIZI
ASUBUHI KIKOMBE KIMOJA NA JIONI
KWA SIKU 30

📲 WASILIANA NASI KWA NAMBA HII: CALL AU WHATSAPP: +254721836774 DR ISMAIL

🤝🏾 NJOO SASA TUKUPATIE (JEMBE PLUS ULIME SHAMBA LAKO KABISA) SULUHISHO LA NGUVU ZA KIUME 💪🏾

💊-HII NI DAWA SIO VI**RA YATUMIWA NA WATU WOTE HATA UWE NA SUKARI AMA PRESHA

😅-UTAFURAHI

13/09/2022

*UFAHAMU UGONJWA WA KIFAFA NA TIBA YAKE*

Huu ni ugonjwa ambao unasabababishwa na seli zilizopo katika mishipa ya fahamu zilizopo kwenye ubongo kutoa umeme[impulses] mwingi kuliko kawaida kwenda kwenye misuli na sehemu zingine za mwili, na kusababisha mtu kupata dalili k**a vile kuishiwa nguvu, kichwa kuuma, kuchanganyikiwa, mwili kukak**aa na hata kupoteza fahamu. Hali hii hujirudia mara kwa mara.

Ifahamike kuwa, aina ya kifafa inayojulikana sana mitaani ni ile ambayo mtu anakak**aa na kupoteza fahamu, japokuwa kuna aina za kifafa ambazo mtu hakak**ai wala kupoteza fahamu, k**a tutakavyoona hapo baadae.

Mwaka 2013 ugonjwa huu uliua zaidi ya watu laki moja duniani, 80% wakiwa waafrika.
Mgonjwa huyu huweza kuanguka mara kadhaa kwa mwezi lakini anaweza asianguke kabisa k**a anafuata masharti na utaratibu mzuri wa matibabu…

*CHANZO CHA UGONJWA WA KIFAFA NI NINI?

chanzo kikuu cha ugonjwa huu kwa watu wengi hua hakifahamiki lakini baadhi ya hizi ni moja ya sababu za kuugua kifafa.
1*KURITHI ;
familia na koo zingine zinakua na ugonjwa huu hivyo watoto na wajukuu huzaliwa tayari na ugonjwa huu.

2*KUUMIA KICHWA
:* ajali zinazohusisha kuumia kwa kichwa huweza kusababisha kuumia kwa mishipa ya fahamu na mtu kuugua kifafa.

3*MAGONJWA MENGINE ;
kuna magonjwa mtu akiugua maishani mwake baadae huweza kupata kifafa kwasababu magonjwa hayo yanavyoharibu mfumo wa ubongo.. mfano homa ya uti wa mgongo kitaalamu k**a meningitis.

4*UVIMBE KWENYE UBONGO :
matatizo ya uvimbe kwenye ubongo k**a kansa huweza kusababisha mtu kuugua kifafa.

5*KIHARUSI ;
huu ni ugonjwa ambao husababishwa na damu kushindwa kupita vizuri kwenye ubongo au kupasuka kwa mishipa ya damu ya ubongo hali hii husababisha mtu kupooza nusu ya mwili wake na huweza kuugua kifafa baadae.

6*MATATIZO WAKATI WA KUZALIWA :
wakati mwingine mtoto huzaliwa kwa shida sana kwa njia ya kawaida kiasi kwamba kichwa chake hubanwa sana wakati wa kupita na hali hii huweza kumsababishia kifafa kwanzia utotoni.

7*MATATIZO YA UTENGENEZAJI WA MTOTO TUMBONI ;
wakati mwingine ile miezi mitatu ya kwanza ambayo mtoto ndio anapata viungo tumboni huweza kutokea kasoro kwenye mfumo wa fahamu za kwenye ubongo na kumfanya apate kifafa akizaliwa.

8*MAGONJWA YA UZEE YANAYOADHIRI UBONGO ;
kuna magonjwa huharibu ubongo wakati wa uzee na magonjwa haya huweza kusababisha kifafa kipindi hicho.

