Crama Winny
Life is a journey
Crama dhe loverβ₯οΈgal yanah ya bazuhπ kindu wa kingβ£οΈπ₯°mwiitu wa lenahππ sir jah cku zoteeeβ£οΈβ£οΈβ£οΈβ₯οΈβ₯οΈ
12/02/2025
Nilienda harusi na kulikuwa na watu ka 50 hiviπππ, nikakaa front seat then wakaanza kuserve foodππ
Huyo mwanamke akaanza kuserve kutoka nyuma,unfortunately food ikaisha kabla haijatufikia huku mbeleππ₯
Mwanamke mwingine akaanza pia kupeana soda,,akaanzia huko mbele na already nilikua nmeenda kiti ya nyuma,,zikaishia huko katikati,,tena nikakosa sodaππ§π£π
Nikakasirika nikaamua niende..bt before niishie nikaona wanawake watatu wanakam wakiwa na mabakuliππππ,this time I tried to be wise by sitting at the middleππ
Mmoja akaanza kuserve kutoka nyuma na mwingine kutoka mbele,, this time walikua wanaserve kuku fryππππ
wakati walfika penye nmekaa tena kuku ikaishaπ₯π«π
Nliboeka nikainamisha kichwa nikaeka mikono kwa uso..bt kuna huyu mwanamke wa tatu alikuja akaniguza,akaleta bakuli karibu ndo nipick...nikaingisha mkono kwa bakuliππ,..guesse n nini ilkua ndaniππ?..TOOTHPICKS!!!π
Nilifaint hiyo siku πππ
Usiende bila kunifollow guza on the follow button above the post to follow my page.
10/02/2025
Wenye mnafuatilia maisha yangu jueni kwamba Nkona Sir God johπkujeni pole pole,,,,,,,,Sir Jah cku zoteπβ₯οΈπβ£οΈ
07/02/2025
Β°β’β’β’β¨π΄ππππππ ππππΌπππ πππΌππππΌ πΏππ πππππππ
π ππΌ πΎπΏ ........ππππ
πΌππΌπππΏπΌ πππΌππ½ππΌ ππΌπ½πππππ ππΌππ ππππ ππΌππππ¦ ππ ππππΌ ππ
πΌππππππΌ ππΌππΌππΌππ πππ
Winny nipitie,,,Crama Winnypitia nipitie
07/02/2025
Valentine's day postponed until further noticeππππKama ulikua na maua rudisha kwa duka,,wenye hawakua na wapoa wa valentine makofiiππππ much love cuzo,bro mineβ₯οΈand β₯οΈπΉπ₯°much love β£οΈβ£οΈ
Hello gud morning my dear friends,,,valentine is around the cornerπ
07/02/2025
Happy rose day to you my best friends,,,kama unapenda my brother mpe red heart β₯οΈ
07/02/2025
Hello??gud morning from this side??happy rose day to you all,,nawapendaaβ₯οΈππ₯°
06/02/2025
Gods tym it's always the bestπ₯°π
06/02/2025
God is the author and finisher of my life,kama unapenda post zangu nipe red heartβ₯οΈ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Nairobi
254
