Miss Cadiac KE
#still Miss Cadiac ❣️❣️
254 ✅
❤️Small girl big God ❤️❤️
ROAD TO 150 FOLLOWERS
31/08/2024
Otherwise am good ❤️❤️
15/08/2024
Kula fare mummy ata k**a ni ya mtu wa kuchimba choo🤣🤣 Usiwaonee huruma wewe kula 😔😔😔
Usiwahi zalia sponser ,😛😄
Usiache boy anakupea 10k uende kwa mwenye anakupea 40k 😎😎😎maintain wote mummy ukule 50k ukiendaa.......😂😂😂😂😂😂😆😆😆
ukiitwa club na boy kunywa juice kwa nyama 😜😜😜 pombe beba take way 😋😋😋😂😂😂😆😆usiwahi onyesha boy mahali unaishi🤔🤔🤔 usiwahi entertain boy hana pesa ety bestie bestie 😏😏😏🙄🙄🙄
Na ni hiyo tu kwa sasa 😎😎😎 hope leo nmeongea kitu cha maana 🤣🤣🤣🤣🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
02/08/2024
Sahi Kuna mtu anaulizwa unataka tena ama niende nioge
Alafu Kuna mm na wewe🤣🤣🤣💯💥🙈
Tunasurura Facebook k**a waganga 💥🙈💯🤣🤣🤣
💯🙈💥
27/07/2024
Unakumbuka venye mapenzi yenu ilikuwa tight ka kifuniko ya gas🤣🤣yaani the whole day mngeshinda mkichat 😘🤣hadi unakopa credo mkipigiana masimu🤗🤗hakuna mwenye alikuwa na hamu ya kukata apo ndo ungeskia aty beb kata nawe pia unamwambia wewe ndo ukate 🤪😝😝hakuna mwenye angeweza kukata simu mpaka credo inaisha 😏😏unapika ukichat,,ata unaenda Bafu ukichat😁😁mnaongea adi simu inakua moto🦻🦻........What happened chukua hii 🎤 🎤 shikilia ivi 👌 ama ivi✊️✊️ utuambie why are u single and not ready to mingle🤣🤣
Follow | my page kindly
26/07/2024
Sina ata wakuniambia take care🤣🤣🤣natoka asubuhi k**a mbuzi narudi jioni k**a kuku💔🤣🤣📍😓
24/07/2024
Hi guys
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Nairobi