9*KUNA AINA MBILI KUBWA ZA KIFAFA …*
1)Primarymarygeneralized seizures
Hii ndio aina ya kifafa ambayo inafahamika sana mitaani; na inahusisha mgonjwa kuk**aa, na kupoteza fahamu, pamoja na dalili zingine k**a vile kutoa povu mdomoni, na kujisaidia haja kubwa na/au ndogo bila kujitambua akishikwa na hali hiyo.
Pia wengine hupatwa k**a na wazimu au kuchanganyikiwa kwa muda kabla au baada ya kushikwa na hali hiyo.

2)PARTIAL SEIZURES
Aina hii ya kifafa ni ile ambayo haihusishi muhusika kupoteza fahamu na kukak**aa!! Bali hushikwa na hali fulani k**a ya bumbuwazi kwa dakika kadhaa; Wengine huwa na dalili zisizoeleweka za mara kwa mara k**a vile kusihiwa nguvu, kizungu zungu, kichwa kuuma sana (bila sababu ya kiafya inayojulikana), na kadhalika. Aina hizi za kifafa ziko nyingi, na dalili hutofautiana kwa kadri ya aina ya kifafa!!

Vipimo vinavyofanyika kugundua kifafa
Ugonjwa huu unaweza kutambulika kwa daktari kuchukua historia ya dalili zinazomkabili muhusika tu(hakuna kipimo ambacho kinaweza kutambua kifafa kwa asilimia 100); Kuna kipimo kinachopima jinsi ubongo unavyotoa taarifa za umeme

(ELECTROENCEPHALOGRAM-EEG), ambacho kinaweza kutambua kifafa, lakini kipimo hiki kinaweza kikaonekana kuwa hakina shida, na bado mtu akawa na tatizo hilo la kifafa. Hivyo basi, kifafa ni moja kati ya magonjwa machache ambayo kutambulika kwake kunategemea sana ujuzi na utaalamu wa daktari katika kuunganisha dalili za mgonjwa kuliko vipimo!!

HATA HIVYO , MARA NYINGI MGONJWA HUPIMWA VIPIMO TOFAUTI ILI KUWEZA KUJUA CHANZO CHA UGONJWA … MFANO
A•Uwezo wa kufanya kazi figo
B•Uwezo wa kufanya kazi maini
C•Kupima maji ya uti wa mgongo
D• Kupima Kaswende
E•Picha ya ubongo mfano CT SCAN.

MAMBO YANAYO SABABISHA DEGE DEGE ZA KIFAFA MARA KWA MARA ..
1•Kukosa usingizi kwa muda mrefu
2•Mianga na miale ya disko
3•Unywaji wa pombe
4•Kuishiwa sukari mwilini wakati wa akisikia njaa kali.
5• Kutomeza dawa k**a ilivyoelekezwa

MATIBABU YA SIYO YA DAWA WAKATI MGONJWA AMEK**ATWA NA KIFAFA :{non PHARMACOLOGICAL TREATMENT }YAANI HUDUMA YA KWANZA
A•Mzuie mgonjwa asijiumize kwa kuweka kitu laini chini ya kichwa chake, ondoa vitu vikali karibu yake k**a kisu, sindano au vyuma.
B•Usilazimishe kitu chochote kwenye mdomo wa mgonjwa.
C•Usimshike kuzuia mizunguko yake
D• Weka kichwa alale anaangalia upande mmoja ili kutoa mate mdomoni.
E•Kaa na mgonjwa mpaka degedege ziishe
F•Usiweke chochote mdomoni kwa mgonjwa k**a dawa au chakula mpaka apate fahamu zake.

