Bresh kyalo
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bresh kyalo, Health/Beauty, Parklands.
Unaboeka ukiwa wapi??
Bresh kyalo Send a message to learn more
Sema kupotea
Nmewamiss wadau
Ladies ni food gani unaeza pika within 10 minutes
Ni mwalimu yupi kwa shule yenu ukipewa chance umpige unaeza piga yupi
Umewai kua unaenda mahali alafu ukutane na mtu mwenye damu mbaya hadi unasema tu ak ningejua singepitia hii njia
Wew k**a househelp ni kitu gani hukufanya unafeel vbya hadi unatamani kugive up??
Ukiwa shule ni mwalimu yupi ulikua unachukia sana
Ni kitu gani upendi kwa mwili wako
Uyo boss wako ni nini amewai kufanyia mbaya yenye utawai sahau??
Uko kwenu ni nani unapenda sana kati ya wazazi na ndugu , dada zako
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Parklands