MTU MWENYE KIFAFA HALI HII YA KUK**ATWA NA DEGE DEGE ZA KIFAFA SIO YA AJABU SANA ILA UKIONA DALILI HIZI MKIMBIZE HOSPITALI ..
1•Degedege za kifafa zaidi ya dakika kumi
2• Kutapika sana
3• Kushindwa kuona vizuri
4• Kupoteza fahamu
5• Kichwa kuuma sana.

MATIBABU YA UGONJWA
Kuna dawa za kiasili ambazo zina tibu na kumaliza kabisa ugonjwa huu hatari kwa hio k**a una ndugu jamaa au rafiki mwenye ugonjwa huu hatari
wasiliana na Dr Ismail
kwa +254721836774
na atatibiwa

09/09/2022

TATIZO LA ALLERGY (MZIO) : NI NINI CHANZO NA TIBA YAKE ?


ALLERGY au mzio ni majibu ya kuzidi kiwango yanayotolewa na mfumo wa kinga za mwili baada ya mwili kukiona kitu ambacho unahisi si salama. Tunasema ni majibu ya kuzidi kiwango kwa sababu kitu hicho hicho huonekana si cha hatari ndani ya mwili wa mtu ambaye hana mzio na hakuna shambulio la kutoa majibu linalofanywa.

Vitu vinavyosababisha allergy huitwa allergens. Mifano ya allergens ni poleni za mimea, wadudu wadogo ndani ya vumbi, udongo wa mboji, protini ya wanyama, chakula, na madawa. Mtu mwenye mzio akikutana na allergen, kinga zake za mwili huandaa majibu kupitia kingamwili (antibody) ya IgE.

NINI HUSABABISHA ALLERGY ?
Mfumo wa kinga za mwili ni mpangilio maalumu wa mwili wa kujilinda dhidi ya vitu kutoka nje vinavyouvamia mwili, na hasa maabukizo ya wadudu. Kazi yake ni kutambua na kujilinda dhidi ya wadudu hawa wa nje, ambao huitwa antigens. Antigens mara nyingi husababisha mwili kujibu kupitia utengenezaji wa antibodies, ambazo ni protini za kujilinda, ambazo kila moja hutengenezwa mahsusi kwa aina fulani ya antigen.


DALILI ZA ALLERGY
Dalili za allergy, ambazo hutofautiana kulingana na sehemu husika, zaweza kuathiri njia za hewa, sehemu za wazi kati ya mifupa (sinuses) na njia za pua, ngozi, na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Allergic reactions zaweza kuwa ndogo au kali. Baadhi ya dalili kali, zinaweza kuhatarisha maisha, hali iitwayo anaphylaxis.

MAFUA YALETWAYO NA VUMBI (HAY FEVER ), AMBAYO PIA HUITWA ALLERGIC RHINITIS, YAWEZA KUSABABISHA :

@. Kupiga chafya
@ . Kuwashwa pua, macho, au sehemu ya juu ya mdomo
@. Kuvuja k**asi
@. Majimaji machoni, macho mekundu au yaliyovimba (conjunctivitis)

ALLERGY YA CHAKULA YAWEZA KUSABABISHA :
X. Msisimko mdomoni
X. Kuvimba mdomo, ulimi, uso au koo
X. Hives, ugonjwa wa mabaka ngozini
X. Anaphylaxis

KUNG’ATWA NA MDUDU KWAWEZA KUSABABABISHA :
Q. Eneo kubwa lililovimba (edema) kuzunguka sehemu iliyong’atwa
Q. Kuwasha au Hives mwili mzima
Q. Kukohoa, kubanwa mbavu, kukorota au kupumua kwa shida
Q. Anaphylaxis

ALLERGY YA DAWA YAWEZA KUSABABISHA :
Z. Hives
Z. Kuwashwa ngozi
Z. Vipele vidogo (rash)
Z. Kuvimba uso
Z. Kupumua kwa shida
Z. Anaphylaxis

ATOPIC DERMATITIS , MZIO WA NGOZI UITWAO ECZEMA , WAWEZA KUSABABISHA :

A. Mwasho
B. Wekundu
C. Ngozi kubanduka


MADHARA YA ALLERGY
Kuwa na allergy kunaongeza uwezekano wa kupata magonjwa mengine, ambayo ni pamoja na:
ANAPHYLAXIS .
Kuna una allergy kali, unakuwa kwenye hatari ya kupata hali hii. Chakula, dawa na kung’atwa na wadudu ni vitu vinavyoweza kulata anaphylaxis.
ASTHMA .
k**a una allergy una weza kupata asthma – athari inayotokana na kinga za mwili inayoathiri njia za hewa na upumuaji. Mara nyingi asthma huamshwa na kuwa mkabala na allergen katika mazingira (allergy-induced asthma).
Sinusitis na maambukizi kwenye masikio na mapafu. Uwezekano wa kupatwa na hali hizi ni mkubwa k**a una hay fever au asthma.

TIBA YA ALLERGY
Kwa wenye matatizo ya allergy wasi hofu kwani shifaa sunna clinic tunazo dawa za kutibu na kumaliza kabisa tatizo la allergy

KWA TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA NA DR ISMAIL KWA +254721836774

08/09/2022

CHANZO CHA GOITA NI NINI?

Goita ni uvimbe usio wa kawaida wa tezi ya thyroid. Thyroid ni tezi yenye umbo la kipepeo iliyo sehemu ya chini ya shingo chini kidogo ya kikoromeo. Pamoja na kuwa goita hazina maumivu, goita kubwa inaweza kuleta kikohozi au kusabaisha matatizo ya kumeza au kupumua.

Chanzo kikubwa cha goita katika sehemu nyingi za dunia ni ukosefu wa madini ya iodine katika chakula. Katika maeneo ambayo madini ya iodine huongezwa kwenye chumvi inayotumika, goita huwa zinatokana na uzidifu au upungufu katika uzalishwaji wa homani ya thyroid au vivimbe vinavyojijenga kwenye tezi ya thyroid.

Tiba hutegemea ukubwa wa goita, dalili ambazo zimejitokeza na chanzo halis cha goita hiyo. Goita ndogo ambazo hazionekani na ambazo hazileti usumbufu hazihitaji tiba.

DALILI ZA GOITA

Si goita zote ambazo huonyesha dalili. Pale mabapo dalili zitaonekana, zinaweza kuwa:

1. Uvimbe unaooneka eneo inapoanzia shingo
2. Kusikia kubanwa kooni
3. Kukohoa
4. Sauti kukwaruza
5. Shida kumeza
6. Shida kupumua

CHANZO CHA GOITA
Tezi yako ya thyroid hutengeneza aina kuu mbili za homoni – thyroxine (T-4) na triiodothyronine (T-3). Homoni hizi mbili huzunguka katika mfumo wa damu na husaidia katika shughuli za kimetaboliki – kujenga na kuvunjavunja kemikali katika mwili. Husimamia namna mwili unavyotumia mafuta na wanga, husaidia kuweka sawa joto la mwili, kurekebisha mapigo ya moyo, na kusimamia uzalishwaji wa protini.

Tezi ya thyroid hutengeneza pia calcitonin – homoni inayosaidia kuweka sawa kiwango cha calcium ndani ya damu.

Tezo za pituitary na hypothalamus husimamia kasi ya utengenezwaji na utolewaji wa homoni hizi.

Mlolongo wa mambo huanza pale hypothalamus – eneo lililo chini ya ubongo linalofanya kazi k**a thermostat ya mfumo wako mzima – inapotoa ishara kwa pituitary kutengeneza homoni iitwayo thyroid stimulating hormone . Tezi ya pitutary ambayo nayo ipo kwenye eneo la chini ya ubongo, itatoa kiasi fulani cha, kulingana na kiasi gani cha thyroxine na T-3 vipo ndani ya damu. Tezi yako ya thyroid, nayo, itarekebisha uzalishaji wa homoni kulingana na kiasi kilichotolewa na tezi ya pituitary.

GOITA KUBWA
Kuwa na goita hakuamaanishi kuwa tezi yako ya thyroid haifanyi kazi vizuri. Hata wakati imevimba, tezi yako inaweza kuwa inatoa kiasi cha homoni kinachotakiwa. Inaweza kuwa, pamoja na hayo, ikawa inatengeneza homoni za thyroxine ne T-3 kwa kiwango cha juu zaidi au cha chini.

KUNA VIPENGELE VINAVYOWEZA KUSABABISHA TEZI YA THYROID KUVIMBA. SABABU ZINAZOJITOKEZA MARA NYINGI ZAIDI NI:
1. Upungufu wa iodine.
2. Graves’ disease
3. Hashimoto’s disease.
4. Multinodular goiter.
5. Solitary thyroid nodules.
6. Thyroid cancer.
7. Ujauzito.
8. Kuvimba.

TIBA YA GOITA
Tiba ya goita inategemea ukubwa wa goita, dalili zinazojionyesha, na chanzo halisi cha goita hiyo. Dakatari anaweza kupendekeza yafuatayo:

A.Uangalizi. K**a goita yako ni ndogo na haileti madhara, na tezi yako ya thyroid inafanya kaz ivizuri, daktari anaweza kuchukua uamuzi wa kuiacha na kuitazamia.
B.Pale panapokuwa na vivimbe kwenye tezi ya thyroid, daktari anaweza kukuandikia spirin au dawa ya corticosteroid kuuondoa uvimbe.

C.Goita zinazotokana na utendaji wa kupitiliza wa tezi (hyperthyroidism), utahitaji dawa za kupunguza viwango vya homoni.

Kwa tiba nasaha Na ushauri wasiliana Na Dr Ismail kwa +254721836774

07/09/2022

PNEUMONIA NI NINI?

Pneumonia ni ugonjwa unaoshambulia vifuko vya hewa kwenye pafu moja au yote mawili. Vifuko hivi huweza kujaa maji au usaha na kusababibisha kikohozi kinachotoa uchafu unaotoka kwenye mapafu, homa na kupata shida katika kupumua. Vijidudu wa aina nyingi wanaweza kuhusika katika ushambuliaji wa mapafu hayo. Mara nyingi pneumonia hutokana na mashambulizi ya bacteria, virusi, fangasi (fungi) au vijiumbe wengine tegemezi (parasites).

NINI CHANZO CHA PNEUMONIA
Pneumonia husababishwa na bacteria, virusi, fangasi na vyanzo vingine. Hapa chini tutaona baadhi ya vyanzo hivi kwa undani zaidi:

BACTERIAL PNEUMONIA
Wagonjwa wengi wa pneumonia hushambuliwa na bacteria aitwaye Streptococcus pneumoniae. Watu wanaougua kwa muda mrefu ugonjwa wa obstructive pulmonary disease (COPD) au wale wanaotumia pombe kwa wingi hupata pneumonia kutokana
na bacteria waitwao Klebsiella pneumoniae na Hemophilus influenzae. Baadhi ya wagonjwa wengine hupata ugonjwa huu
kutokana na bacteria aitwaye Mycoplasma pneumoniae.

VIRAL PNEUMONIA
Hii ni pneumonia inayotokana na virusi na ambayo haisikii tiba za antibiotics. Baadhi ya virusi wa aini hii ni Adenoviruses, rhinovirus, influenza virus (flu), respiratory syncytial virus (RSV), na parainfluenza virus.

FUNGAL PNEUMONIA
Aina hii ya pneumonia husababishwa na fangasi wa aina za histoplasmosis, coccidiomycosis, blastomycosis, aspergillosis, na cryptococcosis.

NOSOCOMIAL PNEUMONIA
Viumbe wadogo walioishi kwenye mazingira ya antibiotics kwa muda mrefu hujijengea uwezo wa kuhimili dawa hizo na pindi wakiingia katika mapafu husababisha nosocomial pneumonia. Bacteria wa aina hii hupatikana kwenye majumba ya kuuguzia wagonjwa na katika hospitali.

MAZINGIRA AU HALI ZIFUATAZO ZINAWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA PNEUMONIA:

1-Moshi
2-Unywaji wa pombe wa kukithiri
3-Magonjwa k**a chronic obstructive pulmonary
4-Umri pungufu ya mwaka mmoja au zaidi ya miaka 65.
5-Kuwa na kinga nogo za mwili
6-Utumiaji wa dawa za magonjwa, gastroesophageal reflux disease (GERD).
7-Kushambuliwa na kifua na mafua
8-Kuwa na lishe duni
9-Kuwezepo kwenye mazingira ya kemikali za aina fulani au uchafuzi wa hewa.

DALILI ZA PNEUMONIA
Pneumonia inayotokana na bacteria huonyesha dalili mapema zaidi kuliko ile inayotokana na virusi. Watu wengi wanaopata ugonjwa huu huanza kwa kushikwa na kifua au mafua, kisha kupata homa kali inayoambatana na kikohozi chenye kutoa makohozi. Pamoja na kwamba dalili za pneumonia zinaweza kuwa za aina tofauti kulingana na chanzo chache, wagonjwa wengi huona dalili zifuatazo:

A. Kukohoa
B. Makohozi ya rangi ya kahawia au kijani
C. Homa
D. Kuhema kwaharaka na kukosa pumzi
E. Kutetemeka
F. Maumivu kifuani hasa unapovuta pumzi
G. Mapigo ya moyo kwenda mbio
H. Uchovu na udhaifu wa mwili
I. Kichefuchefu na kutapika
J. Kuharisha
K. Kutokwa jasho
L. Kichwa kuuma
M. Maumivu ya misuli
N. Kuchanganyikiwa

TIBA YAKE
zipo dawa za kutibu na kumaliza kabisa nimonia

06/09/2022

Ni zipi dalili za ugonjwa wa tezi dume?

Dalili za tezi dume zinaweza kuwa kali ama hafifu kutoka mtu hadi mtu. Ukali wa dalili hizi hautegemei ukubwa wa tezi. Inaweza kuwa tezi ni kubwa lakini dalili zisiwe kali. Miongoni mwa dalili za tezi dume ni:-

1.Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara
2.Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
3.Kupatwa na uzgumu kutoa mkojo
4.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu
5.Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho
6.Kujichafua wakati wa kukojoa
7.Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.
8.Damu kwenye mkojo
9.Kushindwa kukojoa kabisa.
10.Kupata mkojo mchache sana

Dawa hii inatibu na kumaliza kabisa tezi dume bila upasuaji

Wasiliana nasi na utatibika

05/09/2022

UGONJWA WA KISUKARI – AINA, CHANZO, DALILI NA TIBA YAKE

UGONJWA WA KISUKARI ,
ambao hujulikana k**a ugonjwa wa kisukari, ni ugonjwa wa kimetaboliki ambao husababisha sukari ya juu ya damu. Insulini ni homoni ambayo huruhusu na kubalansi kiwango cha sukari. Insulini husababisha sukari kutoka kwenye damu ndani ya seli zako kuhifadhiwa au kutumika kwa nishati.

Kwa ugonjwa wa kisukari, mwili wako hufanya insulini ya kutosha au haiwezi kutumia insulini kwa ufanisi. Sukari ikizidi au ikipungua huathiri na kuharibu Insulini ambapo

Kongosho hushindwa kuzalisha insulini kiwango kinachohitajika mwilini. Kutokana na sukari ya juu ya damu kutokana na ugonjwa wa kisukari huweza kuharibu mishipa yako, macho, figo, na viungo vingine.

AINA ZA KISUKARI

KUNA AINA CHACHE TOFAUTI ZA UGONJWA WA KISUKARI :

Aina ya ugonjwa wa kisukari ya 1 ni ugonjwa wa auto. Mfumo wa kinga unashambulia na huharibu seli katika kongosho, ambako insulini inafanywa. Haijulikani kinachosababisha mashambulizi haya. Kuhusu asilimia 10 ya watu wenye ugonjwa wa kisukari wana aina hii.

Aina 2 ya ugonjwa wa kisukari hutokea wakati mwili wako unakuwa sugu kwa insulini, na sukari hujenga katika damu yako.
Hutokea wakati sukari yako ya damu ni ya juu zaidi kuliko kawaida.

Homoni za kuzuia insulini zinazozalishwa na placenta husababisha aina hii ya ugonjwa wa kisukari. Ni hali tofauti ambayo figo yako huondoa maji mengi sana kutoka kwenye mwili wako.

Kila aina ya ugonjwa wa kisukari ina dalili za kipekee, sababu, na matibabu. Jifunze zaidi kuhusu jinsi aina hizi zinavyotofautiana.
Dalili za ugonjwa wa kisukari

CHANZO CHA UGONJWA WA KISUKARI
1-Shinikizo la juu la damu (B.P)
2 - Viwango vya juu vya triglyceride (Mafuta)
3 - Lishe yenye Mafuta mengi na Wanga
4-Utumiaji mkubwa wa Pombe
5-Ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi
6-Mtindo wa maisha usiofaa kiafya
7-Uzito na unene uliozidi
8-Kuto ushughulisha mwili
9-Umri

DALILI ZA MTU MWENYE KISUKARI
A-Njaa iliyoongezeka
B-kiu kikubwa
C-kupungua uzito
D-Kukojoa mara kwa mara
E-maono machafu
F-uchovu uliokithiri

Inaweza pia kusababisha maambukizi ya mara kwa mara. Hii ni kwa sababu viwango vya juu vya glucose hufanya iwe vigumu kwa mwili kuponya na kinga ya mwili kushuka.

DALILI KATIKA WANAUME
Mbali na dalili za jumla za ugonjwa wa kisukari, wanaume wenye ugonjwa wa kisukari wanaweza kuwa na kupungua kwa uwezo wa tendo la ndoa (ngono), uharibifu wa erectile (ED), na nguvu za misuli duni.

DALILI KWA WANAWAKE
Wanawake wenye ugonjwa wa kisukari wanaweza pia kuwa na dalili k**a vile maambukizi ya njia ya mkojo (U.T.I, Kichocho, n.k), maambukizi ya chachu, na ngozi kavu.

TIBA YA MAGONJWA YA KISUKARI

Ugonjwa wa Kaisukari unatibika kwa hali tofauti, pia kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakikata tamaa na kuwa wabishi, hii hufanya wengi kufa kutokana na kuto kuwa makini na kile tunacho waeleza. Wakati huo wengi huendelea kutumia dawa pamoja na vitu vyenye kemikali na hii hufanya wengi kuendelea kuumwa zaidi. Tiba zinazotumika pamoja Kemikali kali (chemotherapy), mionzi (radiation), au upasuaji (surgery).

TIBA YAKE
Tuna dawa kwa jina la DIA - CARE ya kutibu Ugonjwa wa Kisukari ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa.

NB :
Dawa hiyo hutibu kwa mda mfupi kuanzia miezi miwili hadi mitatu ; k**a ni tatizo la mda mrefu sana inaweza kuchukua miezi minne tiba yake kulingana na mda wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwa sababu kuna mitindo wa maisha inaendelea kuongeza tatizo pia kuna mitindo inapunguza hatari ya ugonjwa. Hizo dawa zinaondoa ugonjwa kabisa k**a ukifuata maelekezo yanayotolea.

KWA TIBA NASAHA NA USHAURI WASILIANA NA DR ISMAIL KWA +254721836774

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Nairobi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Nairobi